CHADEMA Mitandaoni Wafanya Makubwa Kalenga na Chalinze

Hizo laki tano zenu bora mngewanunulia watoto wenu maziwa wanywe wapate afya, mchango wa Junior huo.

sasa kama junior ndiyo kampeni meneja wetu kumchangia kuna tatizo gani..
 
Hizo laki tano zenu bora mngewanunulia watoto wenu maziwa wanywe wapate afya, mchango wa Junior huo.

unatamani ungepewa wewe coz nadhani jioni ya leo unawaza utakula nini utabakia kuhesabu misumari ya dari na kushika pembe shame on you
 
nipe maana ya neno kamanda...mjinga mkubwa wewe...

Ukiona mtu anatukana ujue uchungu ushamwingia kwa koromeo..

Mnaacha kula hata vipapatio vya kuku hizo kwashakoo ziwatoke mnafaidisha wenzenu..

Huyo yeriik hata elfu 20 ya kutuma kwao inamshinda anatafuta sifa kwa kuchangia ujinga humu wakati wazazi wake wanalala Giza kwa kukosa kerosene!!!

Laana mnaiokota hivi hivi kwa kuacha kuhudumia familia zenu na kwenda kuwapa wahuni wakahonge mahawara...
Too silly...
 
Vijana wa BAVICHA mnajipendekeza kwa Mbowe mpaka mnatia aibu. Yericko Nyerere anajipenyeza ili viongozi wakuu wa CHADEMA wamjue.
 
Last edited by a moderator:
Endeleen kuchangia hivohvo.... Wenzenu waendelee kuruka angan kama popo.... Mwisho wa cku daftari halikuboreshwa.
 
Au LEMA anawadanganya "tumeibiwa kura na Policcm pamoja na usalama wa taifa!"
 
Mchango huu umeitikisa Lumumba na vibaraka wake.
 
Mnapoteza mda wenu bure kwa dhiki. zenu...

Babu anaepokea zaidi ya M11 kwa mwezi kachangia nini?

Tafuteni pesa na siumaarufu wa majitaka kama huo...

Mbona unaonekana umeumia sana jomba.
 
Ukiona mtu anatukana ujue uchungu ushamwingia kwa koromeo..

Mnaacha kula hata vipapatio vya kuku hizo kwashakoo ziwatoke mnafaidisha wenzenu..

Huyo yeriik hata elfu 20 ya kutuma kwao inamshinda anatafuta sifa kwa kuchangia ujinga humu wakati wazazi wake wanalala Giza kwa kukosa kerosene!!!

Laana mnaiokota hivi hivi kwa kuacha kuhudumia familia zenu na kwenda kuwapa wahuni wakahonge mahawara...
Too silly...

Wewe ndio unawaza utaihudumiaje familia yako maana utumishi wako lumumba unaishia kwenye buku saba! Wenzio tumetoa ziada zetu kuikomboa nchi!
 
Vijana wa BAVICHA mnajipendekeza kwa Mbowe mpaka mnatia aibu. Yericko Nyerere anajipenyeza ili viongozi wakuu wa CHADEMA wamjue.

Pole Msukule.Hii ndiyo Nguvu ya Umma.Sio kupiga kelele mtandaoni kama nyie bila msaada wowote
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom