CHADEMA: Magufuli anayo siri LUGUMI

CHADEMA: Magufuli anayo siri LUGUMI

Ohh lala! another bad creation..... mwambadog povu zito la nini brother? wacha ubinafsi lets stand for up kwa ajili ya maslahi mapana ya Nchi.... We are in right direction...join the moment....

yes i see right direction
 
Kuna kila dalili ya lugumi kuunguza nyumba , tena wala si muda mrefu .
mkuu mimi nakusanya tu mawazo yako hapa...kwenye UDA umesema kuna watu watafungwa muda si mrefu na hapa unasema LUGUMI itaunguza nyumba.....mimi na qoute tuuu nasubiri wakati wa hayo mambo kutokea
 
Sina hamu na chadema walisema lowassa wa richimond fisadi kwa miaka nane baadaye wakasema lowassa kaonewa si ajabu kesho wakasema lugumi naye ameonewa yaani tabu tupu.

Ni mabigwa flani hivi wa kubadilisha uongo kuwa ukweli na ukweli kuwa uongo.
Halafu sasa hivi wanasema Lugumi wakati Lugumi na Kitwanga ni watu saaaafi, hawana doa hata nukta
 
Barare Limited
On 7 April 1997, Edward Ngoyayi Lowassa and his wife Regina Mumba Lowassa incorporated a company by the name of Barare Limited. They are both listed as shareholders, each with 500 shares. They were also both listed as directors of the company which was located on Maktaba Street, Dar es Salaam. In May 2009, Barare Limited was the subject of a money laundering investigation in the UK, after Lowassa's son, Frederick Edward Lowassa was suspected of money laundering.[10]
Mbona huendi mahakamani mpaka Leo au huyu mtu yuko juu ya sheria?
 
Huyu jamaa alifikiri urais ni kutumbua majipu tu ,washaanza na sukari ,amechemka kwa kuzuia kuagiza ,hana miezi sita kashfa tayari imeibuliwa ya Lugumi ,haya ngoja nikae kimya nione miezi sita ijayo atafanya nini
Kafulila alianza hivi hivi mwisho wake Escorow ikawa mwiba kwa serikali ya Jk

Nimwombe Magufuli awe mwangalifu
 
Barare Limited[edit]
On 7 April 1997, Edward Ngoyayi Lowassa and his wife Regina Mumba Lowassa incorporated a company by the name of Barare Limited. They are both listed as shareholders, each with 500 shares. They were also both listed as directors of the company which was located on Maktaba Street, Dar es Salaam. In May 2009, Barare Limited was the subject of a money laundering investigation in the UK, after Lowassa's son, Frederick Edward Lowassa was suspected of money laundering.[10]
Hivi nini maana ya neno Suspected ?? Baada ya kuwa suspected matokeo yake ilikua nini ??
 
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA ndugu Salum Mwalimu amemwomba Rais John Magufuli kuwatumbua wahusika wote wa sakata la LUGUMI bila ya kupoteza muda.

Mwalimu amesema iwapo Rais Magufuli atashindwa kuwatumbua wahusika hao ambao baadhi yao ni vigogo serikalini wao kama Upinzani watapiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa bungeni kwani atakuwa ameshindwa kumshauri vizuri Rais.

Naibu Katibu Mkuu huyo amemtaka Rais Magufuli kumtumbua Waziri wa Mambo ya ndani, Charles Kitwanga kwani ameonekana kama mhusika mmojawapo wa LUGUMI.

Pia katika hatua nyingine Salum Mwalimu amewataka BAVICHA kusambaza mitandaoni hotuba ya Waziri Kivuli wa mambo ya ndani, Ndugu Godbless Lema ambayo ilizuiliwa bungeni. Lengo la kusambaza hotuba hiyo ni kutaka Watanzania wengi waweze kusoma hotuba hiyo na kujua nini kinaendelea.

Chanzo: Taarifa ya habari ya EFM jioni hii
napata wasiwasi na huyu mtu,hivi anategemea LUGUMI inaweza kumuondoa majaliwa??ajipange sana na anategemea kweli kwa idadi ile ya wabunge wa upinzani wataweza kushinda hiyo kura ya kutokuwa na imani waziri mkuu??asitafute kiki za hovyoo hovyoo hivyoo........

na pili swala la bavicha kusambaza hiyo hotuba ya lema,amesahau kuwa watz wengi ni wavivu kusoma wanapenda kusikiliza sio kusoma......

tatu, ni haohao waliopinga utumbuaji wa majipu,leo hii anakuja na kusema "iwapo rais atashindwa kuwatumbua wahusika hao ambao baadhi yao ni wahusika serikalini............." sasa anapingana na mwenzake Tundu Lissu ama vipi??au anataka watumbuliwe ili Lissu apewe tenda ya kuwa wakili wa kuwatetea hao waliotumbuliwa??

msimamo wa hao watu upo wapi??wanakubaliana na rais utumbuaji majipu au wanasimamia kauli ya Lissu ya kupinga utumbuaji majipu??

hapohapo ni juzi tu,Mashinji katibu wao alisema utumbuaji majipu hadharani kuna wadhalilisha watumishi lakini leo Mbowe anasimama na kusema watawataja watu hao wabadhirifu waliopo serikalini hadharani,je hawa watu wanasimamia wapi??
 
Wananchi wanashindwa kuwaamini tena sababu mmekua vinyonga , sisi tupo na uncle magu tuna imani nae 150% piga kazi.
Typical sheeple,watu dizaini yako wanapendwa sana na watawala,waty msiokuwa na udadisi wa kuhoji mambo.Ni sawasawa na kuambiwa na jirani yako inawaka moto lakini badala ya kuwahi kwenda kuangalia kama ni kweli ama laa,unaanza kumjadili huyo jirani kuwa ana mchepuko.Lowasa is not news anymore,uchaguzi umeisha toka mwaka jana.
 
Typical sheeplenatu dizaini yako wanapendwa sana na watawala,waty msiokuwa na udadisi wa kuhoji mambo.Ni sawasawa na kuambiwa na jirani yako inawaka moto lakini badala ya kuwahi kwenda kuangalia kama ni kweli ama laa,unaanza kumjadili huyo jirani kuwa ana mchepuko.Lowasa is not news anymore,uchaguzi umeisha toka mwaka jana.

Mi nashindwa kuwaelewa wananchi ambao ni wanachama wa ccm, ukawa wanachoongelea ni kuibiwa kwa hela ambazo zingetumika vzri zingeleta manufaa kwa taifa zima, ikibainika lowasa katuibia kwenye insu ya richmond akamatwe apelekwe mahakamani, akiwa na hatia arudishe hela na afungwe ili tanzania iendelee, hakuna sabb ya kumtetea mwizi awe ni chadema au ccm, hawa ccm wanaomtetea lugumi na kitwanga hivi ni watanzania kweli!? Au hela zilizopigwa ni za ukawa wengine haziwahusu!. Tusijipe upofu kwa ajili ya vyama, mpaka sasa pamoja na kuaminishwa wafanya biashara ndo wameficha sukari...na tukaonyeshwa iliokamatwa tani kwa tani, na serekali ikasema sukari ilioagiza imesha ingia na itauzwa 1800, matokeo yake, serikali imeamua kuficha sukari ili tuendelee kuuziwa kila mtu kwa bei anayotaka! Haihitaji tochi kuona mambo hayaendi sawa, mbona mh rais amekua active sana kwenye mambo mengi! Hata kwa traficpolisi tu alietukanwa barabarani amechukua hatua! Haya mambo yanayoumiza watanzania wengi kigugumizi kinatoka wapi tena!? Mtumbuaji kama ni mwizi nae atumbuliwe tu, hakuna namna! Tanzania kwanza vyama baadae"
 
Kwa mtu unayeulizwa swali unajibu chura chura una uwezo wa kutambua hoja? Wewe elewana na watu ya kariba yako hao ndio utawaelewa hoja zao.
Kwani wewe ni nani kama siyo moja wapo? Umesoma hapo kwenye kipengele cha katikati?
 
hatuhitaji katiba mpya....tunahitaji mabadiliko machache ya Msingi kwenye katiba iliyopo..... hatutaruhusu tena hela za walipa kodi kuliwa na watengeneza activities..... Mwaka jana mlipata nafasi MKAMBWERA!! Tumestuka...... GUFULI shughulikia hawa kwa kutumia katiba iliyopo!
Katiba mpya ni muhimu sana
 
Ha ha ha kuna watu wamekunywa maji ya bendera ya vyama hatareeee. Jamani chama hakitokuja kukuletea maendeleo hata cku moja hiyo ni akili ya watu ambao ni primitive kbsa dunia ya sasa kiongozi bora disregard yupo chama gani ndio atakayekuletea maendeleo acheni kutumika kama toilet paper ukimalizwa unatupwa kule, Tanzanians need to grow. Penye ukakasi kemea na penye uzuri sifia na hyo ndo sifa ya sound minded person.
 
Bado hajachaguliwa Rahisi wa kupambana na mizimu kama IPTL, EPA, ESCROW, LIGUMI n.k

Kugusa huko ni lazima uwe msafi Roho na Mwili.Atashika wakati Boriti lake hajatoa???Ni ngumu ngoja tuendelee kutumbuliwa wanyonge ambao makosa yetu ya kiutendaji yametokana na utendaji mbovu wa uongozi uliopita ambapo na yeye alikuwa miongi mwao.

Ni ngumu binadamu kuona MAOVU yako lakini RAHISI mno kuona MAOVU ya mwingine.Tunahitaji KIONGOZI mwenye BUSARA na HEKIMA kwa kweli........ na SI MTAWALA.
 
Rais anakaa kimya kwa maslahi ya nani? Kukaa kimya hakutafanya 'Ufisadi wa Lugumi' upoteee

Rais bora ni yule anaeweza kujibu maswali yanayowasumbua wananchi wake kwa wakati
Rais anakaa kimya kwa sbb hakuna Muda wa kubishana na mazuzu na vigeugeu

Maana leo atawajibu kesho mtageuka kwamba Lugumi ameonewa kwa sbb moja mbili tatu

Mlichokifanyaga kweny sakata la Richmond kinatosha kuwaelewa ninyi ni watu wa Aina ipi
 
Ha ha ha kuna watu wamekunywa maji ya bendera ya vyama hatareeee. Jamani chama hakitokuja kukuletea maendeleo hata cku moja hiyo ni akili ya watu ambao ni primitive kbsa dunia ya sasa kiongozi bora disregard yupo chama gani ndio atakayekuletea maendeleo acheni kutumika kama toilet paper ukimalizwa unatupwa kule, Tanzanians need to grow. Penye ukakasi kemea na penye uzuri sifia na hyo ndo sifa ya sound minded person.
Ccm imeharibu vijana wengi sana
 
How? Acha porojo leta ushahidi

Here we go again!

Richmond corruption scandal
On February 7, 2008, Lowassa was forced to resign after being implicated in the Richmond Energy deal corruption scandal. This followed a parliamentary select committee report on an emergency power generation contract between the Tanzania Electric Supply Company Ltd (TANESCO), a public corporation, and a US company styled Richmond Development Company LLC of Houston, Texas. The five-member select committee, headed by Kyela MP, Dr. Harrison Mwakyembe, found the contract to have been fraudulently concluded, hence unconscionable. Richmond was contracted to provide 100 megawatts of electricity each day after a drought early in 2006 but the Richmond generators arrived late and did not work as expected. In spite of this, the government paid Richmond more than $100,000 a day.[5] Lowassa's office then influenced the government's decision to extend Richmonds contract despite advice to the contrary form TANESCO. Two other cabinet ministers who had held the energy portfolio, Dr. Ibrahim Msabaha and Nazir Karamagi were forced to resign as well.[8][9]

Lowassa however denied that his office was involved in improperly awarding a contract to US-based electricity company Richmond Development in 2006.
 
Back
Top Bottom