Sasa wakati unasubiri haya kutokea uombe na Mungu akupe uhai , maana kwa njaa itakayoletwa na lugumi unaweza kufa .mkuu mimi nakusanya tu mawazo yako hapa...kwenye UDA umesema kuna watu watafungwa muda si mrefu na hapa unasema LUGUMI itaunguza nyumba.....mimi na qoute tuuu nasubiri wakati wa hayo mambo kutokea
Sina hamu na chadema walisema lowassa wa richimond fisadi kwa miaka nane baadaye wakasema lowassa kaonewa si ajabu kesho wakasema lugumi naye ameonewa yaani tabu tupu.
Ni mabigwa flani hivi wa kubadilisha uongo kuwa ukweli na ukweli kuwa uongo.
Sukari imewashinda unajintambua wewe au nikizunguzungu chakutokunywa chai?Wazee wa kuhamisha magoli katika ubora wao, hili la Lugumi likipatiwa suluhisho, litatafutwa lingine tena. Wajipange kwelikweli, bunge likimalizika, watapotea kwa muda mrefu sana. Na wakati huo watu watakuwa wanapiga kazi usiku na mchana. Upinzani ujipange haswa hii ya kutegemea temporary popularity sio silaha sahihi kwao.
Tafuteni hoja za maana za kusimamia, miaka inakwenda kwa kasi, mkibakia kufuata mkumbo wa matukio, mtabakia kuwa wapinzani wenye kusubiri kipindi cha bajeti kije ili muweze kusikika. Very cheap politics.Sukari imewashinda unajintambua wewe au nikizunguzungu chakutokunywa chai?
mzabuni kusign mkataba ndani ya siku moja baada ya tenda kutanganzwa? hii ni ajabu la dunia yapaswa kuingizwa kwenye rekodi.... maana pande zote mbili yaani mzabuni na mtoa zabuni watakuwa na kiwango kikubwa cha akili na utendaji kazi kama malaika!!! lasivyo hapo kuna ufisadi tuu kwani tayari mzabuni alishapewa mkataba kabla ya tenda kutangazwa!! nimepoteza imani na rais wangu mwee!!!
Tafuteni hoja za maana za kusimamia, miaka inakwenda kwa kasi, mkibakia kufuata mkumbo wa matukio, mtabakia kuwa wapinzani wenye kusubiri kipindi cha bajeti kije ili muweze kusikika. Very cheap politics.
chadema wamepoteza mvuto kabisa...watanzania hawana iman nao tena
Yale yale ya ujuaji, si imeundwa kamati maalum ya bunge kushughulikia suala hili?. Wapo watu wanalishughulikia suala hilo ndio maana hata Lema aliambiwa usiongelee suala ambalo bunge limeliundia kamati. Sasa haraka za nini?. Huyo mwanahabari hushindwa kujenga hoja ndio maana nikatumia neno cheap politics. Punguza ujuaji.Ufisadi wa fedha za umma zaidi ya billion 30 cannot be "cheap politics" my friend. Something must be wrong with your thinking patter!
Halmashauri tatu zilizo chini ya CHADEMA zimekutwa na hati chafu, mojawapo ni ya Hai anapotoka mwenyewe aliyetengeneza fedha wakati ule wa kampeni maarufu kama FM. Sasa mkipewa nchi hamuwezi kufanya madudu haya haya ya CCM?. Ni rahisi sana kupinga kila kitu ukiwa nje ya uongozi, ukipewa uongozi unafanya madudu yale yale kama ya yule uliyekuwa ukimnyooshea kidole wakati ule ukiitwa mpinzani.Mkataba wa umeme wa Richmond walisema wao hawahusiki, eti ni EL. Sasa tunasikilizia na hii ngoma tuone watamsingizia nani, maana EL ameshahama kwao, syuko CDM kwa sasa. Watu hawa wasiendelee kubisha, ufisadi na wao ni dugu moja.
Hapa ishu sio cdm wala ccm,.....simama kama wewe kuitetea Tanzania na wananchi wake.Sina hamu na chadema walisema lowassa wa richimond fisadi kwa miaka nane baadaye wakasema lowassa kaonewa si ajabu kesho wakasema lugumi naye ameonewa yaani tabu tupu.
Ni mabigwa flani hivi wa kubadilisha uongo kuwa ukweli na ukweli kuwa uongo.
Ikiwa Rais ataendeshwa kwa hoja za kutengenezwa na watu wenye upeo mdogo kama lema, mbowe na lissu unadhani hili linaitwa taifa kweli??Nilisikiliza majibu ya Kitwanga na Mwema na majibu yao ni mfano wa utetezi dhaifu, maana hawapingi ukweli juu ya ukakasi uliopo bali wanazalisha maswali mengine
Unajua inawezekana umesahau, ila Magufuli aliwahi kusema waziri wake akiwa na kashfa ya ufisadi atamfukuza kazi haraka. Sasa kulikoni hazungumzii 'ufisadi' wa waziri wake?
kama niliweza kupita njaa ya richmond kwa miaka 7 hii ya lugumi cha mtoto......labda uniambie lini hayo uliyoyasema yatatimia lini???niandae chakula cha kutoshaSasa wakati unasubiri haya kutokea uombe na Mungu akupe uhai , maana kwa njaa itakayoletwa na lugumi unaweza kufa .
Kitu gani kimewafanya msionyeshe Bunge live?Tafuteni hoja za maana za kusimamia, miaka inakwenda kwa kasi, mkibakia kufuata mkumbo wa matukio, mtabakia kuwa wapinzani wenye kusubiri kipindi cha bajeti kije ili muweze kusikika. Very cheap politics.
MKUU MAIGIZO NIHATARI SANAnchi inakoelekea siko,.wachumi wameonya jana......nchi hii tumepata uhuru 1961,.yaani tangu tupate uhuru nchi iko vile vile,.bora tungeendelea kutawaliwa2 hadi2000s,.atlist tungekuwa tumeendelea,.maisha magumu,.ccm wanafisadi kila kona
eti majipu,.serikali ya kindugu,kioshikaji,...utaweza kumtumbua best????????????????????
nani asiyejua uswahiba wa nape na jpm?kitwanga na jpm??nk
huwez kufanya kaz na kuendelea huku ushikaji mwingi,.
nchi haiwez kuendelea chini ya fisiem
Ccm niwatu wabaya sana kisa uwaziri mkuu ndio wamsingizie mtuLeo hii sitakaa niamini maneno watu kumuita mtu FISADI au kafanya ufisadi mpaka ithibitike mahakamani,maana yasije yakatokea yakutokea,walioitwa MAFISADI leo hii ni wenzetu katika kuleta MABADILIKO.
NB,"kama huna ushahidi JUST SHUT UP"