SONGOKA
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 1,836
- 1,846
Yani jamaa alivyo mkali, siamini kama hii issue anaikwepa kiasi hiki, hii ngoma inaonekana yamoto kuliko yamoto bandThubutu,
Lugumi hawezi kuigusa kamwe.
Atadeal na dagaa tu.
Yani jamaa alivyo mkali, siamini kama hii issue anaikwepa kiasi hiki, hii ngoma inaonekana yamoto kuliko yamoto bandThubutu,
Lugumi hawezi kuigusa kamwe.
Atadeal na dagaa tu.
Utaambiwa mchochezi maana neno mchochezi ndio kichaka cha wadhalimuMagufuri kahubiri kila kashfa na ufisadi lakini kwa nini hajawahi hata siku moja kutaja neno LUGUMI, na kashfa yake dhidi ya POLISI wakati ni sakata lililoiburiwa ndani ya uongozi wake.
hivi ni kweli kuwa hajawahi kusikia wala kuambiwa kuhusu hii kitu??
"Bado uchunguzi unaendelea boss"!mbona tuliambiwa ile kamati ya uchunguzi ilishakabidhi report mkuu, lakinin pia mbona hii ya milioni saba kwa dakika iko mahakamani lakini anaizungumzia, iweje lugumi
chadema hatuwaamini tena, maana lugumi akija kwenu hamchelewi kusema hakuna udhahidi wa huo ufisadi!!
Sonko Jr. you have said it all .... bado sijaona dalili ya uzalendo katika kiongozi huyu wa taasisi ya uraisRais anakaa kimya kwa maslahi ya nani? Kukaa kimya hakutafanya 'Ufisadi wa Lugumi' upoteee
Rais bora ni yule anaeweza kujibu maswali yanayowasumbua wananchi wake kwa wakati
Bado hajachaguliwa Rahisi wa kupambana na mizimu kama IPTL, EPA, ESCROW, LIGUMI n.k
Rais anakaa kimya kwa maslahi ya nani? Kukaa kimya hakutafanya 'Ufisadi wa Lugumi' upoteee
Rais bora ni yule anaeweza kujibu maswali yanayowasumbua wananchi wake kwa wakati
Asante LUGUMI kwa kuieka serikali mfukoni.Kwa nini wanakuogopa wewe ni nani?