CHADEMA: Magufuli anayo siri LUGUMI

CHADEMA: Magufuli anayo siri LUGUMI

Bakiza akiba ya maneno maana haijulikani siku wala saa ya Mbowe kubadili gia angani na kumteua Lugumi kuwa mgombea urais wa chadema..
 
Acha kurukaruka na kutaka kubadili mjadala husika. Magufuli anayejinadi kama mtumbua majipu hili jipu la Lugumi mbona amekuwa na kigugumizi kizito? Kulikoni? Au naye anaogopa kuwakamata mafisadi wa Lugumi ili nchi isiwake moto?

Sina hamu na chadema walisema lowassa wa richimond fisadi kwa miaka nane baadaye wakasema lowassa kaonewa si ajabu kesho wakasema lugumi naye ameonewa yaani tabu tupu.

Ni mabigwa flani hivi wa kubadilisha uongo kuwa ukweli na ukweli kuwa uongo.
 
Mkuu sukari imewashinda Lugumi watamueza
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Duh! CHADEMA inyamaze tu kwa sasa huku udikteta ukizidi kushamiri nchini kwa Serkali kuminya uhuru wa Wabunge, ufisadi wa akina Lugumi, Wakwapuzi wa UDA, pride n.k. wakifanya ufisadi mchana mweupe bila woga. Simama kupinga maovu dhidi ya Tanzania na Watanzania. Huu utafiti wa kwamba CHADEMA haina ushawishi uliufanya lini na wapi? Na ukubwa wa sample yako iliyokuwezesha kuhitimisha ulichoandika ni upi?

CHADEMA wangenyamaza kimya tu kwa sasa. Walishindwa kutumia influence yao ya 2010-2015, hawana tena ushawishi kipindi hiki.
 
Wananchi wanashindwa kuwaamini tena sababu mmekua vinyonga , sisi tupo na uncle magu tuna imani nae 150% piga kazi.
Wananchi wepi? Hao walioshusha kura za ccm mpaka 58% ndio unasema hawawaamini chadema? Wale zaidi ya 6m tume iliyosema wamemchagua Lowssa na Magu kapata 8m? Wangekuwa hawawazmini wangewapa kura zote hizi? Ccm ndio mlioshuka, wapinzani wakapanda sana. Leo unssema wananchi hawawaamini? You are really myopic!
 
Acha kurukaruka na kutaka kubadili mjadala husika. Magufuli anayejinadi kama mtumbua majipu hili jipu la Lugumi mbona amekuwa na kigugumizi kizito? Kulikoni? Au naye anaogopa kuwakamata mafisadi wa Lugumi ili nchi isiwake moto?
nani mtego mzuri kwa Magufuli!nahisi ndio maana yuko kimya kwa sasa!Wapinzani waendelee kukandamiza
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wananchi wepi? Hao walioshusha kura za ccm mpaka 58% ndio unasema hawawaamini chadema? Wale zaidi ya 6m tume iliyosema wamemchagua Lowssa na Magu kapata 8m? Wangekuwa hawawazmini wangewapa kura zote hizi? Ccm ndio mlioshuka, wapinzani wakapanda sana. Leo unssema wananchi hawawaamini? You are really myopic!
mkuu,hao achana nao!Type ya Akina Agness Marwa!
 
Duh! CHADEMA inyamaze tu kwa sasa huku udikteta ukizidi kushamiri nchini kwa Serkali kuminya uhuru wa Wabunge, ufisadi wa akina Lugumi, Wakwapuzi wa UDA, pride n.k. wakifanya ufisadi mchana mweupe bila woga. Simama kupinga maovu dhidi ya Tanzania na Watanzania. Huu utafiti wa kwamba CHADEMA haina ushawishi uliufanya lini na wapi? Na ukubwa wa sample yako iliyokuwezesha kuhitimisha ulichoandika ni upi?
Kwahiyo mna ushawishi?
 
Yaani CDM mmeona lugumi ndiyo kick ya kutokea nyinyi si ndiyo siku zote mlalamikia utumbuaji wa majipu na mnasema Rais anaingilia mhimili wa bunge,si nyinyi kupitia wabunge wenu ndiyo mlishinikiza kuundwa kwa kamati maalumu ya kuchunguza mkataba wa Lugumi .Sasa inakuaje leo muanze kulialia kumtaka Rais achukue hatua.Hata Rais akichukuwa hatua hamtachelewa kusema kachukuwa hatua ili kuficha ukweli wa mambo.
 
Sina hamu na chadema walisema lowassa wa richimond fisadi kwa miaka nane baadaye wakasema lowassa kaonewa si ajabu kesho wakasema lugumi naye ameonewa yaani tabu tupu.

Ni mabigwa flani hivi wa kubadilisha uongo kuwa ukweli na ukweli kuwa uongo.
hata boss wake anajua Lowassa siyo fisadi
 
Yaani CDM mmeona lugumi ndiyo kick ya kutokea nyinyi si ndiyo siku zote mlalamikia utumbuaji wa majipu na mnasema Rais anaingilia mhimili wa bunge,si nyinyi kupitia wabunge wenu ndiyo mlishinikiza kuundwa kwa kamati maalumu ya kuchunguza mkataba wa Lugumi .Sasa inakuaje leo muanze kulialia kumtaka Rais achukue hatua.Hata Rais akichukuwa hatua hamtachelewa kusema kachukuwa hatua ili kuficha ukweli wa mambo.
Mkuu tafuta sukari kwanza maigizo nishida
 
Mbowe anayo siri ya RICHMOND ya lowasa
Barare Limited[edit]
On 7 April 1997, Edward Ngoyayi Lowassa and his wife Regina Mumba Lowassa incorporated a company by the name of Barare Limited. They are both listed as shareholders, each with 500 shares. They were also both listed as directors of the company which was located on Maktaba Street, Dar es Salaam. In May 2009, Barare Limited was the subject of a money laundering investigation in the UK, after Lowassa's son, Frederick Edward Lowassa was suspected of money laundering.[10]
 
Mwenye richmond ni Lowasa

bigonzo;
Acha kumtukana mh. Rais; Kwani kusema hivyo unamdhalilisha rais wetu. Kama ni kweli mpelekee kaushahidi na hakika kabla ya kesho tiyari atakuwa keshamtumbua. JPM hana woga,wowote hivyo haya ya mitandaoni yaache tu humu jf. Kama huna la kuandika, mwache mwananchi mwenzio Lowasa, akae aliko.
Kuhama CCM hakujampa kinga, Lowasa sio among the untouchable. Hana ulinzi wala kinga. Hivyo ka unao ushahidi usimsumbue Rais. Peleka tu kwa mzee Mangu amweke Segerea pamoja na kina mzee Kittilya
 
Back
Top Bottom