CHADEMA: Magufuli anayo siri LUGUMI

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeeleza kuamini kwamba, Rais John Magufuli anayo siri ya Kampuni ya LUGUMI na INFOSYS hivyo anapatwa kigugumizi kuchukua hatua.

Pia chama hicho kimeeleza kwamba, ni vema Rais Magufuli ajitokeza hadharani na kuwaeleza wananchi uhusiano wake na Charles Kitwanga, Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi ambaye kampuni yake ndiyo iliyofunga vifaa vya kuchukulia alama za vidole katika Jeshi la Polisi nchini.

“Chama kina mashaka juu ya mahusiano yao kwani licha ya Kitwanga kutajwa mara kadhaa kuwa anahusika na mkataba tata wa Bilioni 37 kati ya Jeshi la Polisi na Kampuni ya LUGUMI Enterprises.

“Lakini bado ameziba masikio. Hivyo, akiendelea kuwa kimya serikali yake itaangushwa kupitia waziri mkuu wake,” Salim Mwalimu, Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA-Zanzibar.

Akizungumza na waandishi wa habari leo ofisini kwake Mwalimu amesema, inawezekana Rais Magufuli anamasilahi binafsi na kampuni hiyo na hivyo kushikwa na kigugumizi jinsi ya kutoa maamuzi.

“Ni kitu cha kushangaza sana kwamba hadi sasa bado hajatoa kauli yoyote. Yeye ni mtaalamu wa kutumbua majipu kwa kupata habari mitandaoni na kwa kusikia tu kama alivyofanya kwa Mkurugenzi wa Jiji lakini majipu yaliyokaribu yake anayaogopa,” amesema na kuongeza;

“Tunamashaka na utumbuaji majipu wake inawezekana anafanya hivyo kwa kulipiza kisasi na kuharibu urafiki wa marais waliopita, ama anajifanya kutumbua watu ili awaweke watu wake waliokuwa wakimsapoti kwenye kampeni.

“Kama kweli anafanya hakimu mbona majipu yanayomuhusu hayatumbui?” amehoji Mwalimu.

Mwalimu pia amemtaka Waziri Kitwanga ambaye anatajwa kuwa ni mmoja kati ya wamiliki wa kampuni ya INFOSYS iliyotumika kufunga mashine za kuchukua alama za vidole (AFIS) , ajitokeze kujibu tuhuma hizo ama ama ajiuzulu kwa kuwa hana sifa za kuwa Waziri tena.

“Kama bado wanafichiana siri yeye na rafiki yake basi aige mfano kwa Edward Lowassa aliyekuwa Waziri Mkuu ambaye alijiuzulu kwa kumstahi rafiki yake aliyekuwa akinuka usifisadi Rais Jakaya Kikwete. Kitwanga ajipime na ajitafakari na kujitoa kwenye uwaziri,” amesema Mwalimu.

Awali, zabuni ya mkataba huo ilitangazwa tarehe 22 Septemba 2011 na kusainiwa terehe 23 Septemba mwaka huo huo ndani ya siku moja mkataba ukasainiwa jambo ambalo ni hatari.

Kampuni ya LUGUMI Enterprises Ltd ilipewa tenda na Jeshi la Polisi kwa ajili ya kufunga mashine za kuchukua alama za vidole katika vituo 108 nchi nzima kwa gharama ya Sh 37 bilioni.Hadi sasa mashine hizo zimefungwa katika vituo 14 tu vya polisi ambapo tayari kampuni hiyo imelipwa Sh. 34 bilioni ikiwa ni asilimia 99 ya fedha za mkataba huo.
 
CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeeleza kuamini kwamba, Rais John Magufuli anayo siri ya Kampuni ya Lugumu na INFOSYS hivyo anapatwa kigugumizi kuchukua hatua,.

Pia chama hicho kimeeleza kwamba, ni vema Rais Magufuli ajitokeza hadharani na kuwaeleza wananchi uhusiano wake na Charles Kitwanga, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambaye kampuni yake ndiyo iliyofunga vifaa vya kuchukulia alama za vidole katika Jeshi la Polisi nchini.

“Chama kina mashaka juu ya mahusiano yao kwani licha ya Kitwanga kutajwa mara kadhaa kuwa anahusika na mkataba tata wa Bilioni 37 kati ya Jeshi la Polisi na Kampuni ya Lugumi Enterprises.

“Lakini bado ameziba masikio. Hivyo, akiendelea kuwa kimya serikali yake itaangushwa kupitia waziri mkuu wake,” Salim Mwalimu, Naibu Katibu Mkuu wa Chadema-Zanzibar.

Akizungumza na waandishi wa habari leo ofisini kwake Mwalimu amesema, inawezekana Rais Magufuli anamasirahi binafsi na kampuni hiyo na hivyo kushikwa na kigugumizi jinsi ya kutoa maamuzi.

“Ni kitu cha kushangaza sana kwamba hadi sasa bado hajatoa kauli yoyote. Yeye ni mtaalamu wa kutumbua majipu kwa kupata habari mitandaoni na kwa kusikia tu kama alivyofanya kwa Mkurugenzi wa Jiji lakini majipu yaliyokaribu yake anayaogopa,” amesema na kuongeza;

“Tunamashaka na utumbuaji majipu wake inawezekana anafanya hivyo kwa kulipiza kisasi na kuharibu urafiki wa marais waliopita, ama anajifanya kutumbua watu ili awaweke watu wake waliokuwa wakimsapoti kwenye kampeni.

“Kama kweli anafanya hakim bona majibu yanayomuhusu hayatumbui?” amehoji Mwalimu.

Mwalimu pia amemtaka Waziri Kitwanga ambaye anatajwa kuwa ni mmoja kati ya wamiliki wa kampuni yaINFOSYS iliyotumika kufunga mashine za kuchukua alama za vidole (AFIS) , ajitokeze kujibu tuhuma hizo ama ama ajiuzulu kwa kuwa hana sifa za kuwa Waziri tena.

“Kama bado wanafichiana siri yeye na rafiki yake basi aige mfano kwa Edward Lowasa aliyekuwa Waziri Mkuu ambaye alijiuzulu kwa kumstahi rafiki yake aliyekuwa akinuka usifisadi Rais Jakaya Kikwete. Kitwanga ajipime na ajitafakari na kujitoa kwenye uwaziri,” amesema Mwalimu.

Awali, zabuni ya mkataba huo ilitangazwa tarehe 22 Septemba 2011 na kusainiwa terehe 23 Septemba mwaka huo huo ndani ya siku moja mkataba ukasainiwa jambo ambalo ni hatari.

Kampuni ya Lugumi Enterprises Ltd ilipewa tenda na Jeshi la Polisi kwa ajili ya kufunga mashine za kuchukua alama za vidole katika vituo 108 nchi nzima kwa gharama ya Sh 37 bilioni.
Hadi sasa mashine hizo zimefungwa katika vituo 14 tu vya polisi ambapo tayari kampuni hiyo imelipwa Sh. 34 bilioni ikiwa ni asilimia 99 ya fedha za mkataba huo.

nafikiri hii issue lugumi haitawatoa mafichoni baada ya kukumbatia mafisadi sijui mtaeleza nini mueleweke sasa hivi
 
Sina hamu na chadema walisema lowassa wa richimond fisadi kwa miaka nane baadaye wakasema lowassa kaonewa si ajabu kesho wakasema lugumi naye ameonewa yaani tabu tupu.

Ni mabigwa flani hivi wa kubadilisha uongo kuwa ukweli na ukweli kuwa uongo.
 
Wananchi wanashindwa kuwaamini tena sababu mmekua vinyonga , sisi tupo na uncle magu tuna imani nae 150% piga kazi.
 
CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeeleza kuamini kwamba, Rais John Magufuli anayo siri ya Kampuni ya Lugumu na INFOSYS hivyo anapatwa kigugumizi kuchukua hatua,.

Pia chama hicho kimeeleza kwamba, ni vema Rais Magufuli ajitokeza hadharani na kuwaeleza wananchi uhusiano wake na Charles Kitwanga, Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi ambaye kampuni yake ndiyo iliyofunga vifaa vya kuchukulia alama za vidole katika Jeshi la Polisi nchini.

“Chama kina mashaka juu ya mahusiano yao kwani licha ya Kitwanga kutajwa mara kadhaa kuwa anahusika na mkataba tata wa Bilioni 37 kati ya Jeshi la Polisi na Kampuni ya Lugumi Enterprises.

“Lakini bado ameziba masikio. Hivyo, akiendelea kuwa kimya serikali yake itaangushwa kupitia waziri mkuu wake,” Salim Mwalimu, Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA-Zanzibar.

Akizungumza na waandishi wa habari leo ofisini kwake Mwalimu amesema, inawezekana Rais Magufuli anamasirahi binafsi na kampuni hiyo na hivyo kushikwa na kigugumizi jinsi ya kutoa maamuzi.

“Ni kitu cha kushangaza sana kwamba hadi sasa bado hajatoa kauli yoyote. Yeye ni mtaalamu wa kutumbua majipu kwa kupata habari mitandaoni na kwa kusikia tu kama alivyofanya kwa Mkurugenzi wa Jiji lakini majipu yaliyokaribu yake anayaogopa,” amesema na kuongeza;

“Tunamashaka na utumbuaji majipu wake inawezekana anafanya hivyo kwa kulipiza kisasi na kuharibu urafiki wa marais waliopita, ama anajifanya kutumbua watu ili awaweke watu wake waliokuwa wakimsapoti kwenye kampeni.

“Kama kweli anafanya hakim bona majibu yanayomuhusu hayatumbui?” amehoji Mwalimu.

Mwalimu pia amemtaka Waziri Kitwanga ambaye anatajwa kuwa ni mmoja kati ya wamiliki wa kampuni ya INFOSYS iliyotumika kufunga mashine za kuchukua alama za vidole (AFIS) , ajitokeze kujibu tuhuma hizo ama ama ajiuzulu kwa kuwa hana sifa za kuwa Waziri tena.

“Kama bado wanafichiana siri yeye na rafiki yake basi aige mfano kwa Edward Lowassa aliyekuwa Waziri Mkuu ambaye alijiuzulu kwa kumstahi rafiki yake aliyekuwa akinuka usifisadi Rais Jakaya Kikwete. Kitwanga ajipime na ajitafakari na kujitoa kwenye uwaziri,” amesema Mwalimu.

Awali, zabuni ya mkataba huo ilitangazwa tarehe 22 Septemba 2011 na kusainiwa terehe 23 Septemba mwaka huo huo ndani ya siku moja mkataba ukasainiwa jambo ambalo ni hatari.

Kampuni ya Lugumi Enterprises Ltd ilipewa tenda na Jeshi la Polisi kwa ajili ya kufunga mashine za kuchukua alama za vidole katika vituo 108 nchi nzima kwa gharama ya Sh 37 bilioni.Hadi sasa mashine hizo zimefungwa katika vituo 14 tu vya polisi ambapo tayari kampuni hiyo imelipwa Sh. 34 bilioni ikiwa ni asilimia 99 ya fedha za mkataba huo.
Barare Limited
On 7 April 1997, Edward Ngoyayi Lowassa and his wife Regina Mumba Lowassa incorporated a company by the name of Barare Limited. They are both listed as shareholders, each with 500 shares. They were also both listed as directors of the company which was located on Maktaba Street, Dar es Salaam. In May 2009, Barare Limited was the subject of a money laundering investigation in the UK, after Lowassa's son, Frederick Edward Lowassa was suspected of money laundering.[10]
 
Mnajua ukawa mnatuvuruga wananchi? Huyo lugumi akihamia kwenu mtaendeleza hiyo mada kweli au mtasema kasingiziwa? Jaman tumeshawajua nyie na vinyonga hata mseme nini magufuri chaguo la wengi,
 
Chadema mnakumbuka lowasa alisema kwenye kampein kuwa chadema isipochukua nchi mwaka huu haita chukua tena? Kama mnakumbuka basi tena haitatokea labda muache ubabaishaji wenu,
 
Rais anakaa kimya kwa maslahi na nani? Kukaa kimya hakutafanya 'Ufisadi wa Lugumi' upoteee

Rais bora ni yule anaeweza kujibu maswali yanayowasumbua wananchi wake kwa wakati
Ningekueleweni kama mngesema kamati ya PAC imekaa kimya kwa nini? Kama kamati yenu ya Bunge inayoongozwa na upinzani imeshindwa kazi otoe taarifa bungeni, rais hawezi ingilia kazi mfupa mlioanza kuufonza wenyewe. msimlazimishe aingilie kazi ambayo mhimili wenu hamjaimaliza. Toeni taarifa bungeni mumeona madudu gani na mnaiagiza serikali ifanye nini. Chadema hii hoja ya Lugumi haitawatoa itawadharirisha achaneni nayo. Kitwanga ameshawamaliza, "Mbunge anayetaka mkataba upo wazi fuateni utaratibu unaotakiwa ishu ya usalama Wa taifa haijadiliwi Sokoni"
 
Back
Top Bottom