Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
- Thread starter
- #81
Kwenye kutumbua tunaenda na Lundo la wandishi wa habari na mbwembwe nyingi sana lakini kwenye kupanga matumizi ya kodi za Watanzania tunapangia Gizani hii ndio Tanzania zaidi ya ujuavyoHivi bunge kuonyeshwa laivu ndo kuwa na akili?? Dah, yale mafuriko ya kichina kweli yamebeba na membraine ktk vichwa vyenu!