CHADEMA: Magufuli anayo siri LUGUMI

CHADEMA: Magufuli anayo siri LUGUMI

Barare Limited
On 7 April 1997, Edward Ngoyayi Lowassa and his wife Regina Mumba Lowassa incorporated a company by the name of Barare Limited. They are both listed as shareholders, each with 500 shares. They were also both listed as directors of the company which was located on Maktaba Street, Dar es Salaam. In May 2009, Barare Limited was the subject of a money laundering investigation in the UK, after Lowassa's son, Frederick Edward Lowassa was suspected of money laundering.[10]

talking about suspection shame, what was court vidict?

i suspect ur fremason hahahahaaaaaaaaaaaaaaa
 
mtakubaliana tu,na sisi kina gogo la shamba pale tuliposema si rahisi Maku kuingilia pale kwenye maslahi ya chama hata kama kuna ufisadi wa kupindukia.
mfano ni kwa yule aliyepeleka hati feki kwenye uchaguzi wa meya Dar
 
CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeeleza kuamini kwamba, Rais John Magufuli anayo siri ya Kampuni ya LUGUMI na INFOSYS hivyo anapatwa kigugumizi kuchukua hatua.

Pia chama hicho kimeeleza kwamba, ni vema Rais Magufuli ajitokeza hadharani na kuwaeleza wananchi uhusiano wake na Charles Kitwanga, Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi ambaye kampuni yake ndiyo iliyofunga vifaa vya kuchukulia alama za vidole katika Jeshi la Polisi nchini.

“Chama kina mashaka juu ya mahusiano yao kwani licha ya Kitwanga kutajwa mara kadhaa kuwa anahusika na mkataba tata wa Bilioni 37 kati ya Jeshi la Polisi na Kampuni ya LUGUMI Enterprises.

“Lakini bado ameziba masikio. Hivyo, akiendelea kuwa kimya serikali yake itaangushwa kupitia waziri mkuu wake,” Salim Mwalimu, Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA-Zanzibar.

Akizungumza na waandishi wa habari leo ofisini kwake Mwalimu amesema, inawezekana Rais Magufuli anamasilahi binafsi na kampuni hiyo na hivyo kushikwa na kigugumizi jinsi ya kutoa maamuzi.

“Ni kitu cha kushangaza sana kwamba hadi sasa bado hajatoa kauli yoyote. Yeye ni mtaalamu wa kutumbua majipu kwa kupata habari mitandaoni na kwa kusikia tu kama alivyofanya kwa Mkurugenzi wa Jiji lakini majipu yaliyokaribu yake anayaogopa,” amesema na kuongeza;

“Tunamashaka na utumbuaji majipu wake inawezekana anafanya hivyo kwa kulipiza kisasi na kuharibu urafiki wa marais waliopita, ama anajifanya kutumbua watu ili awaweke watu wake waliokuwa wakimsapoti kwenye kampeni.

“Kama kweli anafanya hakimu mbona majipu yanayomuhusu hayatumbui?” amehoji Mwalimu.

Mwalimu pia amemtaka Waziri Kitwanga ambaye anatajwa kuwa ni mmoja kati ya wamiliki wa kampuni ya INFOSYS iliyotumika kufunga mashine za kuchukua alama za vidole (AFIS) , ajitokeze kujibu tuhuma hizo ama ama ajiuzulu kwa kuwa hana sifa za kuwa Waziri tena.

“Kama bado wanafichiana siri yeye na rafiki yake basi aige mfano kwa Edward Lowassa aliyekuwa Waziri Mkuu ambaye alijiuzulu kwa kumstahi rafiki yake aliyekuwa akinuka usifisadi Rais Jakaya Kikwete. Kitwanga ajipime na ajitafakari na kujitoa kwenye uwaziri,” amesema Mwalimu.

Awali, zabuni ya mkataba huo ilitangazwa tarehe 22 Septemba 2011 na kusainiwa terehe 23 Septemba mwaka huo huo ndani ya siku moja mkataba ukasainiwa jambo ambalo ni hatari.

Kampuni ya LUGUMI Enterprises Ltd ilipewa tenda na Jeshi la Polisi kwa ajili ya kufunga mashine za kuchukua alama za vidole katika vituo 108 nchi nzima kwa gharama ya Sh 37 bilioni.Hadi sasa mashine hizo zimefungwa katika vituo 14 tu vya polisi ambapo tayari kampuni hiyo imelipwa Sh. 34 bilioni ikiwa ni asilimia 99 ya fedha za mkataba huo.
Lugumi ukilitumbua lazima ukutoke uhai
 
bure tu..cdm wanajaribu kumchafua jpm. wanalazimisha kitwanga sub contractor wa lugumi huku hawawezi kusema kampuni ya infosy ilikosea nini. hakika ni siasa za majitaka. cdm kwa sasa ni sawa na gari imefyatuka breki kwenye njia panda.
 
Hivi chadema mbona ni vihelehele sana??

Kamati ya bunge yenye wabunge wa vyama vyote imeshaundwa kuchunguza, wakimaliza wataleta report bungeni kujadiliwa .

Shida yenu nini nyinyi Nyumbu jamani
Hii kamati naona inachelewa kidogo kuendelea na kazi kwani walishaianza Dodoma. Nadhani by the time wanatoka Dodoma watakuta mashine ziko vituoni. Nawashauri wawe na utaalamu wa computer hii itaweza kuwasaidia kuona lini hizo mashine zimeanza kutumika. Nawashauri wawe makini sana. Tunachotaka ukweli ujulikane. Katika mazingira tata ya namna hii kama kuna element yeyote inayoashiria uchunguzi huo kutokuwa huru, basi yule au wale wanaoleta hisia ya mgongano wa kimaslahi wakae pembeni. Hii itasaidia uchunguzi kuwa huru.

Miaka ya sabini kulikuwa na tume - Tume ya Kudumu ya Uchunguzi. Hii tume ilikuwa inafanya kazi nzuri sana na wajumbe walikuwa wanakaa kwa miaka michache. Hii Tume navyosikia ikageuka kuwa Tume ya maadili. Pengine kuna kiongozi ilimuumbua kwa hiyo hakuipenda kabisa. Kwenye hii Tume watu wote wenye malalamiko dhidi ya watendaji wa serikali au wanaoona kuna sehemu haki haikutendeka waliweza kupeleka vielelezo vyao na kusikilizwa na uamuzi kutolewa.

Hawa hawa watu tunaowatetea huku wanamwaga dharau kubwa mitaani mpaka unapata hasira ukiwasikia. Wanajua hatuna tutakalo wafanya. They just got away with it!!

Mungu ibariki Tanzania.
 
Inawezekana Magufuli siyo mpumbavu (kama ulivyoandika wewe hapo juu), bali ni "mtu wa data" na ni "mwanasayansi" asiyeamini ktk porojo!!!???

Nilicho na uhakika nacho baada ya kuisoma hii argument yako ni hiki, kuwa - likely wewe ndiye mpumbavu basi kwa sbb huoni kasoro zozote ktk utawala huu!!
Yawezekana upumbavu uliokuwa nao ni wa kijenetiki ndio maana umeshindwa kujua kuwa mada iliyopo haikuwa ni mashindano ya kuonesha udhaifu wa utawala wa awamu ya tano. Nilichokifanya ni kujibu hoja za wapumbavu wenzio ambazo kwa akili yako umeshindwa kuzijibu.
Serikali ya awamu ya tano inaongozwa na wanadamu hivyo haiwezi kuwa njema kwa asilimia mia moja.
 
Inashangaza sana mtu mwenye akili zake timamu,mwenye kujua baya na zuri bado anajitoa akili kwenye suala la Lugumi ambalo Wapinzani wanalishupalia,na kuanza kuleta kejeli ilhali ni wachache waliofaidi,sijajua kama huwa wanalipwa kuyapinga au kujitoa akil hata yenye ukwel ndani take,kama hili la Lugumi.
 
Inashangaza sana mtu mwenye akili zake timamu,mwenye kujua baya na zuri bado anajitoa akili kwenye suala la Lugumi ambalo Wapinzani wanalishupalia,na kuanza kuleta kejeli ilhali ni wachache waliofaidi,sijajua kama huwa wanalipwa kuyapinga au kujitoa akil hata kwenye mambo yenye maslahi kwa Taifa,kama hili la Lugumi.
 
Lugumi ana Jinsia gani mbona swala lake halimaliziki?
 
talking about suspection shame, what was court vidict?

i suspect ur fremason hahahahaaaaaaaaaaaaaaa

kabila hiyo inahusika na chama fulani .....mjomba here we go!!

safe_image.php
0060.jpg
 
kabila hiyo inahusika na chama fulani .....mjomba here we go!!

safe_image.php
0060.jpg

nenda na wewe maana sizani kama utamani nafas za hao jamaa katika jamii

pumbavu sana ndo nyie mnafurahia watu kufukuzwa kazi kisiasa
 
Hivi una akili wewe?? Rais aje ajibu ilibiweje?? Kamati za bunge zinafanya nini??
Aisee, bavicha wengi hamnazo! Kwa nini mnatumia vidole kufikiri??
Una uwezo mdogo sana wa kufikiri!

Mmoja wa wamiliki wa kampuni ya Lugumi ni waziri wa mambo ya ndani alieteuliwa na Rais, na Rais hajazungumzia hili suala

Utakumbuka sakata la Escrow, Kikwete alianza kwa kukaa kimya, ila wananchi walihitaji ajibu maswali, baadae akajitetea kuwa hazikuwa fedha za umma, na mwishowe akapingana na maazimio ya kamati ya bunge, hadi leo wananchi wengi hawajui zile fedha zingine za Escrow zilichukuliwa na nani, na serikali hii haitaki kulifufua

Tunategemea kuona kasi ileile ya utumbuaji majipu katika sakata ya Lugumi. Kwa tunavyomjua Rais 'asivyopenda ufisadi' angekuwa kashatuma katimu kake kadogo kuchunguza na angekuwa kashatumbua jipu mapemaaaaaa.
 
nenda na wewe maana sizani kama utamani nafas za hao jamaa katika jamii

pumbavu sana ndo nyie mnafurahia watu kufukuzwa kazi kisiasa
Ohh lala! another bad creation..... mwambadog povu zito la nini brother? wacha ubinafsi lets stand for up kwa ajili ya maslahi mapana ya Nchi.... We are in right direction...join the moment....
 
Chadema anzeni mkakati wa kudai katiba ya warioba kabla JPM hajawapiga bao na hapo, hata kama ataipitisha, mtazuga nyie ndo mmemshinikiza, mtapata airtime kidogo mtaani!! Akiwawahi, maana anaweza, atawamaliza!!
Katiba mpya sio kwa faida ya Chadema ni kwa faida ya nchi na wananchi wote

Kwanini watu mnashindwa kufikiri nje ya box na kutazama mbali miaka mingi ijayo?? Inawezekana hujui katiba ni nini na umuhimu wa katiba mpya kwa Tanzania
 
Katiba mpya sio kwa faida ya Chadema ni kwa faida ya nchi na wananchi wote

Kwanini watu mnashindwa kufikiri nje ya box na kutazama mbali miaka mingi ijayo?? Inawezekana hujui katiba ni nini na umuhimu wa katiba mpya kwa Tanzania
hatuhitaji katiba mpya....tunahitaji mabadiliko machache ya Msingi kwenye katiba iliyopo..... hatutaruhusu tena hela za walipa kodi kuliwa na watengeneza activities..... Mwaka jana mlipata nafasi MKAMBWERA!! Tumestuka...... GUFULI shughulikia hawa kwa kutumia katiba iliyopo!
 
Yawezekana upumbavu uliokuwa nao ni wa kijenetiki ndio maana umeshindwa kujua kuwa mada iliyopo haikuwa ni mashindano ya kuonesha udhaifu wa utawala wa awamu ya tano. Nilichokifanya ni kujibu hoja za wapumbavu wenzio ambazo kwa akili yako umeshindwa kuzijibu.
Serikali ya awamu ya tano inaongozwa na wanadamu hivyo haiwezi kuwa njema kwa asilimia mia moja.

Wewe Msororo69 wewe....eti unasemaje?

Kichaa na mwendawazimu siku zote hujiona yeye ndiye yuko mentally perfect na wazima ndiyo vichaa. Ndiyo wewe!!

Unataka nijibu hoja gani kutoka kwako? Niimbe nyimbo mnazoimba ninyi na kushangilia yaleyale ya miaka 50+ ya watu hawahawa kwa staili ileile nitegemee matokeo tofauti??

I am not stupid to the extent of your level dude!!


Wengine tulishatoka kuamini ktk hadaa za kipuuzi kutoka ktk watu wa chama kilichochoka na kuzeeka, Chama cha Majipu a.k.a CCM hata wakija na rangi gani.......tutawatambua tu!!
 
Back
Top Bottom