CHADEMA, Ludovick Rwezahula anaangamia mahabusu, utu uko wapi?

CHADEMA, Ludovick Rwezahula anaangamia mahabusu, utu uko wapi?

Status
Not open for further replies.
[h=2]JamiiForums Message[/h]You have been banned for the following reason:
Read Forum Rules - hamy-d= mwigulu / nape
Date the ban will be lifted: 10th July 2013, 12:00

Mwigulu Nchemba hajaenda kumtoa?....ukiona hata ndugu zake wamentosa, CDM wataweza kweli? nyoka hana rafiki, ukiona mtu anaulafiki na nyoka jua lao moja
 
Yohana 10.16 Na kondoo wengine ninao, ambao si wa zizi hili; na hao nao imenipasa kuwaleta; na sauti yangu wataisikia; kisha kutakuwako kundi moja na mchungaji mmoja.(huyu jamaa hakuisikia sauti ya mchungaji wake, Sasa amekimbilia porini na amekumbana na mbwa mwitu kurudi kwa mchunga wake njia haijui tena.)
 
Hio ndio CDM yenye kauli mbiu"tumeanza na Mungu na tunamaliza na Mungu".Huyo Mungu anaefundisha lipa baya kwa baya maradufu ni yupi?maneno ya nabii isa mwenyewe yani yesu amesema"samehe saba mara sabini"."akupigae shavu lakushoto basi mgeuzie na la kuume".Lakini CDM mnaona sahihi kabisa kumuhukumu Rudo.Mungu ni mwenye huruma na ndio maana pamoja na makosa ye2 bado tunaishi,Dr mpaka sasahivi anaishi na kima.da yeye anaona ni sahihi kabisa tena anafika hatua yakwenda na kima.da hata Izrael hija

mkuu wapelekee huu wosia wako waendesha mashtaka na jaji/hakimu anaesikiliza kesi ya ludo, waambia Yesu alisema samehe mara saba mara sabini hivyo kijana ludo asamehewe... Aachiwe huru bila hukumu yoyote ili kufuata andiko.
Alafu uje utuambie watakujibu nini kuhusu huu ushauri wako.
 
Iwe funzo kwa vijana wadandia siasa. Wanaotaka kuendesha maisha yao kwa kutegemea siasa badala ya kufanya kazi zao.
 
Mkuu usijitie uzuzu kwa makusudi, very simple Ludo msaliti zaidi ya Yuda kwa kushiriki kutengeneza video feki ya ugaidi ambayo hata mahama kuu imeikataa..hulioni hilo au mahaba na chama yamekuzidi uwezo!!!!
rejea maandishi makubwa ya bluu toka kwa post yako...
ninyi ni wanafunzi wa haya mambo na hatutachoka kuwafundisha hata kama mnajipofua macho kwa makusudi.
kama LUDO ni msaliti zaidi ya yuda!! ina maana kwako wewe CHADEMA ni zaidi ya KRISTO YESU!!!!!????? PUMB.....AFFFFF
mahakama kuu haijaikataa video bali imezipangua tuhuma kutoka kuwa kosa la ugaidi hadi kuja kwenye kosa la jinai la kupanga kufanya mauaji..
hivi nyie mmezaliwa kupitia njia ya kawaida kweli??? mbona LWAX imeshakula kwake na hata yeye mwenyewe anajua!!!!!
kama video ni fake,,,,,, usaliti wa LUDOVIC unakujaje??? mnajichanganya mbayaaaaa
 
Hili jina na usaliti si kila siku anaitwa Zitto hivyo? mbona mnamlea?
We mwanamke yaani kwa umbea hufai hata kuwa hawara,mambo ya Chadema yankuwashia nn?unawashwa sana eeh!!
 
mwambie mwigulu akamwekee dhamana dhambi ya usaliti itawamaliza vijana wengi wenye tama na maisha ya kifahari bado mtela na shonza
 
Ludovick alitumwa na alipewa vitendea kazi na Mwigulu ili arekodi mkanda na akalipwa na Mwigulu.

Lengo la Mwigulu kumlipa Ludovick ili kurekodi mkanda ni kutaka kupata ushahidi wa kukihusisha chama cha CDM na ugaidi ili kifutwe na msajili wa vyama vya siasa. Hivyo Ludovick alitenda hayo kwa maslahi ya Mwigulu na chama chake.

Ludovick yuko ndani kwa sababu ya huo mkanda na pesa aliyolipwa na Mwigulu.

Ludovick yuko ndani kwa kosa alilolifanya akiwa anatumikia maslahi ya Mwigulu na chama chake.

Hapa wana CCM mnaendeleza propaganda zenu, na wajinga tu ndio watadanganyika.

Huyu aliyemtuma, na ambaye maslahi yake yametumikiwa na Ludovick amdhamini sasa.

By the way kama mna huruma mbona hamuwatetei akina Kilewo?
rejea maandishi makubwa ya bluu toka kwa post yako...
ninyi ni wanafunzi wa haya mambo na hatutachoka kuwafundisha hata kama mnajipofua macho kwa makusudi.
kama LUDO ni msaliti zaidi ya yuda!! ina maana kwako wewe CHADEMA ni zaidi ya KRISTO YESU!!!!!????? PUMB.....AFFFFF
mahakama kuu haijaikataa video bali imezipangua tuhuma kutoka kuwa kosa la ugaidi hadi kuja kwenye kosa la jinai la kupanga kufanya mauaji..
hivi nyie mmezaliwa kupitia njia ya kawaida kweli??? mbona LWAX imeshakula kwake na hata yeye mwenyewe anajua!!!!!
kama video ni fake,,,,,, usaliti wa LUDOVIC unakujaje??? mnajichanganya mbayaaaaa
Ushahidi ni kauli ya Mwigulu hii hapa.
 
Last edited by a moderator:
WanaJF!

Leo ni siku ya kesi ya bwana Lwakatare kusikilizwa kwenye mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, lakini kesi imehairishwa mpaka July 22, 2013.

Pamoja na hayo, mshitakiwa na.2 bwana Ludovick Rwezahula ameshindwa kupata dhamana kwa sababu ya kutokamilika kwa nyaraka za dhamana, ingawa dhamana yake iko wazi kabisa.

Bwana Ludovick akiwa nje ya mahakama, ameonekana akiwa mnyonge na alikuwa akilia sana kwa uchungu huku akilalamika ndugu zake (ambao hawakufika mahakamani) hawafatilii dhamana yake.

Kwa hali kama hiyo, kijana Ludovick anaendelea kusota gerezani na kuzidi kuangamia, kwani wote sisi ni wanaadamu na tunajua makali ya maisha ya gerezani.

Rai yangu kwa CHADEMA; haijarishi kijana Ludovick kama alikuwa mwajiriwa wa CHADEMA kimkataba ama alikuwa volunteer, jambo la msingi ni kwamba alikuwa ana kitumikia CHADEMA kwa moyo wake wote na nguvu zake zote. Ludovick alijitoa kwa CHADEMA kwa namna ya pekee, ni kijana ambae alikuwa bega kwa bega na Dr Slaa kiutendaji na vile vile alikuwa kama mtoto kwa Dr Slaa.

Katika hali kama hiyo sikutarajia kama CHADEMA kinaweza kumtema na kumkataa kabisa bwana Ludovick Rwezaura. Kwani wote tunafahamu kuwa, kosa aliadhibiwi kwa ubaya, bali kosa dawa yake kukosolewa. Sasa kwanini CHADEMA wana muadhibu kijana Ludovick kwa ubaya? kwanini wasimsaidie hata kwa dhamana ili aweze kutoka kwenye 'jehanamu' ya duniani?

Maamuzi haya ya kumtupa mkono kijana Ludovick katika hali hii mbaya inayo mkabili, inajenga wasiwasi mkubwa kwa vijana wengi walio CHADEMA juu ya hatma yao endapo wakikosea jambo. Je, chama kitawasaidia kwa lolote? Ni wakati vijana wakawa makini sana na namna ambavyo CHADEMA na viongozi wake wana shughulikia nidhamu na makosa ya wanachama wao, hiki anacho fanyiwa Ludovick, hakina tofauti sana na walicho fanyiwa Juliana Shonza na Mtela Mwampamba.

View attachment 101283Kijana Ludovick akionekana amenyong'onyea leo mahakamani, pembeni yake ni bwana Lwakatare wakiwa na askari magereza.
na yeye atatoka tu, kwani sheikh Ponda alikaa miezi mingapi? Serikali ikitaka kumuachia itamuachia sio suala la chadema. au mnataka kugeuza kibao kwamba chadema ndio waliomuweka ndani kama mnavyosema kwamba chadema walijilipua bomu wenyewe kule Arusha?
 
Fadhila gani alizomfanyia dr. mpaka ukadhan kwamba dr. ana nafasi ya kumsaidia inreturn?

Inaonekana unaelewa vizuri sana mahusiano yalokuwepo kt ya dr na Ludo. Ebu tujuze interest yako ktk hilo. Je ulikuwa mtu wa karibu kati ya hao ndugu? Ni nani kati yao alekueleza juu ya ukaribu walonao?

NINA MASHAKA SANA NA AINA YA UTETEZI WAKO KWA LUDO. KUNA KITU NYUMA YA PAZIA.

Hakika umenena. Kuna kitu nyuma ya pazia. Mbona anamlilila hivooooo? Si aende yeye kumwekea dhamana? CHADEMA haina fadhila na wasaliti na majasusi.
 
Iwe funzo kwa vijana wadandia siasa. Wanaotaka kuendesha maisha yao kwa kutegemea siasa badala ya kufanya kazi zao.

Sure...maana sasa imekuwa kama bongo movie..kila kijana ni mwanamapinduzi kupitia siasa!!! Asiyefunzwa na mamaye...
 
Ndugu zanguni,

Najua mara nyingi threads zenye kuigusa chadema huwa hazina uhai mwingi hapa lakini kuna masuala inabidi tuyaweke wazi.

Ni aibu kubwa kuona chadema inawamkana Ludovick kuwa sio mtu wao na kumtelekeza jela wakati alikuwa kijana wa karibu sana na Dr Slaa na ambaye ametumika sana kwenye mambo ya ushushu ya chadema.

Pili ni aibu iliyopita kikomo kuona mkuu wa usalama wa chadema anaachwa hospitali kama mtu wa kawaida tu bila extra care au kupatiwa chumba maalum ukizingatia huyo ni mkuu wa usalama hivyo lazima atakuwa na mambo mengi ambayo wakati mwingine sio vizuri alazwe kwenye public hospital ili kumsitiri yeye na mambo mengine ya ndani ya chama,

Nina uhakika kama Lwakatare angekuwa ametoka kaskazini lazima angepewa huduma ya hali ya juu kutoka chamani. Lakini kwa sababu jamaa yangu katokea Hamugembe yeye ndio basi tena na hata wenzake sidhani kama wanamtembelea huko zaidi ya kumpigia simu tu.

Vijana wenzangu, leo mmeona jinsi Chadema inavyowatosa watu wake muhimu katika chama, Nikuulize wewe unayejiita kamanda, unayetumwa ukafanye vurugu na kupigwa virungu kwenye mikutano isiyo na vibali unadhani watakuja kukumbuka wewe?

Juzi Nassari aliumia na kukimbizwa haraka hospitali na alipewa first class treatment, iweje Lwakatare aachwe hivi hivi tu?

Nina uhakika leo Mbowe akijikwaa kidole atasafirishwa haraka kwenda ujerumani na familia nzima kwenda kutibiwa!

JITAMBUE!
 
Kwa sasa tunaongelea suala la Red Brigade.
Unajaribu kuzimua eeh? Dr kalenga Ikulu, watu wanahanya!

Kwasasa tunataka kujuzwa ni wapi fomu za kujiunga na RB zinapatikana.
Tunataka kujua familia moja inaweza kuleta watu hadi wangapi kwa wakati mmoja kujiunga na RB, maana kuna familia huku Arusha zinataka kuingiza hadi watu 8!

Tunataka kujua kama kuna kulipia hizo fomu ili tujue ni shing' ngapi, na zipelekwe wapi!
Mambo ya Rwakatare yana utaratibu wake.
Usituondolee konsentresheni we mburula.
 
Chris Lukosi,

..mbona CCM waliwatosa makada waaminifu, na mawaziri waandamizi,Jackson Makweta, na Chediel Mgonja?

..pamoja na hao mwingine aliyetoswa ni mkuu wa majeshi mstaafu General.Ernest Mwita Kyaro.

cc: Mchambuzi, Ritz, chama, NasDaz
 
Last edited by a moderator:
Pili ni aibu iliyopita kikomo kuona mkuu wa usalama wa chadema anaachwa hospitali kama mtu wa kawaida tu bila extra care au kupatiwa chumba maalum ukizingatia huyo ni mkuu wa usalama hivyo lazima atakuwa na mambo mengi ambayo wakati mwingine sio vizuri alazwe kwenye public hospital ili kumsitiri yeye na mambo mengine ya ndani ya chama

Ungeshauri apelekwe kabisa India kama wanavyopelekwa wa chama tawala.

Maana tumeona kwa chama tawala charity starts at home kwa kuwapeka watawala wao India huku wananchi wakisota muhimbili kama hawa.

Tena kwa kutumia hiyo principle ya charity starts at home chama tawala kingevunjilia mbali Green Guard kabla ya kuviambia vyamba vingine vingenin vivunje Red Brigade na Blue Guard zao

610x.jpg
 
Ndugu zanguni,

Najua mara nyingi threads zenye kuigusa chadema huwa hazina uhai mwingi hapa lakini kuna masuala inabidi tuyaweke wazi.

Ni aibu kubwa kuona chadema inawamkana Ludovick kuwa sio mtu wao na kumtelekeza jela wakati alikuwa kijana wa karibu sana na Dr Slaa na ambaye ametumika sana kwenye mambo ya ushushu ya chadema.

Pili ni aibu iliyopita kikomo kuona mkuu wa usalama wa chadema anaachwa hospitali kama mtu wa kawaida tu bila extra care au kupatiwa chumba maalum ukizingatia huyo ni mkuu wa usalama hivyo lazima atakuwa na mambo mengi ambayo wakati mwingine sio vizuri alazwe kwenye public hospital ili kumsitiri yeye na mambo mengine ya ndani ya chama,

Nina uhakika kama Lwakatare angekuwa ametoka kaskazini lazima angepewa huduma ya hali ya juu kutoka chamani. Lakini kwa sababu jamaa yangu katokea Hamugembe yeye ndio basi tena na hata wenzake sidhani kama wanamtembelea huko zaidi ya kumpigia simu tu.

Vijana wenzangu, leo mmeona jinsi Chadema inavyowatosa watu wake muhimu katika chama, Nikuulize wewe unayejiita kamanda, unayetumwa ukafanye vurugu na kupigwa virungu kwenye mikutano isiyo na vibali unadhani watakuja kukumbuka wewe?

Juzi Nassari aliumia na kukimbizwa haraka hospitali na alipewa first class treatment, iweje Lwakatare aachwe hivi hivi tu?

Nina uhakika leo Mbowe akijikwaa kidole atasafirishwa haraka kwenda ujerumani na familia nzima kwenda kutibiwa!

JITAMBUE!

Mkuu ngoja waje wamwage povu hapa wenyewe kina mohamed mtoi na mwita maranya
japo nina wasiwasi uwepo wa hii thread hapa jamvini dakika chache zijazo.
Ngoja nikasali thread isitolewe maana kuna maslahi ya watu yameguswa hapa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom