JokaKuu,
...Kwa mujibu wa maelezo yako, ni dhahiri kuwa CHADEMA haina mbadala na CCM. Kwa kuwa yale maovu yaliyo fanywa na CCM ndio hayo hayo yanayo rudiwa na CHADEMA, mantiki ipo wapi ya kusema hivi vyama ni tofauti?
...Nilitarajia kwenye maeneo ambayo CHADEMA ina mapungufu, wapenzi wa CHADEMA wawe makini kuyabaini ili waweze kushauri viongozi wa CHADEMA namna bora ya kuweza kurekebisha mapungufu hayo.
..hivi unaona kumtelekeza mtu kama Gen.Ernest Mwita Kiaro ni jambo dogo??
..CCM mmekuwa kama hamuelewi role yenu kama chama kilichoshika serikali.
..badala ya kuhangaika na CDM mngejielekeza ktk kutatua matatizo ya wananchi.