CHADEMA, Ludovick Rwezahula anaangamia mahabusu, utu uko wapi?

CHADEMA, Ludovick Rwezahula anaangamia mahabusu, utu uko wapi?

Status
Not open for further replies.
Kijana wa Bavicha katelekezwa, Chadema mna jopo la wanasheria msaidieni huyu kijana.

Wanasheria wa nini wakati kesi hakuna pale bali ni ze Comedy ambayo ilitungwa na Mwigulu yeye akawa mchezaji halafu leo CDM NDIO WATOE DHAMANA?
 
You are NEXT.....

739014474.jpg
 
My Future Investment..................., YES!!! Now you are.

NCHEMBA.JPG
 
Ludo ni rafiki ake na lwakatare na ni private secretary wa slaa

Ok, naona umenena madelu mzee wa tindikali inaonekana unamfahamu kwa ukaribu, ama kwel ni rafiki yake ndo maana akaamua kuchukua 50,000/=
 
WanaJF!

Leo ni siku ya kesi ya bwana Lwakatare kusikilizwa kwenye mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, lakini kesi imehairishwa mpaka July 22, 2013.

Pamoja na hayo, mshitakiwa na.2 bwana Ludovick Rwezahula ameshindwa kupata dhamana kwa sababu ya kutokamilika kwa nyaraka za dhamana, ingawa dhamana yake iko wazi kabisa.

Bwana Ludovick akiwa nje ya mahakama, ameonekana akiwa mnyonge na alikuwa akilia sana kwa uchungu huku akilalamika ndugu zake (ambao hawakufika mahakamani) hawafatilii dhamana yake.

Kwa hali kama hiyo, kijana Ludovick anaendelea kusota gerezani na kuzidi kuangamia, kwani wote sisi ni wanaadamu na tunajua makali ya maisha ya gerezani.

Rai yangu kwa CHADEMA; haijarishi kijana Ludovick kama alikuwa mwajiriwa wa CHADEMA kimkataba ama alikuwa volunteer, jambo la msingi ni kwamba alikuwa ana kitumikia CHADEMA kwa moyo wake wote na nguvu zake zote. Ludovick alijitoa kwa CHADEMA kwa namna ya pekee, ni kijana ambae alikuwa bega kwa bega na Dr Slaa kiutendaji na vile vile alikuwa kama mtoto kwa Dr Slaa.

Katika hali kama hiyo sikutarajia kama CHADEMA kinaweza kumtema na kumkataa kabisa bwana Ludovick Rwezaura. Kwani wote tunafahamu kuwa, kosa aliadhibiwi kwa ubaya, bali kosa dawa yake kukosolewa. Sasa kwanini CHADEMA wana muadhibu kijana Ludovick kwa ubaya? kwanini wasimsaidie hata kwa dhamana ili aweze kutoka kwenye 'jehanamu' ya duniani?

Maamuzi haya ya kumtupa mkono kijana Ludovick katika hali hii mbaya inayo mkabili, inajenga wasiwasi mkubwa kwa vijana wengi walio CHADEMA juu ya hatma yao endapo wakikosea jambo. Je, chama kitawasaidia kwa lolote? Ni wakati vijana wakawa makini sana na namna ambavyo CHADEMA na viongozi wake wana shughulikia nidhamu na makosa ya wanachama wao, hiki anacho fanyiwa Ludovick, hakina tofauti sana na walicho fanyiwa Juliana Shonza na Mtela Mwampamba.

View attachment 101283Kijana Ludovick akionekana amenyong'onyea leo mahakamani, pembeni yake ni bwana Lwakatare wakiwa na askari magereza.
Mkuu naona ona hoja sana, sasa mie binafsi nakuomba tinga ofisi za CDM kaulize haya yote na kaongee na viongozi alafu lete hapa jamvini. Vinginevyo hata wewe una nafasi ya kumwekea dhamana kijana mwenzako, hamasisha michango toka kwa vijana na hata watu wenye mapenzi mema, angalia vigezo vya utoaji dhamana , tinga mahakamani, utakuwa shujaa sana mkuu na utakuwa umeachana na itikadi za vyama na kufanya tendo la kiutu.
 
chadema hawapaswi kuhangaika na ludo na pindi watakapomtoa hawa kina hammy d watakuja na kusema mengine.mtu wa ku kumtoa ludo ni mwigulu na wengine walioshirikiana kutengeneza video fake,ludo ni mfano wa vijana ambao wapo radhi kufanya lolote bila kuhoji kesho itakuwaje wakifanya hivo.mwigulu atalaaniwa kwa yote haya yanayomkumba ludo.
 
Takataka hii ndio mshahara wa usaliti kwa huyu kijana kama kweli kawasaliti cdm,
shame upon you mwigulu/ccm
 
Aliyataka mwenyewe,he took the satisfaction that he could get from having 50000 Tsh is more than being patriotic to his part....amtafute Mwigulu atamtoa
Ndio kazi ya ccm ukishatumika..ndio basi.
 
Aliyataka mwenyewe,he took the satisfaction that he could get from having 50000 Tsh is more than being patriotic to his party and/or leaders.......amtafute Mwigulu atamtoa
Ndio kazi ya ccm ukishatumika..ndio basi.
 
Tatizo lenu ni ujinga na umbumbumbu mkubwa mlionao magaidi wa chadema.
unamuongelea mabere marando na kesi ya LWAX NA LUDOVIC??? hivi una hata chembe ya sheria hata kama hujaenda shule hata siku moja??? labda nikupe tu ufunuo(revelation ) ya kile mnachofanyiwa na marando'
''wakati akiwa kama wakili wa LWAX, angetakiwa atumie uwezo wake wooote kumtoa mteja wake(LWAX) katika tuhuma zile!! yeye anahangaika kutafuta mlolongo wa watuhumiwa wengine ili waunganishwe kwenye kesi ya LWAX. kwa hiyo anachotaka yeye mahakama itambue, sio kwamba mteja wake(LWAX) hajashiriki, laa bali ni kwamba alishiriki lakini hakushiriki peke yake.mpaka sasa hajafanya jitihada zozote(za wazi na za siri) za kujaribu kumtenganisha LWAX na tuhuma bali anacement ushiriki wa LWAX katika tuhuma husika.
mbona kesi ya LWAX mwisho wake uko wazi!!! hata muweke wakili SHETANI na hakimu awe MALAIKA WA SHETANI

Unatumia nguvu nyingi sana kuyaeleza haya, Chadema haina vyombo vya dola Kama ndg zetu CCM.... haina majaji.... lakini KINACHONISHANGAZA ni kwanini vijana wa CCM uzalendo umewatoka kiasi hiki? wako tayari kuutetea uovu ili mradi wao ujira umeingia.

CCM jielekezeni kutimiza ahadi zenu mlizowahaidi watanzania.

Siku zinakuja mtashindwa kuwadanganya tena watanzania........ hizi kesi za ugaidi ni mpaka lini ndugu zangu?
 
Bwn Hamy-D, umeeleza vizuri na ushauri mzuri pia, wewe ni ccm damu na CDM ni mpinzani wako mkubwa, comments zako humu jamvini nyingi zinaonesha pia hua unaichukia CDM, swali, Shetani anaweza kumshauri kitu kizuri mcha Mungu ili aendelee kumcha Mungu? Mlitegemea CDM wafanye kitu kwa huyo kibaraka while anti-Virus ya chadema ika detect mapema huyo virus, hilo hamkulitegemea, nendeni wenyewe mkamtoe, hakuna siri, kila mwenye akili timamu anajua kua yeye alitumika na sasa anavuna alicho kipanda, hongera zake Ludovic, matunda ya usaliti kama Yuda Iskarioti
 
Eti kumuacha ludovick kunaonesha taswira mbaya kwa vijana wa chadema....poor mind....huyu jamaa ni msaliti kwa chama,watanzania wakiwemo hao vijana,ni mtu hatari anaweza kukua huyu mtu...sio wa kusamehewa na chadema wala kuonewa huruma.Waliomtuma afanye unyama huo wapo na wamuwekee dhamana
 
mwigulu malipo ni hapa hapa duniani,movies zake kipuuzi...zitamuumbua muacheni atumike huku akijiharibia sifa,sijui atakuwa mgeni wa nani siku yakimkuta.

739014474.jpg



Hivi hii resemblance naiona mimi tu au? Jamani watu hufanana, utadhani mapacha! Jaribu tu kuondoa hayo makovu ya Tesha, inayobaki ni photocopy ya Lameck Mwigulu Nchemba. Je kuna mtu alifanya utafiti wowote kujua uhusiano uliopo kati ya hawa jamaa? Anyway hii ni observation yangu tu, sina nia mbaya na mtu.
 
Huyu kijana kwanini anakubali kuumia kwa kujiingiza kwenye michezo michafu ya kuharibu taifa kwa kuteka watu kuumiza na kutunga stori?
Natamani ningeonana nae na kumshawishi aache unafiki na kuweka wazi kila kitu kwani baada ya mwigulu na chama chake kumaliza kumtumia sidhani kama watamuacha hai maana ndio michezo michafu ya kisiasa ili kuendelea kulinda siri za wahusika.Bora atubu na aseme kweli liwalo na liwe.
 
HAMMY-D, CCM ndio walivyo, ukishawafanyia kazi yao wanakutosa, subiri zamu yako wewe na wenzako hasa yule jamaa anayeongozana na Mwigulu kuonesha majeraha ya tindikali!
Duh umeamua kumpa za usoni.Waliomtosa ndo wale waliomtuma akaenda angukia pua kinachopelekea yeye kuwa mahabusu.Hili jinamizi linaloitwa Hammy-D icho anachokiita Jehanamu ya dunia si imetengenezwa na magamba wenzake?Yeye alikubali kuwa toilet paper au mipira ile ambayo Mwigulu aliihitaji wakati akifanya uashereti na mke wa kada mwenzie kwa hivo Ludovick he is the master of himself on what he is facing now.Acha ale matunda ya uhuru ila Ritz si anajua au sio zamu yake kupeleka mamsosi?
 
Hivi ninyi watu, kwenu hakuna tena aliye bakia duniani? Sikilizeni, dunia mapito tu. Leo uko Dar, kesho Singi-dar. Yote miji banaa. Leo una cheo kesho kimekutoka. Hivi wewe mtoa mada, unadanganya uma kwa faida gani??? Kwa nini usiende wewe mwenye huruma nyingi hivyo, ukamwekea dhamana kama mwanadamu anaye onewa, halafu ukamfundisha kusema hapana. Utakuwa umemjenga sana kiakili? Acha kampeni chafu za kuwalaumu wengine. Fanya wewe uliyefunguka macho utapata Thawabu siku moja. Ulivyoandika yaonesha ulikuwa hapo mahakamani, tena karibu sana na Ludovik, ndio maana ukamwona alivyokonda. Huruma gani za mamba hizo!! Kulia ati nyati kamzuia punda milia mwenye kiu sana kurukia mtoni anywe maji. Unamwambia ati maji yote ni ya Mungu aache wengine nao wanywe. Kumbe, nyati keshakuona ndo maana anamrudisha punda milia. Utangoja saana
 
Mbona chadema imewasaliti vojana wengi tu waliopata matatizo

wewe ulisalitiwa nini na hao chadema..............kutumika kwingine bwana usikute na wewe umehaidiwa kufundisha tempo kama mwampamba
 
Bwn Hamy-D, umeeleza vizuri na ushauri mzuri pia, wewe ni ccm damu na CDM ni mpinzani wako mkubwa, comments zako humu jamvini nyingi zinaonesha pia hua unaichukia CDM, swali, Shetani anaweza kumshauri kitu kizuri mcha Mungu ili aendelee kumcha Mungu? Mlitegemea CDM wafanye kitu kwa huyo kibaraka while anti-Virus ya chadema ika detect mapema huyo virus, hilo hamkulitegemea, nendeni wenyewe mkamtoe, hakuna siri, kila mwenye akili timamu anajua kua yeye alitumika na sasa anavuna alicho kipanda, hongera zake Ludovic, matunda ya usaliti kama Yuda Iskarioti

.....Kama anampenda na huruma pia anayo juu yake basi na eende akalale nae huko kuonyesha sympathy yake kuliko kuja kumuanika huyo kon..mu ya CCM humu.Huo ushauri akawape wenzie ccm waliomtosa wala siyo CDM.Yaani hilo Liludo limezaliwa likiwa jike unataka CDM wakamtetee ageuke dume hiyo inawezekana wapi au ndo mnamchetua?CCM ndo wenye uwezo wa kutetea wahalifu kama wauaji na watesaji wa binadamu (Ighondu na policcm),Tembo (Kinana),Ritz moko (madawa ya kulevya),Wezi wa fedha za EPA kuambiwa warudishe ilhali mwizi wa laini ya simu sh 500 kifungoni!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom