- Thread starter
- #201
My Future Investment..................., YES!!! Now you are.
![]()
Mwigulu ana moyo wa utu sana. Ingawa ana mapungufu mengine ya kibinadamu, lakini ana utu.
My Future Investment..................., YES!!! Now you are.
![]()
Mwigulu ana moyo wa utu sana. Ingawa ana mapungufu mengine ya kibinadamu, lakini ana utu.
kma kosa lake lilikuwa ni kuibua siri ya mikakati ya kishetani ya CHADEMA dhidi ya waandishi wa habari, basi nadhani kuna siku mwanga wa mungu utamuangazia kwa sababu alifanya vile kwa maslahi mapana ya taifa.
kinachonifurahisha kuhusu hili sakata la lwakatare ni jinsi wana chadema wanavyojiumauma na kujikanganya kuhusu ile video. naona sasa wamehama kutoka kwenye'' VIDEO FAKE'' mpaka kwenye 'LUDOVIC MSALITI'''.
Mwisho wa hili sakata uko wazi.. LWAKATARE ATAFIA JELA KAMA MFUNGWA na LUDOVIC atasalimika.
just stay tuned
hapa naona udhaifu mkubwa sana kufanywa na kiongozi wa juu wa taasisi.
hivi katika 'mpango nyeti' kama huu aliwezaje kumtumia mtekelezaji pesa kwa simu yake bila kushtuka kuwa itajulikana kirahisi na kurahisisha ushahidi!?