Tatizo lenu ni ujinga na umbumbumbu mkubwa mlionao magaidi wa chadema.lumumba imeongea saana! Mlipoteana pale mawasiliano yenu ya kuhujumu cdm na kumuhujumu kibanda yapowekwa wazi na marando iatusikii tena kauli za "jinuaini bonafide" mwajili wa mwisho wa Ludo ni mwigulu na mpaka anaingia ktk misukosuko alikuwa akifanya kazi ya mwigulu!
Mkuu wape shule hao itafika mahala wataelewa tu.Tatizo lenu ni ujinga na umbumbumbu mkubwa mlionao magaidi wa chadema.
unamuongelea mabere marando na kesi ya LWAX NA LUDOVIC??? hivi una hata chembe ya sheria hata kama hujaenda shule hata siku moja??? labda nikupe tu ufunuo(revelation ) ya kile mnachofanyiwa na marando'
''wakati akiwa kama wakili wa LWAX, angetakiwa atumie uwezo wake wooote kumtoa mteja wake(LWAX) katika tuhuma zile!! yeye anahangaika kutafuta mlolongo wa watuhumiwa wengine ili waunganishwe kwenye kesi ya LWAX. kwa hiyo anachotaka yeye mahakama itambue, sio kwamba mteja wake(LWAX) hajashiriki, laa bali ni kwamba alishiriki lakini hakushiriki peke yake.mpaka sasa hajafanya jitihada zozote(za wazi na za siri) za kujaribu kumtenganisha LWAX na tuhuma bali anacement ushiriki wa LWAX katika tuhuma husika.
mbona kesi ya LWAX mwisho wake uko wazi!!! hata muweke wakili SHETANI na hakimu awe MALAIKA WA SHETANI
Kuhusu kudanganya utakuwa unamsema Mwigulu alietaka kumshirikisha hadi Mungu kwenye single yake,mwez mchanga unawakimbiza mahakamani na mitungi yenu ya oxygen,mwigulu hakwenda hata kutoa ushahidi mahakamani kweli mnaakili za maiti,mwambie mjomba Bw.Chemba yule dogo anaomba amkumbuke maisha magumu magereza..Hoja ambazo hazina uthibitisho unachukua maneno ya lisu ndiyo udanganye nayo lisu mwenyewe yawezekana siku hiyo ulikuwa mwezi mchanga kwake.
Ludo ni rafiki ake na lwakatare na ni private secretary wa slaa
Kwani kesi imefika mahala pa kuhitajika mashahidi au unaandika kitu ambacho hukijui au unajua lakini unajifanya hujui.Kuhusu kudanganya utakuwa unamsema Mwigulu alietaka kumshirikisha hadi Mungu kwenye single yake,mwez mchanga unawakimbiza mahakamani na mitungi yenu ya oxygen,mwigulu hakwenda hata kutoa ushahidi mahakamani kweli mnaakili za maiti,mwambie mjomba Bw.Chemba yule dogo anaomba amkumbuke maisha magumu magereza..
Mkuu, unataka kusema muda wote huo bado tu hajajua kuwa kijana yuko mahabusu, tena amekongoroka vibaya! CHADEMA imuangalie jamani, kiubinadamu tu.
Tatizo lenu ni ujinga na umbumbumbu mkubwa mlionao magaidi wa chadema.
unamuongelea mabere marando na kesi ya LWAX NA LUDOVIC??? hivi una hata chembe ya sheria hata kama hujaenda shule hata siku moja??? labda nikupe tu ufunuo(revelation ) ya kile mnachofanyiwa na marando'
''wakati akiwa kama wakili wa LWAX, angetakiwa atumie uwezo wake wooote kumtoa mteja wake(LWAX) katika tuhuma zile!! yeye anahangaika kutafuta mlolongo wa watuhumiwa wengine ili waunganishwe kwenye kesi ya LWAX. kwa hiyo anachotaka yeye mahakama itambue, sio kwamba mteja wake(LWAX) hajashiriki, laa bali ni kwamba alishiriki lakini hakushiriki peke yake.mpaka sasa hajafanya jitihada zozote(za wazi na za siri) za kujaribu kumtenganisha LWAX na tuhuma bali anacement ushiriki wa LWAX katika tuhuma husika.
mbona kesi ya LWAX mwisho wake uko wazi!!! hata muweke wakili SHETANI na hakimu awe MALAIKA WA SHETANI
Tatizo lenu ni ujinga na umbumbumbu mkubwa mlionao magaidi wa chadema.
unamuongelea mabere marando na kesi ya LWAX NA LUDOVIC??? hivi una hata chembe ya sheria hata kama hujaenda shule hata siku moja??? labda nikupe tu ufunuo(revelation ) ya kile mnachofanyiwa na marando'
''wakati akiwa kama wakili wa LWAX, angetakiwa atumie uwezo wake wooote kumtoa mteja wake(LWAX) katika tuhuma zile!! yeye anahangaika kutafuta mlolongo wa watuhumiwa wengine ili waunganishwe kwenye kesi ya LWAX. kwa hiyo anachotaka yeye mahakama itambue, sio kwamba mteja wake(LWAX) hajashiriki, laa bali ni kwamba alishiriki lakini hakushiriki peke yake.mpaka sasa hajafanya jitihada zozote(za wazi na za siri) za kujaribu kumtenganisha LWAX na tuhuma bali anacement ushiriki wa LWAX katika tuhuma husika.
mbona kesi ya LWAX mwisho wake uko wazi!!! hata muweke wakili SHETANI na hakimu awe MALAIKA WA SHETANI
Kwani dpp alipoifungua kama kesi ya ugaidi na mwigulu kupigilia msumari ni magaidi walishindwa vp kuidhibitishia mahakama kuwa yale ni makosa ya ugaidi..Kwani kesi imefika mahala pa kuhitajika mashahidi au unaandika kitu ambacho hukijui au unajua lakini unajifanya hujui.
WanaJF!
Leo ni siku ya kesi ya bwana Lwakatare kusikilizwa kwenye mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, lakini kesi imehairishwa mpaka July 22, 2013.
Pamoja na hayo, mshitakiwa na.2 bwana Ludovick Rwezaura ameshindwa kupata dhamana kwa sababu ya kutokamilika kwa nyaraka za dhamana, ingawa dhamana yake iko wazi kabisa.
Bwana Ludovick akiwa nje ya mahakama, ameonekana akiwa mnyonge na alikuwa akilia sana kwa uchungu huku akilalamika ndugu zake (ambao hawakufika mahakamani) hawafatilii dhamana yake.
Kwa hali kama hiyo, kijana Ludovick anaendelea kusota gerezani na kuzidi kuangamia, kwani wote sisi ni wanaadamu na tunajua makali ya maisha ya gerezani.
Rai yangu kwa CHADEMA; haijarishi kijana Ludovick kama alikuwa mwajiriwa wa CHADEMA kimkataba ama alikuwa volunteer, jambo la msingi ni kwamba alikuwa ana kitumikia CHADEMA kwa moyo wake wote na nguvu zake zote. Ludovick alijitoa kwa CHADEMA kwa namna ya pekee, ni kijana ambae alikuwa bega kwa bega na Dr Slaa kiutendaji na vile vile alikuwa kama mtoto kwa Dr Slaa.
Katika hali kama hiyo sikutarajia kama CHADEMA kinaweza kumtema na kumkataa kabisa bwana Ludovick Rwezaura. Kwani wote tunafahamu kuwa, kosa aliadhibiwi kwa ubaya, bali kosa dawa yake kukosolewa. Sasa kwanini CHADEMA wana muadhibu kijana Ludovick kwa ubaya? kwanini wasimsaidie hata kwa dhamana ili aweze kutoka kwenye 'jehanamu' ya duniani?
Maamuzi haya ya kumtupa mkono kijana Ludovick katika hali hii mbaya inayo mkabili, inajenga wasiwasi mkubwa kwa vijana wengi walio CHADEMA juu ya hatma yao endapo wakikosea jambo. Je, chama kitawasaidia kwa lolote? Ni wakati vijana wakawa makini sana na namna ambavyo CHADEMA na viongozi wake wana shughulikia nidhamu na makosa ya wanachama wao, hiki anacho fanyiwa Ludovick, hakina tofauti sana na walicho fanyiwa Juliana Shonza na Mtela Mwampamba.
View attachment 101283Kijana Ludovick akionekana amenyong'onyea leo mahakamani, pembeni yake ni bwana Lwakatare wakiwa na askari magereza.
labda akifa maana wanapendo promo za misibani.Mkuu, unataka kusema muda wote huo bado tu hajajua kuwa kijana yuko mahabusu, tena amekongoroka vibaya! CHADEMA imuangalie jamani, kiubinadamu tu.
Mkuu yeye hakupenda uharifu uliokuwa unafanywa na chadema.
kitendo cha kudhuru watu hakikubariki kijana ni mzalendo anateswa na uzalendo wake lakini haya yanamwisho mungu atamwinua tu.
Mkuu, karibu tena, nili-notice absence yako mkuu.
Ila naamini umekuja na kasi mpya, nguvu mpya na ari mpya!
Bwashee kumbe una huruma!?
Simply wasiliana na Mwigulu Nchemba ataachiwa bila makaratasi yoyote yale ya dhamana. malipo ni hapahapa Duniani hizi ni sheria za karma.
WanaJF!
Leo ni siku ya kesi ya bwana Lwakatare kusikilizwa kwenye mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, lakini kesi imehairishwa mpaka July 22, 2013.
Pamoja na hayo, mshitakiwa na.2 bwana Ludovick Rwezahula ameshindwa kupata dhamana kwa sababu ya kutokamilika kwa nyaraka za dhamana, ingawa dhamana yake iko wazi kabisa.