CHADEMA, Ludovick Rwezahula anaangamia mahabusu, utu uko wapi?

CHADEMA, Ludovick Rwezahula anaangamia mahabusu, utu uko wapi?

Status
Not open for further replies.
Mkuu,

Nikushukuru kwa kutoa ufafanuzi wa kina, na kwa ufafanuzi huu wana CDM walio jitoa ufahamu na kuvaa UMBUMBUMBU wa makusudi wataanza kufunguka.

Mimi nilikuwa nawashangaa wanavyo ruka ruka kuwa Lwax kaachiwa kwa dhamana, wanadhani dhamana maana yake kesi zote zimetupiliwa mbali? bado ana kesi nzito ya kujibu, sasa badala haya mambo wayafanye kwa kushirikiana na bwana Ludo, wao wamemuwekea chuki, huyu Ludo ndiye msaada mkubwa kwa CDM, na ndio maana bado kamanda Lwax pamoja yeye yuko nje, lakini ana mthamini sana kijana Ludo.
Hilo hawalijui kaka, na siku wakilijua itakuwa washachelewa.
hawa wajinga wananipa tabu sana ya kuwaelewesha, ndio maana hata nchemba bungeni aliwaambia wengi wao wanatakiwa kurudi shule.
hawaoni jinsi ambavyo hata mawakili wao walivyo na nidhamu ya hali ya juu katika kulizungumzia swala la LWAX. wao kwa vile wamejitoa ufahamu, wanajifanya hawaoni.
mende ni mende tu, mwisho wa vurugu zao ni kabatini
 
Ndugu Hujamuelewa Hamdy, Ukiisoma vizuri Thread yake, utaona anachosema, ni kuwa hapa anaye uzwa kwa bei ya Mhanga ni Lwakatare, Kwa CDM kumterekeza Ludovich ni kusema kuwa kweli alifanya kile kibarua cha kumreckodi Ludovic, na kuwa ana hatiya, kwa hivyo ndio adhabu anyopewa LUDOVICH kwa kumwanga mtama penye kukuwengi. Na pia ni kama CDM ina watishia wana CDM wengine kuwa mkishawishika na Adui basi nasi tutamitosa.

OLE Wake Lwakatare, anaenda na maji asijione yuko njee tuu, Kipigoa atakachokipata sio kidogo, hawa Ndugu zetu wa CCM wanafanya mipango yako kisayansi sio ki Mangi.
Yani kwa akili yako nyepesi unadhani kuna MwanaCCM anyeitakia mema Chadema? pole sana endelea kulala usingizi mzito kama unadhani Chadema ni wajinga kiasi hicho wait n see, kila rangi kwa asili yake utaiona mwaka huu.
 
Huruma sana kijana Ludovick, Nadhani Mwigulu atakusaidia tena kama vile alivyokusaidia kwa Mpesa.
 
Akili yako imekaa ki-PIMBI huna lolote!! Ludo ameshakuwa mtu wenu so it's you who have help him! Au huwa mnajua kurubuni tu??
sio kosa lako kaka....... ni tofauti za viwango vya uelewa ndio inayotukosanisha. you dont belong here ----
 
WanaJF!

Leo ni siku ya kesi ya bwana Lwakatare kusikilizwa kwenye mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, lakini kesi imehairishwa mpaka July 22, 2013.

Pamoja na hayo, mshitakiwa na.2 bwana Ludovick Rwezahula ameshindwa kupata dhamana kwa sababu ya kutokamilika kwa nyaraka za dhamana, ingawa dhamana yake iko wazi kabisa.

Bwana Ludovick akiwa nje ya mahakama, ameonekana akiwa mnyonge na alikuwa akilia sana kwa uchungu huku akilalamika ndugu zake (ambao hawakufika mahakamani) hawafatilii dhamana yake.

Kwa hali kama hiyo, kijana Ludovick anaendelea kusota gerezani na kuzidi kuangamia, kwani wote sisi ni wanaadamu na tunajua makali ya maisha ya gerezani.

Rai yangu kwa CHADEMA; haijarishi kijana Ludovick kama alikuwa mwajiriwa wa CHADEMA kimkataba ama alikuwa volunteer, jambo la msingi ni kwamba alikuwa ana kitumikia CHADEMA kwa moyo wake wote na nguvu zake zote. Ludovick alijitoa kwa CHADEMA kwa namna ya pekee, ni kijana ambae alikuwa bega kwa bega na Dr Slaa kiutendaji na vile vile alikuwa kama mtoto kwa Dr Slaa.

Katika hali kama hiyo sikutarajia kama CHADEMA kinaweza kumtema na kumkataa kabisa bwana Ludovick Rwezaura. Kwani wote tunafahamu kuwa, kosa aliadhibiwi kwa ubaya, bali kosa dawa yake kukosolewa. Sasa kwanini CHADEMA wana muadhibu kijana Ludovick kwa ubaya? kwanini wasimsaidie hata kwa dhamana ili aweze kutoka kwenye 'jehanamu' ya duniani?

Maamuzi haya ya kumtupa mkono kijana Ludovick katika hali hii mbaya inayo mkabili, inajenga wasiwasi mkubwa kwa vijana wengi walio CHADEMA juu ya hatma yao endapo wakikosea jambo. Je, chama kitawasaidia kwa lolote? Ni wakati vijana wakawa makini sana na namna ambavyo CHADEMA na viongozi wake wana shughulikia nidhamu na makosa ya wanachama wao, hiki anacho fanyiwa Ludovick, hakina tofauti sana na walicho fanyiwa Juliana Shonza na Mtela Mwampamba.

View attachment 101283Kijana Ludovick akionekana amenyong'onyea leo mahakamani, pembeni yake ni bwana Lwakatare wakiwa na askari magereza.



NGOJA NIBADILI WIMBO WA SNURA..... 'kumtuma mumtume nyie,kamera ashike yeye,VIDEEO a'edit michuzi bloger ,DHAMANA itoe CHADEMA ...majanga..kweli majanga....' X 2
 
Ndugu Hujamuelewa Hamdy, Ukiisoma vizuri Thread yake, utaona anachosema, ni kuwa hapa anaye uzwa kwa bei ya Mhanga ni Lwakatare, Kwa CDM kumterekeza Ludovich ni kusema kuwa kweli alifanya kile kibarua cha kumreckodi Ludovic, na kuwa ana hatiya, kwa hivyo ndio adhabu anyopewa LUDOVICH kwa kumwanga mtama penye kukuwengi. Na pia ni kama CDM ina watishia wana CDM wengine kuwa mkishawishika na Adui basi nasi tutamitosa.

OLE Wake Lwakatare, anaenda na maji asijione yuko njee tuu, Kipigoa atakachokipata sio kidogo, hawa Ndugu zetu wa CCM wanafanya mipango yako kisayansi sio ki Mangi.

Mipango wanayo toka siku nyingi kuwang'oa kucha,meno na kuwachoma wananchi wake na vitu vya ncha kali,mipango kama ya mwigulu akifikir dunian kaja mwenyewe,pole bredda kama unatafuta pa kusemea kwa hili la kumtoa Ludo umechemka,aliempa tenda akamtoe,uliko lala tulishaamka longtime bredda,maisha ni marahisi ukijitambua ila ni magumu ukiwa na akili za samaki(ccm),mtu hadi Mungu anamshirikisha kwenye mauaji uyo ni sawa na maiti tu...
 
Mkuu, ukiona mtu mzima anatoa chozi hadharani ujue kuna jambo, ni kheli CDM warudishe moyo wao nyuma na wamfikilie kijana Ludo.

We mbona umekomalia CDM tu wengine huwaoni?kama mpango wenu ni kuivizia CDM kwenye kichochoro mmenoa
.
 
Ludo ni rafiki ake na lwakatare na ni private secretary wa slaa

leo zamu yako Lumumba nini? sasa hamfanyiwi semina elekezi walau muonekane kidogo na busara ili muweze kuwashawishi hata wajinga,maana kwa upuuzi kama huu unaopost utafanikiwa kumshawishi Makinda na Ndugai tu nahisi maana wale wamepofushwa hawakutegemea kupata na kufika pale walipofika.
 
wanajf!

Leo ni siku ya kesi ya bwana lwakatare kusikilizwa kwenye mahakama ya hakimu mkazi kisutu, lakini kesi imehairishwa mpaka july 22, 2013.

Pamoja na hayo, mshitakiwa na.2 bwana ludovick rwezahula ameshindwa kupata dhamana kwa sababu ya kutokamilika kwa nyaraka za dhamana, ingawa dhamana yake iko wazi kabisa.

Bwana ludovick akiwa nje ya mahakama, ameonekana akiwa mnyonge na alikuwa akilia sana kwa uchungu huku akilalamika ndugu zake (ambao hawakufika mahakamani) hawafatilii dhamana yake.

Kwa hali kama hiyo, kijana ludovick anaendelea kusota gerezani na kuzidi kuangamia, kwani wote sisi ni wanaadamu na tunajua makali ya maisha ya gerezani.

Rai yangu kwa chadema; haijarishi kijana ludovick kama alikuwa mwajiriwa wa chadema kimkataba ama alikuwa volunteer, jambo la msingi ni kwamba alikuwa ana kitumikia chadema kwa moyo wake wote na nguvu zake zote. Ludovick alijitoa kwa chadema kwa namna ya pekee, ni kijana ambae alikuwa bega kwa bega na dr slaa kiutendaji na vile vile alikuwa kama mtoto kwa dr slaa.

Katika hali kama hiyo sikutarajia kama chadema kinaweza kumtema na kumkataa kabisa bwana ludovick rwezaura. Kwani wote tunafahamu kuwa, kosa aliadhibiwi kwa ubaya, bali kosa dawa yake kukosolewa. Sasa kwanini chadema wana muadhibu kijana ludovick kwa ubaya? Kwanini wasimsaidie hata kwa dhamana ili aweze kutoka kwenye 'jehanamu' ya duniani?

Maamuzi haya ya kumtupa mkono kijana ludovick katika hali hii mbaya inayo mkabili, inajenga wasiwasi mkubwa kwa vijana wengi walio chadema juu ya hatma yao endapo wakikosea jambo. Je, chama kitawasaidia kwa lolote? Ni wakati vijana wakawa makini sana na namna ambavyo chadema na viongozi wake wana shughulikia nidhamu na makosa ya wanachama wao, hiki anacho fanyiwa ludovick, hakina tofauti sana na walicho fanyiwa juliana shonza na mtela mwampamba.

View attachment 101283kijana ludovick akionekana amenyong'onyea leo mahakamani, pembeni yake ni bwana lwakatare wakiwa na askari magereza.

nani alimtuma kumrekodi lwakatare????lazima atakuwa anajua.huyo sasa ndio amtoe.this is simple and clear!!mleta
mada amekaa kimagambamagamba zaidi.
 
Alifikiri CCM ya kuchezea ni Mafia kwa kwenda mbele, hili ni fundisho kwa vijana wa 7UP group.
 
nani alimtuma kumrekodi lwakatare????lazima atakuwa anajua.huyo sasa ndio amtoe.thi is simple and clear!!!!!!!!!!!

Mkuu, hivi kwani hapa issue ni kurekodi au tuangalie kile kilicho rekodiwa?

Maana kama Lwakatare alitaka kumteka msacky, ni kwanini iwe dhambi kwa Ludo kurekodi na kufikishia vyombo vya dola taarifa? kwa maslahi mapana ya nchi?
 
Usiishie kuwashangaa CDM tu kwa hili la Kijana Ludovick ujifunze kua usaliti si kitu cha kushabikia hata kidogo. Yuda mwenyewe aliemsaliti YESU aliishia kujinyonga. Kama alipewa 50,000 ikiwa malipo ya awali basi yanamtosha kama ataona kadhulumiwa basi amshakati mwajiri wake aliemtuma. Yote ya yote kwa mtazamo wangu naona CDM hawastahili lawama hata kidogo alaumiwe aliemtuma na amemtelekeza.

  • A%20S%20100.gif

 
Maskini Hany-D,
Huyo kijana hakujua tumbo ni baya sana, lazima aweze kuli control. Mkishikwa pabaya ndiyo mnaona huruma......ama kweli siku ya kufa nyani miti yote huteleza.........
 
Kwani we una dosari gani ? Hadi unashindwa kwenda kumuwekea dhamana. Mbona kama una huruma sana? Au umetumwa!!!?
 
Bwashee kumbe una huruma!?

Simply wasiliana na Mwigulu Nchemba ataachiwa bila makaratasi yoyote yale ya dhamana. malipo ni hapahapa Duniani hizi ni sheria za karma.
Aendelee kukaa ndani kwa ajili ya usalama wake maana kitendo alichakifanya cha kutumika kufanya jaribio la kuhujumu ukombozi wa nchi, kinaweza kumsababishia kifo kutoka kwa wananchi wenye hasira kali.
 
Hilo hawalijui kaka, na siku wakilijua itakuwa washachelewa.
hawa wajinga wananipa tabu sana ya kuwaelewesha, ndio maana hata nchemba bungeni aliwaambia wengi wao wanatakiwa kurudi shule.
hawaoni jinsi ambavyo hata mawakili wao walivyo na nidhamu ya hali ya juu katika kulizungumzia swala la LWAX. wao kwa vile wamejitoa ufahamu, wanajifanya hawaoni.
mende ni mende tu, mwisho wa vurugu zao ni kabatini

Yaani wewe ni mjinga kuliko wote...................kachukuee buku zako
 
Jamani nahisi kuna kitu------mbona Lumumba wapo juu sana kuchachafya CDM!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom