THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,365
- 12,823
- Thread starter
- #81
mtoa mada ameshikwa na usingizi mzito na kuburuzwa na njozi za mchana.kama chadema isingalipaza sauti na kuanzisha harakati za kuwaanika mafisadi tungekuwa tulipo,chadema wanachukia ufisadi na si kweli kweli kwa hawana hoja,chadema wamezungumzia mambo ya elimu kwa mapana na kina na labda kama hujui chuo kikuu cha dodoma ni sera ya chadema mwaka 2005,kama hujui shule za kata ziliasisiwa na dr.slaa jimboni kwake tangu 2000,kama hujui katiba inayozungumziwa sasa kupata mpya ni sera ya chadema 2010,chadema imeweka vipaumbele katika maeneo kadhaa elimu na afya,ujenzi,miundombinu,matumizi ya rasilimali from madini na watu,lakini huwezi fanikisha hayo pasipo kuondoa uozo uliopo madarakani,huwezi jenga nyumba juu ya dampo,thats wanazungumzia kufumua mafisadi na kwa kweli wananchi wanalielewa somo hili kwa upana sana.mnataka kuendelea kunufaika na mfumo mbovu uliopo hamuwezi kufurahi kuona cdm ikija kwa kasi kuwaondoa.anzeni kujipanda na kutafuta shughuli za kuwapeni kipata halali maana fagio likipita msijelia.kama chama tutaendelea kuwabagua wanaofisidi nchi yetu kama mchwa.
sasa tatzo nin??nani kasema kua chadema hakijafanya hayo unayoyasema??
Kama hoja ya majimbo ni hoja na sera mfu isipingwe eti kisa chadema ni chama unachokipa matumain na mustakabali wa maisha yako yote yaliyoharibiwa na ccm??
Hoja ya majimbo ni ya utengano na daima haikubaliki na daima haivumiliki na kuachiwa chadema wanaingia madarakani kuitekeleza