Chadema kwa vigezo hivi wanapata wapi tumaini la kuongoza nchi hii?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema kwa vigezo hivi wanapata wapi tumaini la kuongoza nchi hii??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by THE BIG SHOW, Oct 22, 2012.

 1. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,925
  Likes Received: 1,853
  Trophy Points: 280
  Ladies & getlemen,,
  friends & enemies,,

  ifike wakati sasa tuweze kuthubutu kuiambia ukweli chadema kua kuendelea kutegemea mapungufu ya mafisadi kama mtaji kwao kisiasa na fursa ya wao kukimbilia kwa watanzania kuomba ridhaa ya kuongoza nchi hii ni kujidanganya na kuendesha harakati za msimu,
  pamoja kuendesha harakati zinaofanana na uvumo wa upepo
  nani hapa leo yuko radhi kuwaona chadema wakiwa madarakani na sera yao ya kuigawa nchi hii kiukanda na majimbo,hatuoni kua hii ndio itakua ni muendelezo wa zile siasa za ukanda tunazozipigia kelele kila siku??
  Ifike wakati sasa kwa wao kua busy kutengeneza sera zenye uhalisia na maisha ya watanzania kuliko kutumia umaskini na kukata tamaa kwa watananzania walio wengi hasa hasa vijana kama petroli katika harakati zao mfu,,
  wakiendelea kwa hulka za siasa za aina hii watakua kila siku wanaishia kuibua slogan mara operation sangara mara m4c n.k,,
  kuigawa nchi hii ktk majimbo ni kitu cha kusadikika kama ndoto za abunuasi,,
   
 2. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hapo kwenye blue! wewe kweli ni mmakonde original lakini topic hayo haina mshiko! nenda kajipange upya!
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Gongo, konyagi na chang'aa zimekufilisi kiakili kabisa. Subiri kufa tu!
   
 4. Nsabhi

  Nsabhi JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 1,096
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hivi wewe umesoma sera za CDM? Maana unaongea kama mtu aliyetoka usingizini. Ungekuwa umezisoma sera za CDM usingeandika ***** huu. CDM ni chama imara na chenye sura ya kitaifa na pia kipo tayari kuongoza nchi. CDM kimesheheni wasoma wa kila aina na wenye upeo wa kuona mambo kwa uhalisia na kwa umbali zaidi kuliko chama chako cha Magamba.
   
 5. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Mwaka 1995 hali ilkuwa hivi:

  WHY DIDN'T THE OPPOSITION DO BETTER?


  Firstly, there was a return of some ethnic feeling as the NCCR came to be regarded more and more as a Chagga party. Secondly, there were fears – many will consider them irrational – about how far the unpredictable populist Augustine Mrema might go if he became president. Could he become another Idi Amin? Would Tanzania become another Rwanda? Was he prepared to accept advice or would he rule alone? Thirdly (Mr. Mrema considered this to be the main cause of his defeat) there was the powerful intervention of Mwalimu Nyerere who was indefatigable in making his point (which was broadcast on national radio) that Mkapa was the only person fit to be president and Mrema was particularly unfit. Fourthly, the opposition was fragmented. The NCCR-Mageuzi insisted on putting up candidates in every seat and Mrema’s failure to establish an alliance with CUF, as a result of his abortive attempt to appoint veteran politician A M Babu a his Vicepresidential running mate, damaged his chances further.


  Fifthly, the CCM gained a substantial advantage from the decision to pay subsidies to all candidates standing in the election thus encouraging small parties to stay in the race even where they had no hope of winning. Sixthly, the opposition failed to concentrate on registering its Supporters at the crucial time. Many of those in the vast throngs who attended Mrema rallies around the country could not vote for him when the time came. Finally, Mrema’s performance in the TV and Radio debate compared poorly with that of other presidential candidates.

  Source:
  Tanzanian Affairs » 1996 » January
   
 6. r

  rwazi JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmeigawa nchi kwa udini tayari tunaona madhala yake sasa unaleta hoja nyigine mfilisi ya ukabila na ukanda,hizi ndo sela za ccm
   
 7. B

  Bukutonaga JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Haya ni mawazo yako binafi umeandika kama vile hauishi tanzania upo ng'ambo na umelowea huko maana Tanzania tunayoijua ilipo ndo hii chadema wanakuja na mbinu mpya wa kui-shape tanzania na watanzania tuifaidi tanzania yetu.TUNAKUSHANGAA au umetumwa mkuu
   
 8. S

  Skillionare JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Acha woga wewe
   
 9. c

  ckjs Member

  #9
  Oct 22, 2012
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu ifike mahali tuseme imetosha!!!
  Kwa mimi na watu wa mfano wangu nasema aje ajaye ! Hata kama hana sera aongoze tuu atazikuta hukohuko mezani
  Kwani hao wenye sera wamefanya nini mpaka tumefika hapa! Ni upuuzi kila siku ukiingia kusema chadema chadema wamekufanya nini!! Hao wenye sera ndiyo hizi zimetufikisha hapa ?
  Kwa chadema wanachofanya ni sahihi maana huwezi kwenda kanisani bila kumkana shetani.
   
 10. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,925
  Likes Received: 1,853
  Trophy Points: 280
  When i am tellin them the truth
  they say i am ridiculous...
  Sijui tuisaidieje nchi hii,,pro-chadema tujifunze kufikiri nje ya box muda mwingne..
   
 11. M

  MKALIMOTTO Senior Member

  #11
  Oct 22, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zee la Kimakonde ukweli ndo huo. Tatizo cdm huwa hawakubaliani na ukweli.
   
 12. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #12
  Oct 22, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,032
  Likes Received: 7,434
  Trophy Points: 280
  Ili kufanikiwa kisiasa itategemea na mapungufu waliyonayo wapinzani wako.....hakuna katika maisha ya siasa asiyetegemea mapungufu ya mwenzake, ndiyo maana hata vyama tawala huwa busy kuwalaghai viongozi na wanachama walio ndani ya upinzani na wakati mwingine kupandikiza watu wao ndani ya upinzani kwa lengo la kuvidhoofisha ili vionekane dhaifa mbele ya jamii, kitu kitakachowapa uhakika wa kuendelea kutawala.
  Ukiamua kuingia katika siasa, lishike neno hili kama sala 'Udhaifu wako ndiyo mtaji wa wenzako na udhaifu wa mwenzako ndiyo mtaji wako'
   
 13. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #13
  Oct 22, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  huu ni mwaka wa 21 cdm wanakuwa perfomance is up uwelewa wa wanananchi upo up acha pumba kilo ya sukari 1995 ilikuwa sh 200 leoni 3000
   
 14. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #14
  Oct 22, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,925
  Likes Received: 1,853
  Trophy Points: 280
  mkalimoto safi sana kwa kufikiria nje ya box
  pro-chadema tuache illussions..
   
 15. Z

  Zimamoto JF-Expert Member

  #15
  Oct 22, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 464
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Kukaa kimya ni busara kuliko kubwabwaja.
   
 16. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #16
  Oct 22, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,925
  Likes Received: 1,853
  Trophy Points: 280

  hatukatai kwa wao kutumia mapungufu ya wenzao kama advantage kwao
  tunasimamia sasa na hoja ya hao kuboresha sera zao na kuzifuta zile zisizo na mashiko kama hizi za kuigawa tanzania katika majimbo
  hili halina mashiko
  hii sera wamefanya kucopy na kupaste pasi na kuangalia uhalisia wa tanzania tuitakayo..
   
 17. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #17
  Oct 22, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,925
  Likes Received: 1,853
  Trophy Points: 280
  hatubwabwaji
  tunaaambiana ukweli japo unaumiza sometimes
   
 18. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #18
  Oct 22, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,925
  Likes Received: 1,853
  Trophy Points: 280
  sasa wewe ulikua unataka bei ya 1995 ya sukari ifanane na ya 2012??
  Maisha hubadilika ndugu
  kupanda na kushuka kwa thamani ya sarafu hakukuaanza zama hizi tuh
  usikariri...
   
 19. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #19
  Oct 22, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,925
  Likes Received: 1,853
  Trophy Points: 280
  ukweli unaushangaa tena??
  Tukusaidie namna gani mkuu??
  Punguza mapenz ya chama,weka mapenz na nchi yako
   
 20. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #20
  Oct 22, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Yaani, kuku-support ndio amefikiri "nje ya box"?.. You have very long way to go brother, very!
   
Loading...