Chadema kwa vigezo hivi wanapata wapi tumaini la kuongoza nchi hii??

kuigawa nchi kwenye majimbo siyo kitu kilichokopiwa pahala, hii ilikuwapo tangu awali kama unaijua historia ya nchi hii palikuwa na majimbo nane, pia vyama vingi siyo vigeni kwenye nchi hii. Na kama u mwangalifu na mfuatiaji makini utagundua kwamba cdm inatoa sera na chama chako inazifuata, fungua macho yako ya akili utaona.
 
When i am tellin them the truth
they say i am ridiculous...
Sijui tuisaidieje nchi hii,,pro-chadema tujifunze kufikiri nje ya box muda mwingne..

Hao CDM wamepinda na mawazo mgando! kwao anayewakosoa ni adui mkubwa kwao! waache wahangaike na mipango yao duni ya ki kanda na ukabila, wataona matokeo yake!
 
km kawaida makada wapo kazini, katika siasa tatizo lizaniwalo kua dogo ndio hilo lenye cerdit kwa upinzani km hujui, unautaja ufisadi kwa mtazamo kwamba sio tatizo linaloyakabili maisha ya watanzania kwa %kubwa, nadhani haujui ufisadi unao ongelewa na cdm ni ufisad wa namna gani
unatakiwa ujue kua mabilion ya mapesa kwa watanzania yana impact gani kwanza ndio utajua kua cdm wako right kabisa otherwise naona unajitahid kuwakumbatia mafisad kwa poor arquement km hiz nadhani sasa vijana wa lowasa na wengineo baada ya kumaliza vikao vyenu at large ndio mmerudi mtamboni kuwasafisha kwa utobwe wao walio ufanya, hapa nadhani umepotea njia kwa hoja zenyewe hiz
whetever slogan on force if it's for public interest z cheered, so usiumie sana na kubadilika kwa slogan za cdm kuchange coz changes are derived na nyakati na kwa kua matatizo ya wa2 nayo yanabadilika kwa wakat si vibaya na slogani za kuapproach haya matatizo zikabadilika.

hatuzungumzii slogans
tunakosoa sera,,jaribu kuelewa content ya hii thread
sera ya majimbo kama miongoni mwa sera mama ya chadema mara baada ya kuingia madarakani haina mashiko
na haitapata nafasi kwa watanzania wenye akili timamu
 
hao cdm wamepinda na mawazo mgando! Kwao anayewakosoa ni adui mkubwa kwao! Waache wahangaike na mipango yao duni ya ki kanda na ukabila, wataona matokeo yake!

na wanaishiwa kufanyiwa kiini macho cha kuchangishwa michango kila mkutano unapoisha bila kuambiwa ni wapi hupelekwa pesa ile bila kuambiwa waz waz ni nin matumiz ya pesa na michango ile
mapenz yao juu ya chadema yamewafanya wamekua vipofu kabisa..
 
kama hujui maana ya sera na kama ujui sera za cdm ni zipi uliza ujibiwe. Hoja yako haina mashiko kabisa sana sana imekaa kiumbea na kiunafiki.

poa,sio haba
nawewe umeongea la maana kidogo
jion njema
 
me mwepesi sio??
Kipimo chako kipi sasa,,jenga hoja,,nitoe kasoro kwa hoja sio kwa nguvu ya kejeli
msomi kama wewe unakubali vipi kuongozwa na school dropper n club dj like mbowe??
U must be kiddin...

Wewe unaongozwa na nani? Acha ujinga wako wewe....It seems your very low upstairs, and I regret to waste my time and energy to argue with a person who is not smart upstairs. Wanachama wengi wa CCM ni nusu vichaa.
 
Ladies & getlemen,,
friends & enemies,,

ifike wakati sasa tuweze kuthubutu kuiambia ukweli chadema kua kuendelea kutegemea mapungufu ya mafisadi kama mtaji kwao kisiasa na fursa ya wao kukimbilia kwa watanzania kuomba ridhaa ya kuongoza nchi hii ni kujidanganya na kuendesha harakati za msimu,
pamoja kuendesha harakati zinaofanana na uvumo wa upepo
nani hapa leo yuko radhi kuwaona chadema wakiwa madarakani na sera yao ya kuigawa nchi hii kiukanda na majimbo,hatuoni kua hii ndio itakua ni muendelezo wa zile siasa za ukanda tunazozipigia kelele kila siku??
Ifike wakati sasa kwa wao kua busy kutengeneza sera zenye uhalisia na maisha ya watanzania kuliko kutumia umaskini na kukata tamaa kwa watananzania walio wengi hasa hasa vijana kama petroli katika harakati zao mfu,,
wakiendelea kwa hulka za siasa za aina hii watakua kila siku wanaishia kuibua slogan mara operation sangara mara m4c n.k,,
kuigawa nchi hii ktk majimbo ni kitu cha kusadikika kama ndoto za abunuasi,,[/QUO

Ndoto za mchana
 
Msibishane na hao wanamagamba, zee la kimakonde is equivalent to huyo mwingine! Dont bother brothers!
 
mbona unacheka cheka ovyo, ama unadhani upo fecabook? Hii ni jf siyo fb.


are you sure kama nacheka??
Usiamini kila unachikiona ama unachokisikia
hebu nipe tofauti kati ya mulugo na mbowe
kitaaluma..
 
msibishane na hao wanamagamba, zee la kimakonde is equivalent to huyo mwingine! Dont bother brothers!

vipi tena brother??
Mbona umekuja speed sana na jazba,mada umeiona lakin??
Tupunguzeni jazba katika ishu zinazogusa jamii yetu moja kwa moja kama hizi..
 
wewe unaongozwa na nani? Acha ujinga wako wewe....it seems your very low upstairs, and i regret to waste my time and energy to argue with a person who is not smart upstairs. Wanachama wengi wa ccm ni nusu vichaa.

sawa
wasalimie
pro-chadema ndivo mlivo
hukawii kurusha ngumi hapa..
 
Ladies & getlemen,,
friends & enemies,,

ifike wakati sasa tuweze kuthubutu kuiambia ukweli chadema kua kuendelea kutegemea mapungufu ya mafisadi kama mtaji kwao kisiasa na fursa ya wao kukimbilia kwa watanzania kuomba ridhaa ya kuongoza nchi hii ni kujidanganya na kuendesha harakati za msimu,
pamoja kuendesha harakati zinaofanana na uvumo wa upepo
nani hapa leo yuko radhi kuwaona chadema wakiwa madarakani na sera yao ya kuigawa nchi hii kiukanda na majimbo,hatuoni kua hii ndio itakua ni muendelezo wa zile siasa za ukanda tunazozipigia kelele kila siku??
Ifike wakati sasa kwa wao kua busy kutengeneza sera zenye uhalisia na maisha ya watanzania kuliko kutumia umaskini na kukata tamaa kwa watananzania walio wengi hasa hasa vijana kama petroli katika harakati zao mfu,,
wakiendelea kwa hulka za siasa za aina hii watakua kila siku wanaishia kuibua slogan mara operation sangara mara m4c n.k,,
kuigawa nchi hii ktk majimbo ni kitu cha kusadikika kama ndoto za abunuasi,,


leo wewe na mwenzako MKALIMOTO naona mmemiliki JF kila post mmo na muonekano ule ule. Anyway komaeni naona ndo kwanza mmejiunga.
 
Mtoa mada ameshikwa na usingizi mzito na kuburuzwa na njozi za mchana.Kama chadema isingalipaza sauti na kuanzisha harakati za kuwaanika mafisadi tungekuwa tulipo,chadema wanachukia ufisadi na si kweli kweli kwa hawana hoja,chadema wamezungumzia mambo ya elimu kwa mapana na kina na labda kama hujui chuo kikuu cha dodoma ni sera ya chadema mwaka 2005,kama hujui shule za kata ziliasisiwa na dr.slaa jimboni kwake tangu 2000,kama hujui katiba inayozungumziwa sasa kupata mpya ni sera ya chadema 2010,chadema imeweka vipaumbele katika maeneo kadhaa elimu na afya,ujenzi,miundombinu,matumizi ya rasilimali from madini na watu,lakini huwezi fanikisha hayo pasipo kuondoa uozo uliopo madarakani,huwezi jenga nyumba juu ya dampo,thats wanazungumzia kufumua mafisadi na kwa kweli wananchi wanalielewa somo hili kwa upana sana.mnataka kuendelea kunufaika na mfumo mbovu uliopo hamuwezi kufurahi kuona cdm ikija kwa kasi kuwaondoa.anzeni kujipanda na kutafuta shughuli za kuwapeni kipata halali maana fagio likipita msijelia.kama chama tutaendelea kuwabagua wanaofisidi nchi yetu kama mchwa.
 
mbona umefura kwa hasira hivyo.......Mkeo ameshafuata ushauri wa sophia simba au bado?....
Gamba mkubwa wewe!
 
hatukatai kwa wao kutumia mapungufu ya wenzao kama advantage kwao
tunasimamia sasa na hoja ya hao kuboresha sera zao na kuzifuta zile zisizo na mashiko kama hizi za kuigawa tanzania katika majimbo
hili halina mashiko
hii sera wamefanya kucopy na kupaste pasi na kuangalia uhalisia wa tanzania tuitakayo..
Wadanganyika hebu tujiulize hivi ni kweli sera ya kuitawala nchi hii kimajimbo ni mpya na italeta kutokuelewana miongoni mwetu? Mimi binafsi sipendi kuamini hivyo bali ninachokiona ni kuwa hata sasa sera za kimajimbo ndizo zinazofanya kazi. Hebu angalia jinsi majimbo ya kibunge yalivyo, utagundua kuwa watu wa wilaya moja wametengwa kwa tofauti ndogo tu ya ukabila, mifano iko mingi tu eg Mbozi Mashariki na Mbozi Magharibi. Angalia watu wa kutoka mkoa mmoja eg. Kagera wana vyama vya maendeleo kwa kuzingatia maeneo wanakotoka, Tanga hali kadhalika na kwingineko. Nadhani CDM wanataka sasa kurasimisha kilichokuwa kimeanza kutekelezwa na watangulizi wao yaani CCM na kukiboresha kiwe chenye tija zaidi.
 
Back
Top Bottom