Chadema kwa vigezo hivi wanapata wapi tumaini la kuongoza nchi hii??

Join Date : 21st October 2012
Posts : 37
Rep Power : 308
Likes Received5
Likes Given8

HA HA HA HA..!!
HOW DU U SEE MY RECORD AS A JF MEMBER?IMPRESSIVE HUH??JUST JOINED YESTERDAY,,SEE MY REP POWER,SEE MY POSTS,SEE MY LIKES,
SIJATUMWA NA YEYOTE,I A M HERE IN LEGAL WAY LIKE THE WAY U R..
SO.,LETS DISCUSS OUR PROSPERITY,,TUSIULIZANE ULIZANE MASWALI YA UTATANINISHI
KILA MTU ANA UHURU WAKE
 
Kweli leo mmeamua kuropoka kabisa huna tofauti na jamaa ana jiita Mchawi dawa yake ni profesa maji marefu, wewe ni wa kuonea huruma!
 
Tuwe makini sana na siasa zetu. Wafanya siasa wengi ni hodari sana kwa kukosoa. Lakini wakipewa madaraka wanakuwa wabaya mno

they think chadema are the solutions
they 4get that chadema they r also politicians,,
 
Mungu wangu kumbe we ni mtoto kiasi hiki? Angalia maandishi yako! Una hitaji mwalimu wa kukufundisha kuandika kwanza!

*4
*r
naomba ni kusamehe!

they think chadema are the solutions
they 4get that chadema they r also politicians,,
 
Nzi na Nyuki hufa kwa kulazimisha kupenya kwenye kioo angavu. Ndivyo watakavyoangamia wasomi, wafanyakazi na wakulima wanaolazimisha kutimiza ndoto zao kupitia CCM 2015. T2015 CDM.:hail:
 
Ladies & getlemen,,
friends & enemies,,

ifike wakati sasa tuweze kuthubutu kuiambia ukweli chadema kua kuendelea kutegemea mapungufu ya mafisadi kama mtaji kwao kisiasa na fursa ya wao kukimbilia kwa watanzania kuomba ridhaa ya kuongoza nchi hii ni kujidanganya na kuendesha harakati za msimu,
pamoja kuendesha harakati zinaofanana na uvumo wa upepo
nani hapa leo yuko radhi kuwaona chadema wakiwa madarakani na sera yao ya kuigawa nchi hii kiukanda na majimbo,hatuoni kua hii ndio itakua ni muendelezo wa zile siasa za ukanda tunazozipigia kelele kila siku??
Ifike wakati sasa kwa wao kua busy kutengeneza sera zenye uhalisia na maisha ya watanzania kuliko kutumia umaskini na kukata tamaa kwa watananzania walio wengi hasa hasa vijana kama petroli katika harakati zao mfu,,
wakiendelea kwa hulka za siasa za aina hii watakua kila siku wanaishia kuibua slogan mara operation sangara mara m4c n.k,,
kuigawa nchi hii ktk majimbo ni kitu cha kusadikika kama ndoto za abunuasi,,
Vipi mambo ya udini na CCM? Ah lakini haya ni mawazo mgando, ngoja niache ubaki hivyohivyo.
 
Nzi na Nyuki hufa kwa kulazimisha kupenya kwenye kioo angavu. Ndivyo watakavyoangamia wasomi, wafanyakazi na wakulima wanaolazimisha kutimiza ndoto zao kupitia CCM 2015. T2015 CDM.:hail:

hahahahahah
umenifurahisha sana
chadema dhambi ya ukanda kwa kweli inawatafuna sana
 
Ladies & getlemen,,
friends & enemies,,

ifike wakati sasa tuweze kuthubutu kuiambia ukweli chadema kua kuendelea kutegemea mapungufu ya mafisadi kama mtaji kwao kisiasa na fursa ya wao kukimbilia kwa watanzania kuomba ridhaa ya kuongoza nchi hii ni kujidanganya na kuendesha harakati za msimu,
pamoja kuendesha harakati zinaofanana na uvumo wa upepo
nani hapa leo yuko radhi kuwaona chadema wakiwa madarakani na sera yao ya kuigawa nchi hii kiukanda na majimbo,hatuoni kua hii ndio itakua ni muendelezo wa zile siasa za ukanda tunazozipigia kelele kila siku??
Ifike wakati sasa kwa wao kua busy kutengeneza sera zenye uhalisia na maisha ya watanzania kuliko kutumia umaskini na kukata tamaa kwa watananzania walio wengi hasa hasa vijana kama petroli katika harakati zao mfu,,
wakiendelea kwa hulka za siasa za aina hii watakua kila siku wanaishia kuibua slogan mara operation sangara mara m4c n.k,,
kuigawa nchi hii ktk majimbo ni kitu cha kusadikika kama ndoto za abunuasi,,

Karibu JF...na acha utoto.
 
Huyu jamaa kweli zee la Mtwara maana mhm haelewi nchi inaendaje huyu

dah nakuonea huruma sana
laiti ungejua kua mtwara ndio ukombozi wa nchi pekee uliobakia usingesema hayo unayoyasema
sasa unataka kufananisha kwenu kondoa na mtwara,kwa lipi??
sababu ya bunge kuwepo pale au pale kua makao makuu ya nchi??
pindi huku sisi tunaishi maisha yetu wewe huko unafanyia rehearsal maisha yako
karibu mtwara mkuuu
mambo swaafii kabisa huku
ila ukanda wa chadema hatutauvumiliaa
:peace:
:welcome::welcome::welcome:
 
Karibu JF...na acha utoto.

Nipo HUMU JAMVINI MDA MREFU SANA
HIVI HUJUI WENGNE WAPO TULIOKUA TUNAFATILIA MAMBO YA NDANI HUMU MIAKA NENDA RUDI AS GUESTS
TULIPOONA KUA HAKUNA WATUW WENYE KUWAREKEBISHA CHADEMA WAZ WAZ KAMA HIVI NDIO SASA TUNAWAREKEBISHA,,
NA BILA SHAKA MUTAREKEBISHIKA TUH..
 
Mwanzima thread utakua unagoka either Singida, au Tabora, binafs sion tatizo kwa sera ya Majimbo n nzuri sana na itapunguzu ufujaji wa pesa za wananch, itasaidia pia maendeleo maeneo husika, mfano mtaji uliopo Geita sio sawa na maendeleo yaliypo hapo! Huo n unyonyaji kabsa,
CDM offcourse wanatakiwa kujipanga saidi, jaribu kufuatilia Post za Mwanakijiji kwenye thread ya nn kilimbadri mwanakijiji utajifunza mengi sana
 
Ladies & getlemen,,
friends & enemies,,

ifike wakati sasa tuweze kuthubutu kuiambia ukweli chadema kua kuendelea kutegemea mapungufu ya mafisadi kama mtaji kwao kisiasa na fursa ya wao kukimbilia kwa watanzania kuomba ridhaa ya kuongoza nchi hii ni kujidanganya na kuendesha harakati za msimu,
pamoja kuendesha harakati zinaofanana na uvumo wa upepo
nani hapa leo yuko radhi kuwaona chadema wakiwa madarakani na sera yao ya kuigawa nchi hii kiukanda na majimbo,hatuoni kua hii ndio itakua ni muendelezo wa zile siasa za ukanda tunazozipigia kelele kila siku??
Ifike wakati sasa kwa wao kua busy kutengeneza sera zenye uhalisia na maisha ya watanzania kuliko kutumia umaskini na kukata tamaa kwa watananzania walio wengi hasa hasa vijana kama petroli katika harakati zao mfu,,
wakiendelea kwa hulka za siasa za aina hii watakua kila siku wanaishia kuibua slogan mara operation sangara mara m4c n.k,,
kuigawa nchi hii ktk majimbo ni kitu cha kusadikika kama ndoto za abunuasi,,
kama hujui maana ya sera na kama ujui sera za CDM ni zipi uliza ujibiwe. hoja yako haina mashiko kabisa sana sana imekaa kiumbea na kiunafiki.
 
Nipo HUMU JAMVINI MDA MREFU SANA
HIVI HUJUI WENGNE WAPO TULIOKUA TUNAFATILIA MAMBO YA NDANI HUMU MIAKA NENDA RUDI AS GUESTS
TULIPOONA KUA HAKUNA WATUW WENYE KUWAREKEBISHA CHADEMA WAZ WAZ KAMA HIVI NDIO SASA TUNAWAREKEBISHA,,
NA BILA SHAKA MUTAREKEBISHIKA TUH..

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha..yani wewe ni mwepesi sana kichwani, hivi kwa hoja uharo kama hiyo ndio unadhani unairekebisha CHADEMA? Au unapoteza muda wako. Mapungufu ya CHADEMA hayawezi rekebishwa na watu wenye akili nusu. Ni wasomi na wanachama wenye moyo kama sisi ndio tutaisimamia CHADEMA mpaka kufa, hata kwa madhaifu yake yaliyopo ambayo wewe kwa akili zako fupi umetaja hapo juu kitu ambacho si kweli.
 
When i am tellin them the truth
they say i am ridiculous...
Sijui tuisaidieje nchi hii,,pro-chadema tujifunze kufikiri nje ya box muda mwingne..

Kama huu ***** unaousema ndiyo unaita UKWELI sitashangaa siku Nape, akikwambia JK ni Masiha utaamini.
 
Join Date : 21st October 2012
Posts : 37
Rep Power : 308
Likes Received5
Likes Given8

HA HA HA HA..!!
HOW DU U SEE MY RECORD AS A JF MEMBER?IMPRESSIVE HUH??JUST JOINED YESTERDAY,,SEE MY REP POWER,SEE MY POSTS,SEE MY LIKES,
SIJATUMWA NA YEYOTE,I A M HERE IN LEGAL WAY LIKE THE WAY U R..
SO.,LETS DISCUSS OUR PROSPERITY,,TUSIULIZANE ULIZANE MASWALI YA UTATANINISHI
KILA MTU ANA UHURU WAKE
Hutaki kukaribisha? mbona bove limekutoka?
Mult-IDs @ work kazi mnayoa
 
vipi unahofu kuendelea kutoa baadhi ya madoa yanayoiathiri chadema? Unahofia na kuogopa kukikosoa chama sio? Basi tambua ndio unakiua hivyo.
 
Ladies & getlemen,,
friends & enemies,,

ifike wakati sasa tuweze kuthubutu kuiambia ukweli chadema kua kuendelea kutegemea mapungufu ya mafisadi kama mtaji kwao kisiasa na fursa ya wao kukimbilia kwa watanzania kuomba ridhaa ya kuongoza nchi hii ni kujidanganya na kuendesha harakati za msimu,
pamoja kuendesha harakati zinaofanana na uvumo wa upepo
nani hapa leo yuko radhi kuwaona chadema wakiwa madarakani na sera yao ya kuigawa nchi hii kiukanda na majimbo,hatuoni kua hii ndio itakua ni muendelezo wa zile siasa za ukanda tunazozipigia kelele kila siku??
Ifike wakati sasa kwa wao kua busy kutengeneza sera zenye uhalisia na maisha ya watanzania kuliko kutumia umaskini na kukata tamaa kwa watananzania walio wengi hasa hasa vijana kama petroli katika harakati zao mfu,,
wakiendelea kwa hulka za siasa za aina hii watakua kila siku wanaishia kuibua slogan mara operation sangara mara m4c n.k,,
kuigawa nchi hii ktk majimbo ni kitu cha kusadikika kama ndoto za abunuasi,,
km kawaida makada wapo kazini, katika siasa tatizo lizaniwalo kua dogo ndio hilo lenye credit kwa upinzani km hujui, unautaja ufisadi kwa mtazamo kwamba sio tatizo linaloyakabili maisha ya watanzania kwa %kubwa, nadhani haujui ufisadi unao ongelewa na CDM ni ufisad wa namna gani
unatakiwa ujue kua mabilion ya mapesa kwa watanzania yana impact gani kwanza ndio utajua kua CDM wako right kabisa otherwise naona unajitahid kuwakumbatia mafisad kwa poor arquement km hiz nadhani sasa vijana wa lowasa na wengineo baada ya kumaliza vikao vyenu at large ndio mmerudi mtamboni kuwasafisha kwa utobwe wao walio ufanya, hapa nadhani umepotea njia kwa hoja zenyewe hiz
whetever slogan on force if it's for public interest z cheered, so usiumie sana na kubadilika kwa slogan za CDM Kuchange coz changes are derived na nyakati na kwa kua matatizo ya wa2 nayo yanabadilika kwa wakat si vibaya na slogani za kuapproach haya matatizo zikabadilika.
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha..yani wewe ni mwepesi sana kichwani, hivi kwa hoja uharo kama hiyo ndio unadhani unairekebisha chadema? Au unapoteza muda wako. Mapungufu ya chadema hayawezi rekebishwa na watu wenye akili nusu. Ni wasomi na wanachama wenye moyo kama sisi ndio tutaisimamia chadema mpaka kufa, hata kwa madhaifu yake yaliyopo ambayo wewe kwa akili zako fupi umetaja hapo juu kitu ambacho si kweli.

me mwepesi sio??
Kipimo chako kipi sasa,,jenga hoja,,nitoe kasoro kwa hoja sio kwa nguvu ya kejeli
msomi kama wewe unakubali vipi kuongozwa na school dropper n club dj like mbowe??
U must be kiddin...
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom