CHADEMA wasipoendekeza njaa, Mazingira ya sasa Duniani yanawapa Fursa kuongoza nchi 2030

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,131
Endapo Chadema wataacha Njaa zao basi Wana nafasi ya kuongoza nchi hii Tanzania kunako 2030

Nasisitiza endapo wataacha Njaa zao za Fedha na Madaraka

Kutikisika kwa Israel, Marekani, Russia na UK kunatoa Fursa ya kuiendea Dunia Mpya

Dunia Ijayo haitakuwa na Chawa Ndio yule Musk anasema patakuwepo AI yenye akili kubwa kuliko Binadamu

Chadema kama chama wanakubalika ila Viongozi wake Ndio hawajiamini

Nawatakieni Dominica njema😄😄🔥
 
Back
Top Bottom