Chadema kwa vigezo hivi wanapata wapi tumaini la kuongoza nchi hii??

Wale magamba waliokutuma upost huo upuuzi wenu kawaambie kuwa sisi khatukopeshi tunakuanika na kukusurubisha live kwamba wajinga wajinga vilaza kama wewe unayejiita Free World hamna lolote hamna jipya na Sisiemu yenu,kilichobaki ni nyinyi kujiaandaa kuwa chama cha Upinzani SISIEMU na Mpenzi wake KAFUU ndoa yenu itadumu milele kama wote mkiwa vyama vya upinzani. Kawaambie akina Nepi na vilanza wenzio kuwa tuko macho na makini tofauti na mnavyotudhania, hapa ni Titi fo Tat, Nyambafu mmezoea kuiba kura na kuwadanganya maskini wa Tanzania, mkwaka 2015 itakuwa ndo mwisho wenu, washeku nyie mmezoea vya kunyongea gizani,2015 tutawachinjia baharini hakyamungu tunaapa na lazima 2015 Raisi wa nchi awe mkristo mkatholiki.
 
suala la kuigawa tanzania katika majimbo linazidi kuonekana kuwa na maana kubwa sana sasa kuliko hapo awali.....jaribu kuangalia hata namna ambavyo serikali iliyopo madarakani ambavyo imekiri kwa vitendo kuwa imeelemewa kwa namna ambavyo imekuwa ikigawa mikoa na wilaya hadi kata.
Utawala wa majimbo ni kurudisha nguvu kamili kwa wananchi ili waweze kujitengenezea sheria zao, kusimamamia rasilimali zao na kujichagulia aina ya viongozi wawatakao. Nchi hii ilipata uhuru ikiwa na mikoa saba au tisa lakini kwa sasa imeongezeka, mpaka kufikia tuliyo nayo ambayo siikumbuki idadi yake. Wakuu wa wilaya na mikoa wameonekana kuwa tatizo kwa sababu ni aina ya viongozi wasio muafaka kwa taifa letu, badala ya kulitafutia tiba tatizo hili matokeo yake tatizo limeongezewa ukubwa kwa kuongeza idadi wawakilishi wa viti maalum.
Bila kumung'unya muafaka wa masuala mengi ya kijamii, kiuchumi, kisiasa, kiungozi n.k vipo katika mfumo wa serikali za majimbo.

point kubwa niliyoina kwako ni ile hoja ambayo viongozi wa chadema waliyoiibua na kuisimamia kua wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa wamekua mzgo mzito kwa serikali ukifananisha na shughuli wanavozifanya
inawezekana ikawa ni kweli kwa upande mmoja,ila hoja ya ndani zaid ni chadema kujipanga kuuvunja utawala wa ccm moja kwa moja katika historia ya nchi hiii kwa kujua kua wale wakuu wa wilaya na mikoa wapo pale kusimamia masilahi ya chama,kwahiyo lazima na wao chadema waangalie ni mfumo gani utawasaidia wao kubakia madarakani pale watapofanikiwa kushika dola pasi na kuangalia mfumo huo utakua na madhara gani kwa nchi hii
hasa ukizingatia kua kuna baadhi ya kanda za nchi hii zipo nyuma kwa kias kikubwa kimaendeleo ukifananisha na kanda zingne
kwaiyo kuingiza leo hoja ya sera ya majimbo ni kuzidi kuzididimiza hizi kanda zingne kuzimu
 
Tatizo ni kushindwa kuelewa nini maana ya utawala wa kimajimbo kwani kusema hivyo si kwamba unawagawa watu bali ni kutaka kupeleka utawala karibu na wananchi. Rudi vitabuni ukaangalie mfumo huo unavyotawala kwingine kote duniani.
 
wale magamba waliokutuma upost huo upuuzi wenu kawaambie kuwa sisi khatukopeshi tunakuanika na kukusurubisha live kwamba wajinga wajinga vilaza kama wewe unayejiita free world hamna lolote hamna jipya na sisiemu yenu,kilichobaki ni nyinyi kujiaandaa kuwa chama cha upinzani sisiemu na mpenzi wake kafuu ndoa yenu itadumu milele kama wote mkiwa vyama vya upinzani. Kawaambie akina nepi na vilanza wenzio kuwa tuko macho na makini tofauti na mnavyotudhania, hapa ni titi fo tat, nyambafu mmezoea kuiba kura na kuwadanganya maskini wa tanzania, mkwaka 2015 itakuwa ndo mwisho wenu, washeku nyie mmezoea vya kunyongea gizani,2015 tutawachinjia baharini hakyamungu tunaapa na lazima 2015 raisi wa nchi awe mkristo mkatholiki.



thanks a lot,,
nadhani pro-chadema mnayashuhudia haya
tukisema uhalisia uliopo ndan ya chadema hua mnakuja juu na povu jingi na matusi ya kila aina
sasa huyu mwanachama mtiifu wa movement for change kaamua kutopindisha pindisha na kumeza meza maneno
kaweka kila kitu wazi kuhusun ukanda na udini ambao chadema wanao
tunashukuru kaka,ila hiyo hoja ya udini umeileta wewe,kwenye thread yangu nimejiweka mbali sana na hiyo
ila nakushukuru tuh kwa kuongezea
jion njema
 
Mimi binafsi naona hujaeleza tukaelewa kwani sidhani kama kuna chama kisicho na sera zake
Pili kumbuka hata mikoa iliyopo tunaigawa wenyewe si kwamba mfumo wa mikoa na wilaya umetoka mbinguni hvo kama nchi itagawanywa kikanda au majimbo hiyo ni mifumo tu ya kutawala na kujaribu kumnufaisha mwananchi. Kanda ambazo ziko nyuma mbona zina rasilimali nyingi tu.
Tuache wivu acha watu watawale kwa zamu zao.
Au tuletee faida na hasara ya kuwa na majimbo (kanda)naa kuwa na mikoa
 
mimi binafsi naona hujaeleza tukaelewa kwani sidhani kama kuna chama kisicho na sera zake
pili kumbuka hata mikoa iliyopo tunaigawa wenyewe si kwamba mfumo wa mikoa na wilaya umetoka mbinguni hvo kama nchi itagawanywa kikanda au majimbo hiyo ni mifumo tu ya kutawala na kujaribu kumnufaisha mwananchi. Kanda ambazo ziko nyuma mbona zina rasilimali nyingi tu.
Tuache wivu acha watu watawale kwa zamu zao.
Au tuletee faida na hasara ya kuwa na majimbo (kanda)naa kuwa na mikoa

kwanza kabla sijaanza kukupa faida na hasara
umeshawahi kuisoma katiba ya chadema??
Ushawahi kusoma sera zao na kuzielewa?
Ushawahi kusoma maelezo yao kuhusu iyo sera ya majimbo na kuielewa??
Kama umeshawahi kuvipitia hivo vitu ungekua ushanielewa mimi nazungumzia kitu gani..
 
kwanza kabla sijaanza kukupa faida na hasara
umeshawahi kuisoma katiba ya chadema??
Ushawahi kusoma sera zao na kuzielewa?
Ushawahi kusoma maelezo yao kuhusu iyo sera ya majimbo na kuielewa??
Kama umeshawahi kuvipitia hivo vitu ungekua ushanielewa mimi nazungumzia kitu gani..
Ww ndio huifaham katiba ya CDM unakurupuka 2 hueleweki
 
ww ndio huifaham katiba ya cdm unakurupuka 2 hueleweki


sijakurupuka kukisema hiki
sema wapo ambao mmeamua kwa masilaha ya chama kuziba pamba masikioni
jambo ambalo sio jema hata kidogo,panapostahili kukosoa lazima kikosolewe chadema..
 
We know ccm wana sera lakini wameifanyia nini Tanzania zaidi ya kupora wanyama na mikataba feki au ndiyo policy yao inavyo sema?
 
we know ccm wana sera lakini wameifanyia nini tanzania zaidi ya kupora wanyama na mikataba feki au ndiyo policy yao inavyo sema?

sasa mbadala ccm si cdm??
Mbona tunapoikosoa inaonekana ni suala la chuki za kivyama na kisiasa??
 
Kama Kipimbwe ni Mchaga hapo sawa,ila kama sio mchaga nakushauri uende mitaa ya mwenge ukaendeleze fani.Sisi waswahili hunena Jembe likilimia ukumbinu hukongoka (Tusiingilie nyanja za wenzetu)
 
Sira hii ya mafisadi ndiyo imenifanya niipende cdm sana. Kwani huwa nawaza vingapi wamefichua, ninakosa vingapi kutokana na ufisadi unaoendelea nchini. Wakina mama wangapi wanakosa vifaa vya kujifungulia mahospitali kwa ajili ya ufisadi? Kwa mimi hata ingekuwa ndiyo hiyo sera moja tu wanayo ningewachagua.

huo sasa ni unazi unauonesha..
 
point kubwa niliyoina kwako ni ile hoja ambayo viongozi wa chadema waliyoiibua na kuisimamia kua wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa wamekua mzgo mzito kwa serikali ukifananisha na shughuli wanavozifanya
inawezekana ikawa ni kweli kwa upande mmoja,ila hoja ya ndani zaid ni chadema kujipanga kuuvunja utawala wa ccm moja kwa moja katika historia ya nchi hiii kwa kujua kua wale wakuu wa wilaya na mikoa wapo pale kusimamia masilahi ya chama,kwahiyo lazima na wao chadema waangalie ni mfumo gani utawasaidia wao kubakia madarakani pale watapofanikiwa kushika dola pasi na kuangalia mfumo huo utakua na madhara gani kwa nchi hii
hasa ukizingatia kua kuna baadhi ya kanda za nchi hii zipo nyuma kwa kias kikubwa kimaendeleo ukifananisha na kanda zingne
kwaiyo kuingiza leo hoja ya sera ya majimbo ni kuzidi kuzididimiza hizi kanda zingne kuzimu
Hapo ndipo hofu ya wengi ilipo katika mfumo wa serikali za majimbo, labda tujiulize haya maeneo ambayo yanaonekana kuwa yamedidimia ki-uchumi, yalididimia katika wakati upi? si ni wakati wa mfumo huu tulio nao sasa? wa kuwakilishwa na wakuu wa wilaya na wa mikoa?
Kitendo cha serikali kuendelea kung'ang'ania kuwa na nafasi nyingi za wawakilishi wa kuteuliwa nisawa na kuwanyima wananchi fursa ya kushiriki katika kujiamulia mambo na njia sahihi kwa wao kujiletea maendeleo, kujipatia viongozi na kujitengenezea sera zinazo akisi asili, historia, nguvu, uwezo, rasilimila na fursa walizonazo kwa lengo la kujipatia maendeleo ya haraka na endelevu.
 
Ladies & getlemen,,
friends & enemies,,

ifike wakati sasa tuweze kuthubutu kuiambia ukweli chadema kua kuendelea kutegemea mapungufu ya mafisadi kama mtaji kwao kisiasa na fursa ya wao kukimbilia kwa watanzania kuomba ridhaa ya kuongoza nchi hii ni kujidanganya na kuendesha harakati za msimu,
pamoja kuendesha harakati zinaofanana na uvumo wa upepo
nani hapa leo yuko radhi kuwaona chadema wakiwa madarakani na sera yao ya kuigawa nchi hii kiukanda na majimbo,hatuoni kua hii ndio itakua ni muendelezo wa zile siasa za ukanda tunazozipigia kelele kila siku??
Ifike wakati sasa kwa wao kua busy kutengeneza sera zenye uhalisia na maisha ya watanzania kuliko kutumia umaskini na kukata tamaa kwa watananzania walio wengi hasa hasa vijana kama petroli katika harakati zao mfu,,
wakiendelea kwa hulka za siasa za aina hii watakua kila siku wanaishia kuibua slogan mara operation sangara mara m4c n.k,,
kuigawa nchi hii ktk majimbo ni kitu cha kusadikika kama ndoto za abunuasi,,

Mazoea yana taabu; umezoea ChiChiEm mpaka unafikiri bila magamba nchi haiwezi kuendelea. kwanza umekubali kwamba kuna umaskini na kukata tamaa kwa watananzania walio wengi hasa hasa vijana sasa unataka CDM isitwae madaraka ili tatizo ulilolikubali la umasikini liendelee kukaa, si heri aneyesema ukimchagua ataleta mabadiliko kuliko aliyepo ameshindwa kuleta mabadiliko. Kama mfumo uliopo umeshindwa kuleta mabadiliko tunataka mfumo wowote utakaotusaidia uwe wa kijimbo au kitarafa au wa kijiji sisi tunataka mabadiliko.
 
Back
Top Bottom