Thrombocytes
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 401
- 30
Anything can happen.
wewe hujapewa kitu?
Chagadema ikishinda chalinze nachukua kadi yao
Wakuu kuna mtu kanitonya kua mathayo torongey uweza akapata ushindi kwa kishindo kwasababu kuna wamasai asilimia 70% wanamuunga mkono kesho ni kesho wacha tusubili
hawa ndio matahira wa ccm mpo wengi huku jf
Achilia mbali CDM kushinda Chalinze, ikipata kura 1,000 nitatembea Uchi WA mnyama mitaani!
Itakua miujiza,mimi ni CHADEMA Lakini kwa hapo nahisi hata management ya CHADEMA Imeliona hilo ndio maana haijatumia nguvu nyingi za Kipesa kwenye kampaini kama ilivyokuwa KALENGA,walichokifanya ni kuonyesha chama kina uhai na kama marketing tools ya kukitangaza chama eneo hilo ambalo dorminant wake ni MACCM
wewe na ubongo wako wa kuku nani taahira, nenda kwenyemada acha ushabiki mbuzi
Wewe ni mpuuzi.Utapotezaje muda kwa watu wasioenda shule, ukiwapa pilau umemaliza, elimu zero wanaoana kwa mitungo, elimu sifuri wanakesha kucheza ngoma, asante Mungu sikutokea mikoa ya pwani, hopeless kabisa
Khaa!! Ukabila tena!! Hii ndiyo CDM. Kafie mbeleWakuu kuna mtu kanitonya kua mathayo torongey uweza akapata ushindi kwa kishindo kwasababu kuna wamasai asilimia 70% wanamuunga mkono kesho ni kesho wacha tusubili
Khaa!! Eti maneno haya kwa niaba ya katibu mkuu. RIP CDMUtapotezaje muda kwa watu wasioenda shule, ukiwapa pilau umemaliza, elimu zero wanaoana kwa mitungo, elimu sifuri wanakesha kucheza ngoma, asante Mungu sikutokea mikoa ya pwani, hopeless kabisa
Be careful with what you promise mkuu, utatembea uchi kweli? Ni suala la muda tu, nitarudi kesho kukuuliza. ...... Kama issue ni kura buku tu!!!!!Achilia mbali CDM kushinda Chalinze, ikipata kura 1,000 nitatembea Uchi WA mnyama mitaani!
kwani kutembea uchi umeanza leo?Achilia mbali CDM kushinda Chalinze, ikipata kura 1,000 nitatembea Uchi WA mnyama mitaani!
Muuza kongoro maarufu Chalinze
Khaa!! Eti maneno haya kwa niaba ya katibu mkuu. RIP CDM