CHADEMA kushinda Chalinze

CHADEMA kushinda Chalinze

natamani chalinze wakatufungulia ukurasa mpya na kutupatia funzo kwa kuichagua chadema ili tuweze kujadili suala hili na kukua kisiasa
 
chalinze kuna wamasai wangapi wa kutosha kuchagua cdm?
 
Chadema kushinda Chalinze ni vigumu wanaweza kushika nafasi ya tatu nyuma ya CUF.
 
Mbona yalikuwa yanajulikana tangu siku ile Ritz alipochukua fomu?
 
Utapotezaje muda kwa watu wasioenda shule, ukiwapa pilau umemaliza, elimu zero wanaoana kwa mitungo, elimu sifuri wanakesha kucheza ngoma, asante Mungu sikutokea mikoa ya pwani, hopeless kabisa
Utajipa ugonjwa moyo bure unalazimisha watu wote wawaunge mkono Chadema kisa umetoka kaskazini.
 
Wakuu kuna mtu kanitonya kua mathayo torongey uweza akapata ushindi kwa kishindo kwasababu kuna wamasai asilimia 70% wanamuunga mkono kesho ni kesho wacha tusubili

chadema hawataweza kushinda kwenye majimbo ambayo watu wake hawana uelewa wa mustakabali wa nchi yao. Hilo jimbo la chalinze lina watu wenye uelewa duni mno wa mambo ya kitaifa, hapo CCM itashinda kwa kishindo.
 
Tatizo walikuwepo wazawa wengi wasomi na ni makamanda kweli,lkn wakamchukuwa muhamiaji mfugaji kutoka kwao.ukanda unauwa chama
 
CCM hadi kimtuma Dr Shein Chalinze kupiga kampeni kumenishtua sana!CCM wanaogopa nn?Kama wana uhakika wa kushinda kwa 94 % according to Nape kwa nn wawahangaishe viongozi wao wa kitaifa hivi?Mbona Kalenga hawakutuma viongozi wengi wa kitaifa?
 
Helkopita chini puuuuuuuuuuuu!
Zamu hii hawakuwa na Chopper 3 Chalinze?
Teh! Teh! Teh!
 
na wakwere ndo wameshaamini trekta kila kijiji kwa muda chini ya miaka miwili... kazi kweli kweli.... hebu tusubiri...

Baba wa mwenye kutoa ahadi atazitekeleza mkuu tusubiri tuone
 
Tatizo walikuwepo wazawa wengi wasomi na ni makamanda kweli,lkn wakamchukuwa muhamiaji mfugaji kutoka kwao.ukanda unauwa chama
Kwenye mikutano ya kampeni yaCDM ni wakwavi tu ndio wengi
 
Wadau Jf;

Kuna tonyo nimemegewa usiku huu kuwa haya Ma-sisiem kwa woga wao yamepeleka kikosi rasmi toka dar, toka vituo mbalimbali vya policcm dar kuweka kambi chalinze ili kuhakikisha 'mtoto wa mfalme haadhiriki' na anashinda kwa 'kishindo'. Hii ni breaking nimeipokea toka kwa class-mate wangu aliye askari anayefanyia kituo cha Wazo, kanihakikishia kuwa kikosi rasmi kilichounganisha polisisiem toka wazo, kunduchi, oyster bay na wengineo wapo chalinze usiku huu kucha ..eti kwa kazi rasmi ya kuhalikisha mfalme mdogo Riz1 hashindwi...aliongea kwa kuilalamikia ccm, kanihakikishia naye yupo chalinze usiku huu! Nilipomcheki na mdau mwingine wa kambi ya kunduchi kaniambia wapo mbali jiji, wapo chalinze wamepewa Kazi huko usiku huu!


Mtaamini sasa kuwa CCM ni debe tupu kwa kiwango gani, lakini kwa wale wanaokesha hapa jamvini jf kuitetea kwa ajili ya kuganga njaa na buku 7 za Lumumba hawatasita kunyanyua kope na kuanza kuimba! . Mambo yao hayooo!
, ukweli ni kuwa haya ma-ccm yapo ktk ukingo mbaya, hawajiamini, hawaamini yeyote na kutokana na udhalimu wao hawaamini hata wale inaowaweka ktk majukumu mfano mawakala wao, wasimmizi wa uchaguzi na hata baadhi ya polisi wa serikali yao! Kweli hii hatari
..tena hatari kweli...ndio maana kura ya siri kwao ni moto wa jehanam na wamejaa woga hakuna picha.
..Ni jambo lililonishangaza sana na naomb wadau engine walio na marafiki askari wa baadhi ya vituo nilivyotaja wawadodose wataafiki ukweli huu.

Mbaya zaidi kesho baada ya kura za wizi, magumashi na feki nyingi...ma-ccm yatatangaza kushinda kwa kishindo na tume ya uchaguzi inathibitisha ufidhuli huu...nyang'au! Nchi hii kubaki chini ya ccm ni kuishi jehanamu ukiwa hai..wizi na uozo mtupu!

Nawasilisha..
 
Taarifa hii ni ya kweli. hivi sasa kuna polisi kati ya 10 - 25 kwa kila kata.. Usiku huu wanalinda safari za kifisadi za kugawa pesa za kuhonga na kusafirisha wapiga kura kutoka majumbani kwao hadi kwenye vituo vya kupigia kura. Wapiga kura wazee, walemavu na walio mbali na vituo watasafirishwa kwa boda boda na magari kwenda kupiga kura. Kazi ya kusafirisha wapiga kura itafanyika kati ya saa moja na sita mchana.. Watu wa boda boda na magari wameandaliwa ila malipo baada ya kazi... Niko Miono, nimehudhuria kikao kimoja usiku wa leo.
 
Back
Top Bottom