CHADEMA kushinda Chalinze

CHADEMA kushinda Chalinze

Vijana wa Arusha wanaogopa kufanyiziwa, wale walioenda Kalenga kulinda kura walifanyiwa kitu mbaya na makamanda wenzao wa Iringa.
 
Sijasikia mpango wa kulinda kura? Sijasikia mpango wa kurusha chopa ili kuhakikisha kura haziibiwi? Au inaelekea jimbo la chalinze ni dogo sana na haliitaji chopa? Au watu wa pwani wanauwezo wa kulinda kura zao kuliko watu wa lringa? Au ndo kauli ya Mwigulu imetimia kuwa itafika wakati "TUTAHESHIMIANA TU"?
Mambo kama haya ndio yanatanabaisha utapeli wa CHADEMA.
 
Sijasikia mpango wa kulinda kura? Sijasikia mpango wa kurusha chopa ili kuhakikisha kura haziibiwi? Au inaelekea jimbo la chalinze ni dogo sana na haliitaji chopa? Au watu wa pwani wanauwezo wa kulinda kura zao kuliko watu wa lringa? Au ndo kauli ya Mwigulu imetimia kuwa itafika wakati "TUTAHESHIMIANA TU"?

Unahitaji akili ya kawaida tu kutambua kwamba huwezi kutumia mbinu zilezile kwa jambo lile kila mahali halafu utegemee kupata matokeo tofauti!!! Sasa hivi wanamkimbiza mwizi kimya kimya!
 
Chollemadulu, kama huu ndio uelekeo wa siasa za ushindani kuhusisha makabila, Chadema ikishinda isifurahie aina ya ushindi huu.

Ni hatari sana kuanza kutengeneza mbinu za ushindi kwa kutegemea wingi wa watu wa kabila lako. Tanzania ya Nyerere ilikua imestaarabika zaidi ya sasa kwa sababu makabila hayakua vigezo vya kupata viongozi bora.
 
Utapotezaje muda kwa watu wasioenda shule, ukiwapa pilau umemaliza, elimu zero wanaoana kwa mitungo, elimu sifuri wanakesha kucheza ngoma, asante Mungu sikutokea mikoa ya pwani, hopeless kabisa
Mbona baba yako ana mifano yote uliyoorodhesha au nikutajie baba yako ?
 
mbona walisema watashinda kwa asilimia 91 , sasa wanagawa rushwa ya nini tena ?

Mleta mada kawatia pressure leo usiku hawalali, watahonga fedha hadi basi!! Chalinze kumekucha MaCCM hakuna kulala KAZI KWENU!!
 
Kwani unadhani kesho kuna uchaguzi Chalinze?!, no way, kesho hakuna uchaguzi Chalinze, kesho kunafanyika zoezi tuu la udhibitisho wa mbunge mpya wa Chalinze!.

Laiti ungalijua wenyewe wenye Chalinze yao ni kina nani!.
Laiti ungelijua Wamasai huwa wanaiandikisha kupiga kura ili tuu kupata kitambulisho cha kupigia kura, lakini kura huwa hawapigi na sio Chalinze tuu, hadi kwao wenyewe!, ndio maana hata jiji lao, siku zote, wabunge wao ni wale jirani zao, na ndio wapiga kura wakuu pale kwao!.
Pasco

Pasco ulichosema ni kweli kabisa.
 
ukiangalia uwingi wa wamasai tu bado utaonekana hujafanya tathmini ya kina coz ktk jimbo hilo kuna wakwere na wazaramo kibao so rudi ukafanye tathmini upya!

Wakuu kuna mtu kanitonya kua mathayo torongey uweza akapata ushindi kwa kishindo kwasababu kuna wamasai asilimia 70% wanamuunga mkono kesho ni kesho wacha tusubili

Ukabila utawamaliza.....hata hivyo hao wamasai si ajabu hawajajiandikisha kupiga kura katika jimbo la chalinze maana wana hamahama sana.
 
huyu Mathayo Nilivyomsikiliza naye ni mwehu tu kama LEMA, uwezekano wa kushinda ni mdogo sana.
 
Achilia mbali CDM kushinda Chalinze, ikipata kura 1,000 nitatembea Uchi WA mnyama mitaani!

Kuna mwenzako aliahidi kutoa 0713...na kweli akatimiza ahadi yake kwa kutupatia.
Sasa sijui wewe kutembea kwako uchi utataka tukurukie as well....?
 
Mathayo Torongey sio mzima, kabakia kuiga masauti ya LEMA na MBOWE tu!
 
mbona walisema watashinda kwa asilimia 91 , sasa wanagawa rushwa ya nini tena ?
Wanahitaji kutoa rushwa ili wapate ushindi huo wa 91%. Hiyo ndo CCM bana, mbinu yoyote lazima itumike bila kujali uhalali wake. Ushindi kwa gharama yoyote!
 
Wakuu kuna mtu kanitonya kua mathayo torongey uweza akapata ushindi kwa kishindo kwasababu kuna wamasai asilimia 70% wanamuunga mkono kesho ni kesho wacha tusubili

chadema wangekimbia tu wasingepiga kampeni itakuwa aibu ya mwaka ccm ni chama makini na chenye weledi si kama chadema
 
Back
Top Bottom