Mingoi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 11,715
- 6,124
Muuza kongoro maarufu ChalinzeMathayo torongey ni nani?
Muuza kongoro maarufu ChalinzeMathayo torongey ni nani?
Chalinze leo ni mwendo wa kugawa noti tu
Chalinze leo ni mwendo wa kugawa noti tu
Wakuu kuna mtu kanitonya kua mathayo torongey uweza akapata ushindi kwa kishindo kwasababu kuna wamasai asilimia 70% wanamuunga mkono kesho ni kesho wacha tusubili
Nani anagawa Rose Kamili au sasa hivi ni zamu ya mama Junior?
Ndiyo nini hicho?
pasiwe na rafu za ccm kuteka wenzao kama kule kalenga
Wale wafadhili wenu wa siri wa ulaya vipi wamewakimbia au masharti magumu?cdm haina hela za wachina bhana .
ukiangalia uwingi wa wamasai tu bado utaonekana hujafanya tathmini ya kina coz ktk jimbo hilo kuna wakwere na wazaramo kibao so rudi ukafanye tathmini upya!
Achilia mbali CDM kushinda Chalinze, ikipata kura 1,000 nitatembea Uchi WA mnyama mitaani!
njoo na jina lako halisi mkuu .
Issue ni je,?? Wana shahada za kupiga kura?? Shida kuu ni mashabiki wasio na shahada.
It's so sad! Rushwa namna hii?
Achilia mbali CDM kushinda Chalinze, ikipata kura 1,000 nitatembea Uchi WA mnyama mitaani!