Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 12,998
- 6,659
CCM Wana tabia ya kuropoka bila ya ushahidi sasa yanawatokea puani kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Professor Safari kapata deal nyingine. Chama cha mabwepande kimezeeka akili hakitaki kuachia vijana.
CCM Wana tabia ya kuropoka bila ya ushahidi sasa yanawatokea puani kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Professor Safari kapata deal nyingine. Chama cha mabwepande kimezeeka akili hakitaki kuachia vijana.
Mwigulu ambane Mnyika!!! Mwigulu piga ua hajui kuwabana watu wanaojua vitu, atawabana mambumbumbu wanyiramba na wanyaturu wenzake. We kila siku mfumuko wa bei unaongezeka halafu anajigamba kwamba ni mchumi daraja la kwanza huyo mtu hayupo makini kabisa ndiyo maana ili aweze kufanikisha ushindi wa chama chake lazima ulaghai utumike kama ilivyofanyika Igunga sasa nafikili kilichotokea unakijua. Mwigulu hayupo makini anataka cheap popularity ndiyo maana anafanya siasa za maji taka.mbona mnyika alibanwa na mwigulu akashindwa kuongea
Walimalizana kama ifuatavyo 'ulikua ni uzushi na uongo wa ndugai ndio maana hakuweza kumpa mnyika badala yake akapeleka suala kamati ya maadili.ivi mnyika walimalizanaje na mwigulu,alimlipa fidia au alimwomba radhi.
Nape kwenye hili utabaki peke yako....umeingia choo cha kike. Nape kwenye hili naweza kukufananisha na ua linaloota kwenye chupa.
mbona mnyika alibanwa na mwigulu akashindwa kuongea
Kama mna ushahidi si mwende mahakamani na nyie?Kumbe mkuki ni kwa nguruwe tu ee?mbona mnyika na chadema wote kila siku wanazusha,wanaongea uongo,wanawapotosha wananchi au ndio ile nyani haoni kundule?