Domy
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 4,700
- 1,090
Hivi zile siku saba alizopewa dr slaa na riziwani jk baada ya kuhoji utajiri wa kutisha alionao bado hazijatimia?.
Riz 1 si anasubiri pingu 2016 baada ya rais wetu mpendwa dr slaa kuingia ikulu 2015
Hivi zile siku saba alizopewa dr slaa na riziwani jk baada ya kuhoji utajiri wa kutisha alionao bado hazijatimia?.
Kama Tatizo ni bilioni tatu, si mseme tu tuwachangie, Siasa ni nguvu ya hoja siyo hoja za nguvu, kama mnataka michango si mseme tu, tunajua chama cha watembeza bakuri la ombaomba. Mwenyekiti Matonya.
Professor Safari anawasubiri mahakamaniMonoama habari za siku nyingi
babu alimjibu unachelewa kwenda mahakamani kwanza wewe ni mtoto mdogo baba yako nilimtaja pale muembe yanga kwenye list of shame naye alihaidi kunipeleka mahakamani akashindwa kijana unapoteza muda wahi mahakamani haraka nikakupasue dogo akapata ushauri kutoka kwa dingi yake aachane na dr ya kwamba atakumaliza akaamua kuingia mitini kimyakimya kwa sisi wazee wa mujini tunasema kisu kiligonga mfupa!Hivi zile siku saba alizopewa dr slaa na riziwani jk baada ya kuhoji utajiri wa kutisha alionao bado hazijatimia?.
na ile jinai iliyofunguliwa dhidi yake ya mauaji????
akihojiwa katika kipindi cha makutano kinachurushwa hewan na magic fm nape ameelezea kushangazwa na chadema kushindwa kutekeleza kaahadi kadogo walichoahid cha kumburuza mahakaman baada kutoa kauli yake kwamba cdm kinapokea mabilion kutoka nje.