Chadema kumfikisha mahakamani Nape Nnauye

Acha tu wachukue hatua. Kwenye ukweli uongo hujitenga.

Kaka siasa haiendeshwi hivyo.Kama tukitaka kila aneropoka au kusingizia kuhusu CDM apelekwe mahakamani...mahakama kuu itajaa mafaili ya hayo tu.Ushasikia Obama kaambiwa ni muislam,na mchungaji alijitokeza kukanusha lakini kauchuna.Hapa CDM wanachokonolewa tu ili watoke chimbo...kumbuka CCM hiyo ndio yenye benki kuu na hazina.Wanaweza tu kutoa nyaraka kuonesha kuna funds zilikua zimetumwa kwenye akaunti ya CDM wame freeze.hebu pitia sheria ya kutakatisha fedha kwanza halafu unibishie
 
Nilijua tu kuwa nape alitoa hii kauli baada ya kushauriwa na kimada wake,.

Think b4 action baba nape.
 
Wanasiasa wa kibongo kuzusha maneno ya kuyakana ni jambo la kawaida kwao,t kwa kifupi ni wanafiki na wala hawana woga hata wa mungu. Bora mzee Kingunge alishajitoa kwenye kumshirikisha mungu na siasa zake.

Sasa yakadhihirike mahakamani.

Safi sana.
 
Kaka siasa haiendeshwi hivyo.Kama tukitaka kila aneropoka au kusingizia kuhusu CDM apelekwe mahakamani...mahakama kuu itajaa mafaili ya hayo tu.Ushasikia Obama kaambiwa ni muislam,na mchungaji alijitokeza kukanusha lakini kauchuna.Hapa CDM wanachokonolewa tu ili watoke chimbo...kumbuka CCM hiyo ndio yenye benki kuu na hazina.Wanaweza tu kutoa nyaraka kuonesha kuna funds zilikua zimetumwa kwenye akaunti ya CDM wame freeze.hebu pitia sheria ya kutakatisha fedha kwanza halafu unibishie

Kuna uongo mwingine ukiachiwa una madhara makubwa sana.

Hivi unadhani kuwasadikisha raia kuwa kuna watu wanapokea pesa kutoka nje kwa nia ya kuuza nchi ni jambo dogo? Nape ameshika pabaya. Na ningedhani CCM ingefurahia hatua hii ya kwenda mahakamani kama wanajua alilosema NAPE ni kweli kwa kuwa itakuwa ni nafasi yao ya kuwamaliza CDM kisiasa. Kwa nini wasifurahie nafasi hiyo?

Mie nadhani anayeenda mahakamani ni muungwana kwa kuwa anataka aone haki inatendeka katika ukweli anaousimamia. Kumbuka Biblia inasema "Ukweli utawaweka huru." Yohane 8:32

Kwa nini mtaharuki kwa watu wanaotaka kufuata legal procedures?

NAPE amezidi, na atajifunza kwa hili.
 
jj mnyika magari yenu ya M4C Mlinunua kwa hela ya ruzuku? chadema mtajiabisha bure kwa jambo hili!
 
Hivi zile siku saba alizopewa dr slaa na riziwani jk baada ya kuhoji utajiri wa kutisha alionao bado hazijatimia?.
 
Kwa fidia ya bilioni tatu bila shaka hadi atamuuza mkewe na familia yake na bado hataipata hiyo pesa! Ndo sawa ya kuwakomesha mavuvuzela wanaoropoka hovyohovyo tu!!!!
 
jj mnyika magari yenu ya M4C Mlinunua kwa hela ya ruzuku? chadema mtajiabisha bure kwa jambo hili!

Sasa kwa nini unataharuki? Hapa kama kuna mchezo mchafu nadhani CDM ndo wangepaswa kutaharuki.

Nadhani wana CCM mngefurahia kuona fursa ya kuwamaliza kisiasa wanaowakosesha usingizi.

Siasa za majitaka zinawafanya mkose amani.
 
Hivi zile siku saba alizopewa dr slaa na riziwani jk baada ya kuhoji utajiri wa kutisha alionao bado hazijatimia?.
 
Kama Tatizo ni bilioni tatu, si mseme tu tuwachangie, Siasa ni nguvu ya hoja siyo hoja za nguvu, kama mnataka michango si mseme tu, tunajua chama cha watembeza bakuri la ombaomba. Mwenyekiti Matonya.
 
Mmeamua kufanya siasa za maji taka. Mtavuna mlichopanda.

Issue ni kuthibiti tabia za kuropoka za NAPE! Halafu mwana CCM Mangaline kuropoka kwa NAPE ndo unaita nguvu ya hoja! Ndio maana mnataharuki kuona NAPE wenu anapelekwa mahakamani.

By the way ukiona mtu anaogopa mahakama ujue kuna kitu si sawa!
 
Uana siasa ni gamba gumu, ukiona mwanasiasa anakimbilia mahakamani, ujue huyo hajakomaa kisiasa. hizo bn 3 ni matumizi ya chama ya kununulia toilet paper tu kwa siku. ila kama mnataka mtaji, mseme kama tatizo lenu ni vijisenti, tuko tayari kuwasaidia.
 
Mkuu kuna kuropoka kubaya ambako mtu huwezi kunyamaziwa.

Tuhuma ya kuuza nchi si kitu kidogo. Na wewe kama unaamini NAPE anasema kitu alicho na uhakika nacho nadhani ungefurahia kuona fursa ya kuimaliza Chadema kisiasa kwa kuwathibitishia wananchi kuwa Chadema ina mpango wa kuuza nchi.

Issue ni kutoa lesson kwa waropokaji. CDM wanataka uongo na ukweli vijipambanue. Ni kutoa lesson kwa wanaofanya uongo kuwa mtaji wa kisiasa. Tunataka Watanzania wajue nani anasema ukweli na nani mwongo.

After all, mahakamani si sehemu mbaya. Ni sehemu ya kudhihirisha haki (Justice).

(Pekundu: Uana siasa wa CCM ndio gamba gumu! ndio maana wanajaribu kulivua halivuki)
 
Mkuu, Katika siasa, ukweli na uongo vyote hutumika, ili mradi kuvuta hisia za jamii ambao ndio mtaji wa chama kisiasa. Hata chama chenu, si yote wasemayo ambayo ni kweli. wamekuwa wakitumia madhaifu machache ya kiutendaji ili kuvuna wanachama wengi, ambayo hata kama leo wangeingia madarakani, si rahisi kutimiza matazamio wanayowatazamisha jamii. Hii ndiyo maana tunaita kuwa siasa ni gamba gumu, kwa kuwa ni lazima uvumilie kusikia maneno mazito. Hii ndiyo inayo weza kutofautisha mwanasiasa aliyekomaa na mwanasiasa anayejifunza. Kisiasa, mahakamani huwa hatuendi ila tunaenda kwa wananchi. anayekimbilia mahakamani ni mwanasiasa uchwara. hivyo usikimbilie kuona kama mwenzenu karopoka, ila hiyo ndiyo siasa
 
Mahakama ipi atakayokwenda? Nina wasiwasi wa kesi ya nyani kuhukumiwa na ngedere.
 
Kumbe mkuki ni kwa nguruwe tu ee?mbona mnyika na chadema wote kila siku wanazusha,wanaongea uongo,wanawapotosha wananchi au ndio ile nyani haoni kundule?

CCM wanakuwa si makini hawasikilizi bali wako bize kuendeleza ufisadi. Pamoja na hayo CDM ni makini hawaropoki wala hawana muda wa kujiingiza kwenye siasa chafu tofauti na CCM
 
Back
Top Bottom