Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,027
- 144,382
Huyo ndo Mbowe banaWaziri wa fedha ananipigia simu 'Mbowe unajua tangu uchaguzi mnazo zaidi ya bilioni moja zenu, njoo mchukue fedha zenu'.. Nikamuuliza 'urafiki wetu na CCM umeanza lini?'"
CHADEMA hawawezi kuchukua hiyo hela haramu na teyari wameanza kuwaza kujitegemea.Nafikiri hili ni hitaji la kila mwananchi.
Ila wanasiasa ni wanafiki tu...
Weka akiba ya maneno Mkuu.CHADEMA hawawezi kuchukua hiyo hela haramu na wameanza kuwaza kujitegemea.
Usipologwa leo ushukuru sana MunguKama CHADEMA wameweza ku-survive bila ruzuku mpaka leo hii, na zaidi wameweza kubuni utratibu mpya wa kuwaingizia mapato kupitia michango ya wanachama,basi CCM kama chama kikongwe kinapaswa kuona aibu na kuacha kuendelea kupokea ruzuku kutoka serikalini...
Naunga mkono hoja.Wakati umefika vyama vya siasa vianze kujitegemea na kama ruzuku, basi itolewe kwa vyama vichanga na kuwe na muda maalumu wa kisheria wa kuvilea baada ya kupewa usajili wa Kudumu na baada ya hapo na vyenyewe vijigemee.
Humfahamu MBOWE weweNafikiri hili ni hitaji la kila mwananchi.
Ila wanasiasa ni wanafiki tu..
Siku ukikutana na Mama kupitia kikao cha wazee wa Dar-es-Salaam, wanahabari au vinginevyo, toa hii hoja kwa Mama.Naunga mkono hoja.
PRuzuku kwa vyama vya Siasa: Mnaonaje tumshauri Rais Magufuli aifutilie mbali ruzuku hii? Ni ufisadi
Wanabodi, Kuna hii kauli ya "asiyefanya kazi na asile". Jee siasa nayo ni kazi ya kustahili mshahara kwa jina la ruzuku kwa vyama vya siasa? . Ruzuku hii iendelee kuwepo watu waendelee kuitafuna au ifutwe? . Japo sijafanya utafiti wa ni nchi ngapi zinagawa ruzuku kwa vyama vya siasa lakini kwa...www.jamiiforums.com
Ccm wanawaingiza kingi chadema ili kutaka kuwapitisha wale wabubunge wanawake 19Aisee..
Kama kila mwezi mna 140,000,000 ni kweli zitakuwa zimeshafika Billion moja na ushee..