CHADEMA ku-survive bila ruzuku: CCM oneni aibu na iwe mwanzo wa kufuta ruzuku kwa vyama vyote vya siasa

Michango ni ya hiari na si sawa na kuchukua kodi za wananchi zinazotakiwa kujenga mabarabara, mahospitali, n.k ili masikini hao wapate huduma za msingi kutokana na kodi wanazolipa.

Isitoshe, huu ni mwanzo tu wa kujitegeme kwa kuwa na vitega uchumi vya chama.
Hio Ruzuku ni kulingana na matakwa ya sheria. Kutoa kodi ni wajibu.
Sio kwa sababu maskini anatoa kodi. Ndio kiwe kigezo cha kutotimiza mambo fulani.
 
Na kibaya zaidi, Bunge lenyewe limegeuka kuwa Idara ya serikali.

Yep, Bunge linahitaji kuisimamia serikali kikamilifu. Mawaziri, majaji, wakuu wa mikoa kabla hawaanza kazi inabidi kuwe na kamati ya kuwahoji, (Confirmation hearing)kuwauliza maswali, vision, kuangalia CV zao, kama wana uchafu wowote, wajieleze vizuri.
 
laiti kama hiyo ruzuku ingezuiwa na serikali ungesikia kwamba ccm imekiuka sheria na takwa la kikatiba
 
Kama CHADEMA wameweza ku-survive bila ruzuku mpaka leo hii, na zaidi wameweza kubuni utratibu mpya wa kuwaingizia mapato kupitia michango ya wanachama,basi CCM kama chama kikongwe kinapaswa kuona aibu na kuacha kuendelea kupokea ruzuku kutoka serikalini...
Amefanya vizuri ingekuwa ni kete kubwa ya ccm kuwananga chademavkuwa wanachukuwa ruzuku na wabunge hawawataki, safivmno mbowe your very smart!
 
Hao wezi Chama Cha Majambazi wamezoea kuiba kodi zetu wataacha kweli? Mbu anaweza kubembelezwa kuacha kunywa damu? Wanaiba kura. Wanajipa wabunge wote, wanatumia huo wizi kupata mabilioni ya ruzuku, wananunua MAVIIEITE, halafu wanatuuliza, unajua VIIEITE wewe?
 
Amefanya vizuri ingekuwa ni kete kubwa ya ccm kuwananga chademavkuwa wanachukuwa ruzuku na wabunge hawawataki, safivmno mbowe your very smart!
Huo ulikuwa ni mtego wa kisiasa wakidhani Mbowe ni kilaza watamuingiza mkenge wakasahau Mbowe ni mtoto wa mjini na wao wametoka vijijini wamemkuta teyari yuko majiji miaka mingi.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Huo ulikuwa ni mtego wa kisiasa wakidhani Mbowe ni kilaza watamuingiza mkenge wakasahau Mbowe ni mtoto wa mjini na wao wametoka vijijini wamemkuta teyari yuko majiji miaka mingi.
Hapo ndipo utaamini chadema ni imani hilo lilikuwa jaribu kama la Yuda achukue vipande thelasini na kuuza chama!
 
Back
Top Bottom