CHADEMA itasababisha Mauaji mwaka 2015

CHADEMA itasababisha Mauaji mwaka 2015

huu ushabiki wa kijinga utaangamiza nchi!
 
ww mnafiki umekuwa mshauri wa chadema hizi laana za kuteka watu zitakumaliza ccm ni janga la taifa
 
Mtajuana wenyewe,

Nauza Compressor Nzuri ya Mtumba,
ni IWATA minicom, ni kubwa na ipo katika hali nzuri.....
njoo PM kwa mawasiliano
 
mawazo ya kiwiziwizi haya!

Ni bora ungewaacha hao chadema waendelee na maisha yao, na wewe uendelee na safari zako.Kama ungekuwa unawazo au kuna mapungufu na unadhani wewe una mapenzi na CDM basi ungepeleka malalamiko yako huko na si huku kwenye mitandao. vinginevyo huna hadhi ya hata kushauri nzi
 
We acha uongo Rwakatare na Kagasheki kwa mujibu wa tume hawakutofautiana kiasi hicho ni kwa kura kidogo hazifiki hata elfu 1.Uchaguzi ukiwa huru na haki hakutakuwa na vurugu. Mwisho acha kujiita mwana CDM huna sifa hiyo.
 
Kijana, usisahau kama kuna maisha mengine kabisa yanakusubiri uishi nje ya siasa!
Unajiandaaje? Siasa siyo ajira, na kama ni kujitolea hutafanya hivyo sku zote, utakuwa msikilizaji tu sku za mbele na je, utakuwa unaishi na akina nani mtaani kwako kama ccm haitatawala milele kuuficha ugaidi wako?

Tafakari.....
 
Simiyu Yetu Na CCM Yenu Ni Wajingawajinga Fulani, Mnadhani Kuwatumia Mapolisi Kutawafanya Msalimike 2015?, Mkae Mkijua Hata Hao Mapolisi Mnawalazimisha Tu Nao Wameshayachoka Maagizo Ya Kipumbavu Kutoka Lumumba.
Hivi kina chama kilichojaa wajinga kama CHADEMA? Mpo ka misukule vile
 
Wandugu,
Wengi wamekuwa wanaacha kutazama hoja ninazoweka na kukimbilia kunitusi na kunikashfu binafsi. sijali sana hayo kwa sababu naamini natimiza wajibu mkubwa wa kijamii, kukilinda na kukitetea chama changu CHADEMA, na kuilinda nchi yangu TANZANIA. leo natafakari kile ambacho kitatokea baada ya matokeo ya uchaguzi wa mwaka 2015 kama chama changu hakitabadilika haraka na kuachana na siasa za ki machiaveli.

"Makamanda" kama tunavyoitana, tumekuwa ni watu wa mihemuko. hatuhoji chochote hasa kikisemwa na viongozi wetu. hoja na ushuhuda wangu ni kuwa nafahamu kuwa mara nyingine na hasa juu ya matokeo ya uchaguzi viongozi wetu husema uongo wa hatari, na huko nyuma mimi mwenyewe nimeshiriki kuupika uongo huo. kwa ajili ya hoja yangu, nitatoa mifano mitatu halisi.

Wakati wa uhaguzi wa ubunge wa mwaka 2010 pale Bukoba mjini, tukijua kabisa kuwa tulikuwa tumeshindwa,tuliamua kuwadanganya wapiga kura na hasa vijana waliokuwa wamefurika kwenye kituo cha kujumlisha kura kuwa tumeshinda, wakaanza kushangilia,wakati ukweli tulikuwa tumeshindwa kwa zaidi ya kura 2000, na kwa haki kabisa. hii ilisababisha vurugu pale wafuasi wa CCM walipoanza kushangilia ushindi halali wa mbunge mteule.

Wakati wa uchaguzi mdogo wa Igunga, tukiwa tumejua matokeo kuwa tumeshindwa usiku, na kulingana na upepo tuliokuwa tumewajaza mashabiki wa CHADEMA pale Igunga, tuliamua kuwadanganya wanachama wetu kuwa tumeshinda na tukapita mitaani na gari la matangazo tukishangilia na kukusanya vijana kwenda halmashauri eti kulinda kura zisichakachuliwe. vijana waliingia mtaani kwa wingi. matokeo yake Matokeo yakasema CCM ndiyo washindi. tulipofika maeneo ya Peak hotel pale igunga wakatokeza vijana wa CCM wakatembeza kipigo cha mbwa mwizi kwa vijana wa CHADEMA. watu walikatwa mapanga na nakumbuka hadi risasi zilifyatuliwa.

Mwisho nakumbuka alichosema mgombea wetu baada ya uchaguzi wa rais uliopita. akisema alikuwa ameshinda ila akachakachuliwa. nchi ilikuwa kwenye tension na nadhani vijana wa CHADEMA tulikuwa tayari kuingia barabarani tukiamini kuwa kweli tuliibiwa kura tu uchaguzi wa rais.

Hoja yangu ni kuwa kutokana na mazingira ya siasa yalivy sasa,hadi mwaka 2015 kutakuwa na kundi kubwa la vijana bila shaka watakaoweza kuitikia mwito wa viongozi wetu wa CHADEMA kuingia barabarani kama watasema kura zimeibwa ama kujitangaza kushinda wakati wakijua hawakushinda. (maana kushinda urais bado sana), mapigano makubwa yatatokea baina ya vijana wa chama chetu CHADEMA, na wale wa CCM, na baina yetu na vyombo vya dola. kama CHADEMA itafanya hivi itakuwa imesababisha mauwaji ya raia wasiyo hatia. natamani chama changu kibadilike kabla ya wakati huo. Inawezekana kufanya siasa safi kama CHADEMA inavyotarajiwa.

Hivi Chadema kina wanachama wapumbavuuu kiasi hiki, wewe ni kibaraka mchumia tumbo...laana ya njaa ya pesa kwa kudhurumu uhai wa watu inakutafuna muda utakuwa unatenba makalio nje unaokota makopo, ----- kweli we puuuumbavu
 
ww mnafiki umekuwa mshauri wa chadema hizi laana za kuteka watu zitakumaliza ccm ni janga la taifa
Hapo CCM inaingiaje ilhali aliyepanga mipango ya kuteka ni mkurugenzi wenu wa Ulinzi na Usalama?
 
Hivi Chadema kina wanachama wapumbavuuu kiasi hiki, wewe ni kibaraka mchumia tumbo...laana ya njaa ya pesa kwa kudhurumu uhai wa watu inakutafuna muda utakuwa unatenba makalio nje unaokota makopo, ----- kweli we puuuumbavu
Mkuu, kumbuka huyu Ludovick ameshiriki kwenye mipango mingi ovu na sasa anawaumbua
 
Nenda ACT Kwenye mtazamo mmoja na wenzio akina...........wanaopenda demokrasia iliyo juu ya watu wenyewe.
Hata kutukana wanachama ni democrasia, kila kitu kwao kimebarikiwa bila mipaka na ndiyo maana wananamini demokrasia bila kuitafsiri kama tulivyokaririshwa shuleni kuwa lazima iwe under the people.
 
We acha uongo Rwakatare na Kagasheki kwa mujibu wa tume hawakutofautiana kiasi hicho ni kwa kura kidogo hazifiki hata elfu 1.Uchaguzi ukiwa huru na haki hakutakuwa na vurugu. Mwisho acha kujiita mwana CDM huna sifa hiyo.
Tuwekee basi hayo matokeo ambayo unaona yalikuwa halali kwa mujibu wa hiyo tume
 
Mkuu, kumbuka huyu Ludovick ameshiriki kwenye mipango mingi ovu na sasa anawaumbua

hiyo ni propaganda nyepesi sana. i know this guy vizuri... kinachomsumbua ni njaa...bwana mdogo anajiingiza katika mambo ya ishetani...mimi nakwambia kama chadema kingekuwa chama kichafu kama ludovick nisinge logwa kukishabikia. tubishane siasa lakini mambo ya kutoana roho kwa njaa zetu ni ya kipumbavu sana
 
Joseph Ludovick;Kijana unatia hata aibu kwa kuumba uongo dizaini hii! ulaaniwe! nadhani hata wazazi wako wanajutia kuzaa na kulea buyu kiasi hiki! any way ndio njia uliochagua ya kujidhalilisha hatuna cha kukufanya! ila wewe ni mtu hatari sana na utakata roho huku ukiwa umeshika ---- kwa laana za mamilioni ya watanzania waliowekeza wakitarajia Ukombozi kutoka CDM! Mungu na akuweke mahali pabaya sana jehanamu

Upo wazi kichwan mwako,mbona hujajibu hoja yake? Ungekuwa smart enough ungemjib kwa kukanusha, nahis hata ofis za chadema hujawah gusa mwenzio kafanya pale na anapajua vyema, ifike mahal tujifunze kuukubali ukweli
 
Last edited by a moderator:
Huyu kijana ludovick ni bright sana. Mzalendo sana. Ana uthubutu wa kuusemea moyo wake.kushauri kile anachokiamini. Misukule ya chadema inatumia akili za kukodi inashindwa kutambua uhalisia wa mambo
 
Back
Top Bottom