Nenda kwa Mwanasaikolojia haraka sana,ni ushauri wangu kwako maana kipuuzi a tatizo lako linaweza kuongezeka kadri ya siku zinapoenda mbele.mawazo ya kiwiziwizi haya!
Mkuu mbona matusi? Hebu mkosoe kwa kujenga hoja!
Wandugu,
Wengi wamekuwa wanaacha kutazama hoja ninazoweka na kukimbilia kunitusi na kunikashfu binafsi. sijali sana hayo kwa sababu naamini natimiza wajibu mkubwa wa kijamii, kukilinda na kukitetea chama changu CHADEMA, na kuilinda nchi yangu TANZANIA. leo natafakari kile ambacho kitatokea baada ya matokeo ya uchaguzi wa mwaka 2015 kama chama changu hakitabadilika haraka na kuachana na siasa za ki machiaveli.
"Makamanda" kama tunavyoitana, tumekuwa ni watu wa mihemuko. hatuhoji chochote hasa kikisemwa na viongozi wetu. hoja na ushuhuda wangu ni kuwa nafahamu kuwa mara nyingine na hasa juu ya matokeo ya uchaguzi viongozi wetu husema uongo wa hatari, na huko nyuma mimi mwenyewe nimeshiriki kuupika uongo huo. kwa ajili ya hoja yangu, nitatoa mifano mitatu halisi.
Wakati wa uhaguzi wa ubunge wa mwaka 2010 pale Bukoba mjini, tukijua kabisa kuwa tulikuwa tumeshindwa,tuliamua kuwadanganya wapiga kura na hasa vijana waliokuwa wamefurika kwenye kituo cha kujumlisha kura kuwa tumeshinda, wakaanza kushangilia,wakati ukweli tulikuwa tumeshindwa kwa zaidi ya kura 2000, na kwa haki kabisa. hii ilisababisha vurugu pale wafuasi wa CCM walipoanza kushangilia ushindi halali wa mbunge mteule.
Wakati wa uchaguzi mdogo wa Igunga, tukiwa tumejua matokeo kuwa tumeshindwa usiku, na kulingana na upepo tuliokuwa tumewajaza mashabiki wa CHADEMA pale Igunga, tuliamua kuwadanganya wanachama wetu kuwa tumeshinda na tukapita mitaani na gari la matangazo tukishangilia na kukusanya vijana kwenda halmashauri eti kulinda kura zisichakachuliwe. vijana waliingia mtaani kwa wingi. matokeo yake Matokeo yakasema CCM ndiyo washindi. tulipofika maeneo ya Peak hotel pale igunga wakatokeza vijana wa CCM wakatembeza kipigo cha mbwa mwizi kwa vijana wa CHADEMA. watu walikatwa mapanga na nakumbuka hadi risasi zilifyatuliwa.
Mwisho nakumbuka alichosema mgombea wetu baada ya uchaguzi wa rais uliopita. akisema alikuwa ameshinda ila akachakachuliwa. nchi ilikuwa kwenye tension na nadhani vijana wa CHADEMA tulikuwa tayari kuingia barabarani tukiamini kuwa kweli tuliibiwa kura tu uchaguzi wa rais.
Hoja yangu ni kuwa kutokana na mazingira ya siasa yalivy sasa,hadi mwaka 2015 kutakuwa na kundi kubwa la vijana bila shaka watakaoweza kuitikia mwito wa viongozi wetu wa CHADEMA kuingia barabarani kama watasema kura zimeibwa ama kujitangaza kushinda wakati wakijua hawakushinda. (maana kushinda urais bado sana), mapigano makubwa yatatokea baina ya vijana wa chama chetu CHADEMA, na wale wa CCM, na baina yetu na vyombo vya dola. kama CHADEMA itafanya hivi itakuwa imesababisha mauwaji ya raia wasiyo hatia. natamani chama changu kibadilike kabla ya wakati huo. Inawezekana kufanya siasa safi kama CHADEMA inavyotarajiwa.

mawazo ya kiwiziwizi haya!
Ludovick , ni mwehu na Mnafiki sana ......
Ninavyofahamu mimi, mwigulu ndiye mme wa ludovick.kwa akili yako kwa hiyo mwigullu ndo ludovick? come on!
Halafu mumeo ni nani sasa make unajua waume za watu bila wewe kutaja mume wako kwanza pumbavu wewe.Ninavyofahamu mimi, mwigulu ndiye mme wa ludovick.
Ipo siku chadema watayakumbuka maneno ya ludovick tena mda siyo mrefu tutakuja ambizana hapahapa jf na ukweli utakuwa bayana.Kijana hivi kweli wewe unaweza kujiita CHADEMA kweli mtu kila siku unakesha kwenye mitandao kuitukana.
Wewe ni kijana uliyeamua kununuliwa kama nyanya sokoni. Huwezi kabisa kuishauri CHADEMA ni chama imara wewe shauri ccm ambayo inapukututika kwa speed kubwa mpaka sasa inatumia mbeleko ya polisi.
Zile pesa alizokununua nazo ili uisingizie CHADEMA Ugaidi zimekwisha kukugharimu sasa zitaendelea kukugharimu zaidi. Wewe huwezi kuaminiwa tena na jamii kijana hata ukitubu.
Yote haya kafanya kilewo na kundi lake la mauaji.Wewe nafikiri bado umeathirika sana na lile tukio la kutekwa na kuteswa kwa kibanda pamoja na kuandaa ile clip feki ya Lwakatare ndio maana unaandika vitu visivyokuwa na kichwa wala miguu, kama kweli upo timamu hasa kiakili naomba unipe ufafanuzi katika mambo haya ninayoyaweka hapa chini.
1. Hapo nilipoweka RED na BLUE vipi kuhusu mambo yaliyotokea kule Mwanza na Shinyanga ambapo vijana walikusanyika kudai matokeo yatangazwe na yalicheleweshwa na kutangazwa kwa mashinikizo? pale Mwanza walikubali kushindwa ili kuepusha vifo kwani vijana hawakuwa tayari kumuona macha anakuwa Mbunge wao, Kule Shinyanga matokeo yaligeuzwa na eti Masele akashinda kwa kura 1, na inatakiwa ujue maeneo yote ambayo matokeo yalicheleweshwa kutangazwa bila sababu za msingi CCM walikuwa wameshindwa kwani hata kule Igunga baadhi ya wasimamizi wametoa ushuhuda kuwa kilichotangwaza sio kile walichokiwasilisha makao makuu.
2. Naomba uniambie katika haya matukio hapa chini je yamesababishwa na CHADEMA?
Hapa ninatoa mifano hai ya matukio yaliyotokea ndani ya nchi hii ambayo Polisi hawajatupa majibu hadi sasa juu ya nani waliohusika na matukio haya na mengine kuna viongozi wa jeshi la Polisi walitumia posho na kukaa Arusha zaidi ya mwezi pasipo kutoa majibu wa taarifa hadi leo hii.
1. Aliyemmwagia Tindikali Said Kubenea
2. Aliyemteka na kumtesa Dr. Ulimboka
3. Aliyemuua Mwangosi
4. Waliomuua kwa kumchinja Mwenyekiti wa CHADEMAkule Usariver
5. Wale vijana wa UVCCM waliowashambulia wabungewa CHADEMA kule Mwanza
6. Waliomteka na kumtesa Kibanda
7. Waliomuwekea sumu Mwakyembe
8. Waliomgonga kwa makusudi Mwakyembe kwa lengola Kumuua
9. Waliomuua yule Kada wa CHADEMA kule Igunga
10. Waliommwagia tindikali kijana Musa kule Igunga
11. Waliomuua yule kada wa CCM kule Ndago Singida
12. waliolipua Bomu katika Mkutano wa CHADEMApale Soweto
13. Waliolipua Kanisani Olasit, Yule kijanawaliyemrundikia zile tuhuma sidhani kama ni mtuhumiwa halali.
14. Waliomuua Padri kule Zanzibar
15. Waliowamwagia Tindikali wale Mabinti wa UK
16. Waliowatuma akina Masogange kupeleka ileSembe(Madawa ya kulevya) Kule South Africa
17. Waliommwagia tindikali yule boss wa Home shoping center
3. Na wewe ulipohusika katika lile tukio la kumteka na kumtesa Kibanda ulitumwa na CHADEMA? kama ni CHADEMA ni nani aliyekutuma? na kama sio CHADEMA ulitumwa na nani? na ni wa chama gani?