Upo wazi kichwan mwako,mbona hujajibu hoja yake? Ungekuwa smart enough ungemjib kwa kukanusha, nahis hata ofis za chadema hujawah gusa mwenzio kafanya pale na anapajua vyema, ifike mahal tujifunze kuukubali ukweli
Wandugu,
Wengi wamekuwa wanaacha kutazama hoja ninazoweka na kukimbilia kunitusi na kunikashfu binafsi. sijali sana hayo kwa sababu naamini natimiza wajibu mkubwa wa kijamii, kukilinda na kukitetea chama changu CHADEMA, na kuilinda nchi yangu TANZANIA. leo natafakari kile ambacho kitatokea baada ya matokeo ya uchaguzi wa mwaka 2015 kama chama changu hakitabadilika haraka na kuachana na siasa za ki machiaveli.
"Makamanda" kama tunavyoitana, tumekuwa ni watu wa mihemuko. hatuhoji chochote hasa kikisemwa na viongozi wetu. hoja na ushuhuda wangu ni kuwa nafahamu kuwa mara nyingine na hasa juu ya matokeo ya uchaguzi viongozi wetu husema uongo wa hatari, na huko nyuma mimi mwenyewe nimeshiriki kuupika uongo huo. kwa ajili ya hoja yangu, nitatoa mifano mitatu halisi.
Wakati wa uhaguzi wa ubunge wa mwaka 2010 pale Bukoba mjini, tukijua kabisa kuwa tulikuwa tumeshindwa,tuliamua kuwadanganya wapiga kura na hasa vijana waliokuwa wamefurika kwenye kituo cha kujumlisha kura kuwa tumeshinda, wakaanza kushangilia,wakati ukweli tulikuwa tumeshindwa kwa zaidi ya kura 2000, na kwa haki kabisa. hii ilisababisha vurugu pale wafuasi wa CCM walipoanza kushangilia ushindi halali wa mbunge mteule.
Wakati wa uchaguzi mdogo wa Igunga, tukiwa tumejua matokeo kuwa tumeshindwa usiku, na kulingana na upepo tuliokuwa tumewajaza mashabiki wa CHADEMA pale Igunga, tuliamua kuwadanganya wanachama wetu kuwa tumeshinda na tukapita mitaani na gari la matangazo tukishangilia na kukusanya vijana kwenda halmashauri eti kulinda kura zisichakachuliwe. vijana waliingia mtaani kwa wingi. matokeo yake Matokeo yakasema CCM ndiyo washindi. tulipofika maeneo ya Peak hotel pale igunga wakatokeza vijana wa CCM wakatembeza kipigo cha mbwa mwizi kwa vijana wa CHADEMA. watu walikatwa mapanga na nakumbuka hadi risasi zilifyatuliwa.
Mwisho nakumbuka alichosema mgombea wetu baada ya uchaguzi wa rais uliopita. akisema alikuwa ameshinda ila akachakachuliwa. nchi ilikuwa kwenye tension na nadhani vijana wa CHADEMA tulikuwa tayari kuingia barabarani tukiamini kuwa kweli tuliibiwa kura tu uchaguzi wa rais.
Hoja yangu ni kuwa kutokana na mazingira ya siasa yalivy sasa,hadi mwaka 2015 kutakuwa na kundi kubwa la vijana bila shaka watakaoweza kuitikia mwito wa viongozi wetu wa CHADEMA kuingia barabarani kama watasema kura zimeibwa ama kujitangaza kushinda wakati wakijua hawakushinda. (maana kushinda urais bado sana), mapigano makubwa yatatokea baina ya vijana wa chama chetu CHADEMA, na wale wa CCM, na baina yetu na vyombo vya dola. kama CHADEMA itafanya hivi itakuwa imesababisha mauwaji ya raia wasiyo hatia. natamani chama changu kibadilike kabla ya wakati huo. Inawezekana kufanya siasa safi kama CHADEMA inavyotarajiwa.
Ukombozi gani utaletwa na wazinzi kama Kibabu na mke wamtu na Makengeza na kimada wake anaeyumbisha ndoa yake! Tafuteni hela acheni kudanganywa na wamiliki wa saccos eti mtapata ukombozi kupitia Chagadema.
mwalimu wa degree kutoka UD/DUCE kiswahili chako ndio hiki!? hii inaonyesha hata hoja zako zimekaa kihivi hivi.CHADEMA Itasababisha Mauwaji Mwaka 2015
kwa akili yako kwa hiyo mwigullu ndo ludovick? come on!
Kwakuwa ulemavu hutoa mungu wala siyo shida hata wewe kesho unaweza kuamka ukiwa mlemavu jipange tu siku bado zipo.ccm chama cha walemavu wa akili...
Hapa unamlenga kileo au nani bavicha hizi ndiyo ishu zao karibia wote.Nenda kanisani ongea na wazee wa kanisa pamoja na wachungaji uwaeleze mlivyomteka KIBANDA alafu watafute namna ya kuwakutanisha umuombe radhi kwanza yeye alafu umrudia MWENYEZI MUNGU lile tukio ni baya sana
Malizia kwanza dawa zako mlizopewa pamoja na lisu mwenzako siku hizi nafuu kidogo.Kama suala ni ufuska huko ccm ndio kwao,
Anna kilango malechela
Anna abdala pius msekwa
Wassirra na mama ndege
Kashfa ya mzee kapuya na kabinti ka shule
Mwigulu na fumanizi kule igunga
Nape nauye si mtoto wa nje ndoa ya mzee moses nnauye kada maarufu ccm(rip)
Yule mbunge wa ccm aliyeacha kikao bungeni akaenda kubaka.
List ni ndeefu ndugu wewe haya hukuyaona kabla hujatemwa cdm,bali ulipotemwa?
Jacob zuma anaongoza south afrika bila shida pamoja na kuwa na vimada kibao.
Francois hollande yuko ikulu france na ana kashfa ya kimada
Suala la vimada ni maisha binafsi ya mtu,halihusiani na uongozi adilifu usio na ufisadi kama epa,escrow,iptl,richmond,safari za viongozi zisizo na tija,bunge maalumu la ufujaji pesa na katiba.
Amka ndugu nina imani kwamba hata
Wewe ni muathirika wa usaliti na dhambi hii itawasumbua sana,kila mkiamka ni kushambulia cdm badala ya adui namba moja wa watanzania ambao ni ccm na polisi wake
Ipo siku chadema watayakumbuka maneno ya ludovick tena mda siyo mrefu tutakuja ambizana hapahapa jf na ukweli utakuwa bayana.
Nenda kanisani ongea na wazee wa kanisa pamoja na wachungaji uwaeleze mlivyomteka KIBANDA alafu watafute namna ya kuwakutanisha umuombe radhi kwanza yeye alafu umrudia MWENYEZI MUNGU lile tukio ni baya sana
kwa akili yako kwa hiyo mwigullu ndo ludovick? come on!
Kila nikiona uzi unaoanzisha ukijifanya mwana CHADEMA nakumbuka jinsi Mwigulu Nchemba alivyojitapa namna alivyokununua
Kwa mtu aliye wa kawaida, asingeendelea kujitokeza na kujifanya bado mmoja wa kundi alilolitengenezea kashfa.
Una matatizo makubwa sana, wewe ni mtu hatari sana, unaweza hata kuua kwa ajili ya pesa tu.
Wandugu,
Wengi wamekuwa wanaacha kutazama hoja ninazoweka na kukimbilia kunitusi na kunikashfu binafsi. sijali sana hayo kwa sababu naamini natimiza wajibu mkubwa wa kijamii, kukilinda na kukitetea chama changu CHADEMA, na kuilinda nchi yangu TANZANIA. leo natafakari kile ambacho kitatokea baada ya matokeo ya uchaguzi wa mwaka 2015 kama chama changu hakitabadilika haraka na kuachana na siasa za ki machiaveli.
"Makamanda" kama tunavyoitana, tumekuwa ni watu wa mihemuko. hatuhoji chochote hasa kikisemwa na viongozi wetu. hoja na ushuhuda wangu ni kuwa nafahamu kuwa mara nyingine na hasa juu ya matokeo ya uchaguzi viongozi wetu husema uongo wa hatari, na huko nyuma mimi mwenyewe nimeshiriki kuupika uongo huo. kwa ajili ya hoja yangu, nitatoa mifano mitatu halisi.
Wakati wa uhaguzi wa ubunge wa mwaka 2010 pale Bukoba mjini, tukijua kabisa kuwa tulikuwa tumeshindwa,tuliamua kuwadanganya wapiga kura na hasa vijana waliokuwa wamefurika kwenye kituo cha kujumlisha kura kuwa tumeshinda, wakaanza kushangilia,wakati ukweli tulikuwa tumeshindwa kwa zaidi ya kura 2000, na kwa haki kabisa. hii ilisababisha vurugu pale wafuasi wa CCM walipoanza kushangilia ushindi halali wa mbunge mteule.
Wakati wa uchaguzi mdogo wa Igunga, tukiwa tumejua matokeo kuwa tumeshindwa usiku, na kulingana na upepo tuliokuwa tumewajaza mashabiki wa CHADEMA pale Igunga, tuliamua kuwadanganya wanachama wetu kuwa tumeshinda na tukapita mitaani na gari la matangazo tukishangilia na kukusanya vijana kwenda halmashauri eti kulinda kura zisichakachuliwe. vijana waliingia mtaani kwa wingi. matokeo yake Matokeo yakasema CCM ndiyo washindi. tulipofika maeneo ya Peak hotel pale igunga wakatokeza vijana wa CCM wakatembeza kipigo cha mbwa mwizi kwa vijana wa CHADEMA. watu walikatwa mapanga na nakumbuka hadi risasi zilifyatuliwa.
Mwisho nakumbuka alichosema mgombea wetu baada ya uchaguzi wa rais uliopita. akisema alikuwa ameshinda ila akachakachuliwa. nchi ilikuwa kwenye tension na nadhani vijana wa CHADEMA tulikuwa tayari kuingia barabarani tukiamini kuwa kweli tuliibiwa kura tu uchaguzi wa rais.
Hoja yangu ni kuwa kutokana na mazingira ya siasa yalivy sasa,hadi mwaka 2015 kutakuwa na kundi kubwa la vijana bila shaka watakaoweza kuitikia mwito wa viongozi wetu wa CHADEMA kuingia barabarani kama watasema kura zimeibwa ama kujitangaza kushinda wakati wakijua hawakushinda. (maana kushinda urais bado sana), mapigano makubwa yatatokea baina ya vijana wa chama chetu CHADEMA, na wale wa CCM, na baina yetu na vyombo vya dola. kama CHADEMA itafanya hivi itakuwa imesababisha mauwaji ya raia wasiyo hatia. natamani chama changu kibadilike kabla ya wakati huo. Inawezekana kufanya siasa safi kama CHADEMA inavyotarajiwa.
Acha uzuzu,unaonekana hivihivi kama unaegemea upande fulani!najua kabisa tumbo joto kama CDM wataingia madarakani!na inshallah,2015 Mungu atatuonyesha,na wewe ni mfungwa mtarajiwa kwa kuhongwa kodi Umma!