CHADEMA itasababisha Mauaji mwaka 2015

CHADEMA itasababisha Mauaji mwaka 2015

Hivi ni kuwa HUyu Joseph Ludovick ni Taahira, ana Stress za Maisha au vp.
In short, Huyu jamaa ametoka katika hali ya ubinadamu wa Kawaida, ni wa kumuonea huruma
 
Last edited by a moderator:
Upo wazi kichwan mwako,mbona hujajibu hoja yake? Ungekuwa smart enough ungemjib kwa kukanusha, nahis hata ofis za chadema hujawah gusa mwenzio kafanya pale na anapajua vyema, ifike mahal tujifunze kuukubali ukweli
nipo timamu kabisa kuliko hata wewe na huyo ludovic wako! usinilazimishe kukubali au kubishania ujinga mnao force kuaminisha watu! by the way binafsi naijua chadema tangu huyo ludoviki akitambaa wakati mwingine akivalishwa magauni ya dada zake ili asichubuke miguu wakati anatambaa huku ye mwenyewe akichekelea
 
Imemuchukua Ludovic muda gani kuyasema? Kumetokea nn hadi kilichokuwa halali kwake miaka 10 iliyopita leo hii ni haramu? Kama kaokoka ameokokea dini/dhehebu gani? Ni la mitume au mashetani? Mbona aliwahi kujitia ukichaa akavua nguo na kwenda uchi kituo cha polisi. Na hilo alikuwa ktk harakati ipi ya chama chake? Kama ni rahisi wa kutumika, tutaamini vipi kuwa hata hili andiko ni mwendelezo wa kutumika huko? Je si kesho Ludovick utakuja na jingine (Dolobiko kwa kihaya) ukisema ww ndio unaye mficha yule kijana aliyepotea na ina daiwa kuwa ameuawa na Antony Diallo Mwenyekiti wa CCM wa Mwanza? Iwe mwana ayakulogile akakulo atai si? Akakuloga omushana mara tiyanabile! Nielekeze kwenu niende ili niwasihi waijaribu mizimu labda unastahili kutambikiwa.
 
No, huyu dogo si tahaira na hajalogwa. Ukisoma mawazo yake na matukio aliyoyafanya utagundua IQ yake iko juu... isipokuwa anaitumia vibaya. Huyu dogo (ninavyomwelewa sasa) ni ghaidi kama alivyokuwa Osamah na kama atakavyokuwa sawa na wale ISS huko Iraq.

Alichokifanya ktk huu uzi ni propaganda ya hali ya juu sana. Ludovick anaona mbali kitakachotokea....ambacho ni ushindi wa cdm na washirika wake.....anaona cdm imeonesha tayari kisaikolojia, kiuchumi, na ki-nguvu ya umma kutokubali upuuzi wa aina yoyote ktk uchaguzi ujao...hii ni pamoja na kukataa matokeo yanayotangazwa hovyo na kwa mtutu wa bunduki na wakurugenzi huko majimboni, ameona cdm haiko tayari matokeo ya urais kutangazwa kwa nguvu za dola kwa kumweka mgombea wa ccm huku wakiwambia cdm wasubili maamuzi ya mahakama ( hiki ndicho kitakachokuwa kama ilivyo bmk na kama ilivyokuwa huko Kenya kwa Mwai Kibaki).

Hivyo Ludovick, kama ghaidi la ccm na lililotayari kuongoza mashambulizi ya unterahamwe anataka kujiweka safi na kuiweka cdm katk uchafu atakao ufanya yeye na ccm yake.

CDM tuweni tayari kubahini haya. Nashukuru wezentu wako ditective si kawaida...jamaaa mmoja aliweka uzi wa kigahidi akiahainisha makundi yakutumia nguvu ktk maandamano anbayo hayapo cdm. Ndivyo tuwe ktk huu uzi.
 
C.C.M Chama Cha Majangili Na Mafisadi Kimeiba Raslimali Za Tanganyika Kwa Kushirikiana Na Wanaoitwa Wawekezaji Na Wawindaji, CCM Kimeshindwa Kuwapatia Maisha Bora Watanzania, Pia CCM Kimejaa Utapeli Na Ahadi Za Ungo Na Kauli Mbinu Za Kipumbafu Kama Vile, KILIMO KWANZA, MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA, KILIMO NI BIASHARA, KASI MPYA, NGUVU MPYA, KILIMO UTI WA MGOGO, KILIMO CHA KUFA NA KUPONA, MABADILIKO YA KIJANI, NA UPUMBAFU MWINGINE, CCM Hovyoooooo!!.
 
Whoever isn’t with me is against me, and whoever doesn’t gather with me scatters. Mt. 12:30.

Kama ni mwana CHADEMA hutashinda humu kinafiki ukifanya siasa za majitaka dhidi ya CHADEMA.

Code:
Mbona haya mawazo hapeleki kule Ufipa huenda wangemsikiliza zaidi kuliko kuja kukaa hapa na kutoa tuhuma zaidi tena aliowahi kushiriki. Ajue hata yeye hatumwamini vile vile.Aseme nani alimtuma kutunga uwongo. Hivi ukimkuta mama yako kalala na mwanamme mwingine nje na baba yako utaenda kutangaza kwa watu au utamwambia baba yako @[COLOR=#0000ff]Joseph[/COLOR] [COLOR=#0000ff]Ludovick[/COLOR]?
 
Wandugu,
Wengi wamekuwa wanaacha kutazama hoja ninazoweka na kukimbilia kunitusi na kunikashfu binafsi. sijali sana hayo kwa sababu naamini natimiza wajibu mkubwa wa kijamii, kukilinda na kukitetea chama changu CHADEMA, na kuilinda nchi yangu TANZANIA. leo natafakari kile ambacho kitatokea baada ya matokeo ya uchaguzi wa mwaka 2015 kama chama changu hakitabadilika haraka na kuachana na siasa za ki machiaveli.

"Makamanda" kama tunavyoitana, tumekuwa ni watu wa mihemuko. hatuhoji chochote hasa kikisemwa na viongozi wetu. hoja na ushuhuda wangu ni kuwa nafahamu kuwa mara nyingine na hasa juu ya matokeo ya uchaguzi viongozi wetu husema uongo wa hatari, na huko nyuma mimi mwenyewe nimeshiriki kuupika uongo huo. kwa ajili ya hoja yangu, nitatoa mifano mitatu halisi.

Wakati wa uhaguzi wa ubunge wa mwaka 2010 pale Bukoba mjini, tukijua kabisa kuwa tulikuwa tumeshindwa,tuliamua kuwadanganya wapiga kura na hasa vijana waliokuwa wamefurika kwenye kituo cha kujumlisha kura kuwa tumeshinda, wakaanza kushangilia,wakati ukweli tulikuwa tumeshindwa kwa zaidi ya kura 2000, na kwa haki kabisa. hii ilisababisha vurugu pale wafuasi wa CCM walipoanza kushangilia ushindi halali wa mbunge mteule.

Wakati wa uchaguzi mdogo wa Igunga, tukiwa tumejua matokeo kuwa tumeshindwa usiku, na kulingana na upepo tuliokuwa tumewajaza mashabiki wa CHADEMA pale Igunga, tuliamua kuwadanganya wanachama wetu kuwa tumeshinda na tukapita mitaani na gari la matangazo tukishangilia na kukusanya vijana kwenda halmashauri eti kulinda kura zisichakachuliwe. vijana waliingia mtaani kwa wingi. matokeo yake Matokeo yakasema CCM ndiyo washindi. tulipofika maeneo ya Peak hotel pale igunga wakatokeza vijana wa CCM wakatembeza kipigo cha mbwa mwizi kwa vijana wa CHADEMA. watu walikatwa mapanga na nakumbuka hadi risasi zilifyatuliwa.

Mwisho nakumbuka alichosema mgombea wetu baada ya uchaguzi wa rais uliopita. akisema alikuwa ameshinda ila akachakachuliwa. nchi ilikuwa kwenye tension na nadhani vijana wa CHADEMA tulikuwa tayari kuingia barabarani tukiamini kuwa kweli tuliibiwa kura tu uchaguzi wa rais.

Hoja yangu ni kuwa kutokana na mazingira ya siasa yalivy sasa,hadi mwaka 2015 kutakuwa na kundi kubwa la vijana bila shaka watakaoweza kuitikia mwito wa viongozi wetu wa CHADEMA kuingia barabarani kama watasema kura zimeibwa ama kujitangaza kushinda wakati wakijua hawakushinda. (maana kushinda urais bado sana), mapigano makubwa yatatokea baina ya vijana wa chama chetu CHADEMA, na wale wa CCM, na baina yetu na vyombo vya dola. kama CHADEMA itafanya hivi itakuwa imesababisha mauwaji ya raia wasiyo hatia. natamani chama changu kibadilike kabla ya wakati huo. Inawezekana kufanya siasa safi kama CHADEMA inavyotarajiwa.

toa utahira wako.
 
Ludovic sasa unatapatapa cdm hutakiwi kabisa hao ccm pia hawajutaki ulitegemea upewe cheo ndani ya ccm wakati shule huna?pole sana kijana hiyo ndio siasa..
 
Joseph Ludovick;Kijana unatia hata aibu kwa kuumba uongo dizaini hii! ulaaniwe! nadhani hata wazazi wako wanajutia kuzaa na kulea buyu kiasi hiki! any way ndio njia uliochagua ya kujidhalilisha hatuna cha kukufanya! ila wewe ni mtu hatari sana na utakata roho huku ukiwa umeshika ---- kwa laana za mamilioni ya watanzania waliowekeza wakitarajia Ukombozi kutoka CDM! Mungu na akuweke mahali pabaya sana jehanamu

Hizo ni laana za vichaa tu ndo wanoweza kumlaani JL. Acha ushabiki wa kitoto toa hoja siyo kutokwa na povu mdomoni bila points za msingi. JL kasema sasa kanusha kwa hoja na si vinginevyo. Jaribu kujikomboa kifikra na uwe na uwezo wa kuhoji kwa points. kati yako na JL nani mtu hatari? anayeongea kwa evidence au anaeropoka bila evidence. Wewe ni mtu hatari sana kwa kutetea uozo kwa jina la ukombozi. Kaikomboe kwanza familia yako ndo uje na hizo propaganda ambazo watanzania zimeshatuchosha masikioni.
 
No, huyu dogo si tahaira na hajalogwa. Ukisoma mawazo yake na matukio aliyoyafanya utagundua IQ yake iko juu... isipokuwa anaitumia vibaya. Huyu dogo (ninavyomwelewa sasa) ni ghaidi kama alivyokuwa Osamah na kama atakavyokuwa sawa na wale ISS huko Iraq.

Alichokifanya ktk huu uzi ni propaganda ya hali ya juu sana. Ludovick anaona mbali kitakachotokea....ambacho ni ushindi wa cdm na washirika wake.....anaona cdm imeonesha tayari kisaikolojia, kiuchumi, na ki-nguvu ya umma kutokubali upuuzi wa aina yoyote ktk uchaguzi ujao...hii ni pamoja na kukataa matokeo yanayotangazwa hovyo na kwa mtutu wa bunduki na wakurugenzi huko majimboni, ameona cdm haiko tayari matokeo ya urais kutangazwa kwa nguvu za dola kwa kumweka mgombea wa ccm huku wakiwambia cdm wasubili maamuzi ya mahakama ( hiki ndicho kitakachokuwa kama ilivyo bmk na kama ilivyokuwa huko Kenya kwa Mwai Kibaki).

Hivyo Ludovick, kama ghaidi la ccm na lililotayari kuongoza mashambulizi ya unterahamwe anataka kujiweka safi na kuiweka cdm katk uchafu atakao ufanya yeye na ccm yake.

CDM tuweni tayari kubahini haya. Nashukuru wezentu wako ditective si kawaida...jamaaa mmoja aliweka uzi wa kigahidi akiahainisha makundi yakutumia nguvu ktk maandamano anbayo hayapo cdm. Ndivyo tuwe ktk huu uzi.

Ni hatari sana Akili ndogo Kuongoza Akili kubwa. Umejitahidi kuongea kilicho akilini mwako lakini mwenye akili timamu anajua tu kwamba IQ yako ni ya funza. Pole
 
kama CDM watasababisha mauaji na wewe ni CDM basi na wewe ni mmuaji, lakini ninvyo jua umeing'ang'ania CDM kama RUBA, sasa si utoke uende huko ccm waliaokutuma halafu uakishindwa?
 
Ni hatari sana Akili ndogo Kuongoza Akili kubwa. Umejitahidi kuongea kilicho akilini mwako lakini mwenye akili timamu anajua tu kwamba IQ yako ni ya funza. Pole

I wish I know who you are! Ilo ni tusi kubwa kukutana nalo maishani mwangu. Hongera kuwa wa kwanza kunitukana na atakayefuata kukutukana wewe ni watoto ulio/utakao wazaa.
 
Back
Top Bottom