CHADEMA inatumia koti la UKAWA kujikongoja kisiasa

CHADEMA inatumia koti la UKAWA kujikongoja kisiasa

mbona mambo yote uliyoyaandika huku hayana uhusiano na miezi 6 iliyopita?mbona ni miaka kibao.tesha amwagiwe tindikali wimbo mmeuimba kwa miaka 2 halafu eti miezi 6 ndo cdm ije ichuje?
embu jipange na uionee huruma buku 7 si rahisi kuipata mtu kama wewe kwa kuleta upuuzi hapa ngoja niwasiliane na nape aweke wahariri wa post ili ukipost usilipwe mpaka ipitiwe.
kwangu mimi muda wa lini CHADEMA imeanza kuchuja siyo jambo la maana kwangu, muhimu tu ni kwamba CHADEMA hivi wamejificha kwenye koti la UKAWA, tukisema sasa hivi UKAWA isambaratike, walahi CCM itabaki kuwa juu ikifuatiwa na CUF, NCCR MAGEUZI. Watanzania wameswachoka CHADEMA.
 
wewe ni mpumbavu sijui unafikiria kwa kutumia makalio?watu wanateseka wewe unaponda chama cha ukombozi ukiwepo na wewe mwenyewe.ccm wanakupa nini?

Hakuna chama chochote kinacho weza kumkomboa mtanzania kwenye dimbwi la umasikini, mtu anae weza kuikomboa Tanzania na mtanzania mwenyewe ni MTANZANIA MWENYEWE msitake kutumia umasikini wetu kutimiza malengo yenu.

Your the one to make changes in Tanzania, make one, I am making it where I am.
 
Tushawazika ukawa tayari sijui mnawaza nini tena .
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    35.8 KB · Views: 78
Aknowledge mwaka wa hii picha..kumbuka mada inasema chadema imechuja kwa miezi sita sasa...hii picha ni ya mwaka juzi

You are a Disgrace! Hizi ni Ziara za Bawacha za Mdee kanda ya ziwa na Mkutano wa Dr. Slaa Iringa 2-3 weeks a go. Ndio maana huwa mnatukanwa mitandaoni mna wasababishia watu Ban. Hiyo pia ni picha ya miezi sita iliyopita maana Salum Mwalimu kaanza kuitumikia Chadema takribani 2 Months a go.
 

Attachments

  • Salum.jpg
    Salum.jpg
    44 KB · Views: 100

so koti la ukawa litapwaya si mda, its time...tusubiri plan B

Kwa maoni yangu CDM bado ni tishio kwetu sisi wana CCM. Kitendo cha CDM kuungana na CUF na NCCR-Mageuzi kumezidi kuwaimarisha kisiasa. Mwaka 2015 siyo mwepesi kwa CCM
 
mbona mambo yote uliyoyaandika huku hayana uhusiano na miezi 6 iliyopita?mbona ni miaka kibao.tesha amwagiwe tindikali wimbo mmeuimba kwa miaka 2 halafu eti miezi 6 ndo cdm ije ichuje?
embu jipange na uionee huruma buku 7 si rahisi kuipata mtu kama wewe kwa kuleta upuuzi hapa ngoja niwasiliane na nape aweke wahariri wa post ili ukipost usilipwe mpaka ipitiwe.

kwahiyo mnataka muendelee kumwagia watu tindikali halafu msisemwe kwani nyie akina nani msiosemwa hata mkifanya uharifu.
 
Chadema inawsumbua sana mpaka mmefikiri chadema ni helkopta! hahaaa, mmekwenda mbio kununua na nyie, mkafikiri umaarufu wa chadema umetokana na kumvunja mkono Doka slaa, na nyie mkamtuma nape ajiangushe avunjike mkono. Chadema haiendeshwi kwa huruma za watu bali inakwenda kwa kuwa inawakomboa watu kutoka katika utumwa wa maccm, kuwachangisha michango kila kukicha, kuwatelekeza wagonjwa mahospitalini, kuwatelekeza watoto wetu wanasoma chini ya miti, watu wamechoka tatueni kero za wananchi ili chadema ikose cha kuwaambia wananchi matusi yenu hayasaidii.
 
Posts za Ifweero, Msalani, Simiyu yetu, Lizaboni na wenzao, humu ndani ya JF zimekosa utashi wa kijamii. Zimekuwa za kitoto mno, kwani wanalazimisha kupost items lkn hazina content, za kitoto na kipuuzi mno. Wangekuwa na akili za kujitambua kweli wangejirudi na kubuni njia nyengine ya kujitafuatia kipato halali, kuliko kushinda humu kny mitandao kwa ujira wa shs elfu saba
Hawa jamaa mbona walishajiondoa ufahamu tangu siku nyingi sana. Bora hata mtoto maana anazungumzia kile kilinganacho na umri wake. Sasa hii mibabu na mibibi mizima inaongea kama mitoto sijui tuiiteje sasa. Njaa mbaya wakati wakina vijisenti wanapiga mabilioni wao wanashindia buku saba.
 
Ukombozi wa mwananchi ni mwananchi mwenyewe! CHADEMA SIO SIRI INAPOTEZA MVUTO KWA WANANCHI 75%, WASABABISH WAKUBWA WAKIWA VIONGOZ KUWA NA UCHU WA MADARAKA WA WAZIWAZI MWANZO NLIJUA LA KWANZA NI LAKUMTOA ZITO MADARAKANI, PILI KUUNGANA NA CUFU AMBAO WAMEUNGANA NA CCM ZANZIBAR KUITA JINA UKAWA PAMOJA NA VYAMA VINGNE VYA SIASA, TATU KUKIMBIA Bungen kuwaachia ccm madaraka ya kutengeneza katiba na sasa inaenda kukamilika uku arufu ya kutoweka kwa aman ikiongezeka NA WAKATI HUOHUO TUNAJUA USHIND HAUTOKEI NJE YA ULINGO. TENA HAWA UKAWA WALIJUA KABISA KWANIN WASINGEWEKA MGOMO MWANZO KABLA , NA BADALA YAKE KUASHIRIA KWAMBA WANAUCHU NA MADARAKA KIPENGERE CHA SERIKAL TATU NDO KIKAWA GUMZO KWAO BADALA YA MASLAI YA UYU MWANANCH ANAYELIA KILA SIKU KODI, MICHANGO MASHULENG. MIUNDOMSING MIBOVU, N.K.... NAMALIZA UKOMBOZ WA MAISHA YA MWANANCHI HAYAWEZI KULETWA NA CHAMA FLANI BAL MWANANCH MWENYEWE....mana hawa viongoz kulisishana madarakd ndo habar ya mjin wananiboa sana! MI NAAMINI CHADEMA MKISIMAMA WENYEWE MNAWEZA BILA HATA NGUVU YA CUF, NCCR, etc. LASIVYO UKAWA MSITEGEMEE KUSHKA NCHI YA CCM, WANACHAMA WA CCM HAWAONEKAN KWA MACHO LAKIN NI WENG MNO!!! NA CKU ZOTE miluz ming umpoteza mbwa! OVER
 
You are a Disgrace! Hizi ni Ziara za Bawacha za Mdee kanda ya ziwa na Mkutano wa Dr. Slaa Iringa 2-3 weeks a go. Ndio maana huwa mnatukanwa mitandaoni mna wasababishia watu Ban. Hiyo pia ni picha ya miezi sita iliyopita maana Salum Mwalimu kaanza kuitumikia Chadema takribani 2 Months a go.
Watu wengi wanamapenzi na ccm kwa kiasi kikubwa sana.
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    17.6 KB · Views: 48
  • image.jpg
    image.jpg
    110.7 KB · Views: 52
Ni ukweli uliowazi na usiopingika kuwa CHADEMA imeyumba kisiasa na imepoteza mvuto kwa wananchi katika kipindi cha miezi sita sasa. Mambo makubwa yaliyochangia kuchuja huko kwa chama hiki kwa uchache ni ifuatavyo.

1.Matukio ya kihalifu na umwagaji damu, mfano kumwagia watu tindikali kama ilivyokuwa kwa mussa tesha huko igunga ambapo akina henry kileo walitakwa moja kwa moja.

2.Siasa za vurugu, vitisho, matusi na lugha za kuudhi. Hili lmeiathiri sana CHADEMA kwa sababu mtanzania kwa asili yake hapendi na hajazoea vurugu,anapenda amani na ushirikiano,sasa hawa jamaa ni washari washari mno. Watu wamengastukaa..

3.Kufanya vibaya "bad calculations and timing" kwenye mchakato wa katiba mpya. Katika hili ni kwamba, wangesusia baadhi ya vipengele au sura za katiba watz wangewaelewa sana kuwaunga mkono lakini hii ya kupinga katiba yote ndio limewapiga vibaya.

Walivyota bungeni baadae watz wa kada mbalimbali na makundi tofauti tofauti ktk jamii kuwashauri warudi bungeni wao wakagoma na kung'ang'ana halijawafurahisha watz. Wameonekana kuwa ni wabishi na hawashauriki. Madikteta in the making.

4. Kuungana kama kitu kimoja wakati kiuhalisia sio hivyo....kwamba mwanachama wa cuf si wa chadema wala wa NCCR Mageuzi si wa CUF and vise versa...sababu iliyomfanya kafulila ahamie nccr kutoka chadema baada ya kuitwa sisimizi haijawa solved...sasa leo hii wanaambiwa wakae meza moja..itatoka moyoni? Itafanya kazi?

5.madonda ya chadema kuwaita cuf mashoga, kuwaita nccr vibaraka wa ccm tena hadharani hayajaisha kwa wanachama wa kawaida. Pengine yamefubaa kwa viongozi.

so koti la ukawa litapwaya si mda, its time...tusubiri plan B

Kuvurugwa kubaya sana
 
Kwa maoni yangu CDM bado ni tishio kwetu sisi wana CCM. Kitendo cha CDM kuungana na CUF na NCCR-Mageuzi kumezidi kuwaimarisha kisiasa. Mwaka 2015 siyo mwepesi kwa CCM
Labda wawe na tindikali zaidi
 
1.wewe ni very junior member huna moral authority ku chalenge michango yangu humu.
2. Wewe ni kibaraka wa ufipa. Acha uchumia tumbo
3. Wakati wewe unapigika mitaani hata jero la chai kavu huna bwana ako mbowe ananunua majumba ya kifahari dubai na afrika kusini kwa ruzuku ya chadema
4. Acha kutumia kichwa kufugia nywele pekee
 
Back
Top Bottom