GE2025 CHADEMA inakwenda shimoni

GE2025 CHADEMA inakwenda shimoni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Chadema hasa wafuasi wako hawapendi kuambiwa ukweli ila miaka mitano mbele chadema itakuwa sehemu ya story tu kwamba iliwahii iliwahi hivyo yaani hata Cuf ilikuwepo Kwa mfano huo huo leo hii ndyo ile
 
Heshima sana wanajamvi.

Nimekaa pale natafakari na kujiuliza mambo mengi sipati majibu.

Natazama hizi kesi za michongo na hukumu za michongo naiona chadema inapitia mkondo ule ule wa NCCR-MAGEUZI.

Ngongo kwasasa Tanga Michungwani.

Fikra za wanachama wao na watanzania zipo palepale huwezi kuzuia fikra kwa kumweka kiongozi jela!!!! Kuzuia ujumbe haina maana umetatua tatizo. Matatizo ya watanzania na mapenzi yao yako palepale.
 
Heshima sana wanajamvi.

Nimekaa pale natafakari na kujiuliza mambo mengi sipati majibu.

Natazama hizi kesi za michongo na hukumu za michongo naiona chadema inapitia mkondo ule ule wa NCCR-MAGEUZI.

Ngongo kwasasa Tanga Michungwani.
Ni ngumu kwa sababu ccm imekufa kabisa mioyoni mwa wananchi hivyo wanatumia hiyo mbinu ...kufa kwa chama ni wananchi kukiacha kama ilivyo kufa ccm
 
Chadema hasa wafuasi wako hawapendi kuambiwa ukweli ila miaka mitano mbele chadema itakuwa sehemu ya story tu kwamba iliwahii iliwahi hivyo yaani hata Cuf ilikuwepo Kwa mfano huo huo leo hii ndyo ile
Dua la kuku. Na kama siasa ni hizihizi za kitapeli bora cdm isiwepo. Yaani hatutamani hata kidogo kuwepo kwenye hizi siasa za kishenzi.
 
Ife mara ngapi?
mwenyekiti yuko busy kuelezea sheria Kwa askari magereza
 
Mi nimeuliza Kwann unaona hivyo?

Kwasababu Chadema sasa ipo busy na sheria na haki za mfungwa si siasa za ukombozi wa nchi.

Mwaka huu 2025 tunafanya uchaguzi nilitegemea chama kingekuwa katika harakati kubwa za maandalizi ya uchaguzi.

Huu ni Mwezi August bado miezi 2 tu tuingie katka uchaguzi.

Heche angetakiwa kukiongoza chama katika harakati za kuzuia uchaguzi ambao kimsingi hawana uwezo wa kuzuia uchaguzi.

Chadema hawana plan B.kazi yao sasa ni kukimbilia mahakamani na kutoa matamko yasiyo na maana.

Chadema bila wabunge,Madiwani si chama kikuu cha upinzani.

November 2025 Chadema haitakuwepo.
Decemver 2025 Lissu ataachiwa huru na atakuwa Mwenyekiti kama alivyo Lipumba au mzee Cheyo.
 
Dua la kuku. Na kama siasa ni hizihizi za kitapeli bora cdm isiwepo. Yaani hatutamani hata kidogo kuwepo kwenye hizi siasa za kishenzi.
Muda ni mwl mzuri.
 
Heshima sana wanajamvi.

Nimekaa pale natafakari na kujiuliza mambo mengi sipati majibu.

Natazama hizi kesi za michongo na hukumu za michongo naiona chadema inapitia mkondo ule ule wa NCCR-MAGEUZI.

Ngongo kwasasa Tanga Michungwani.
Usijali, CHADEMA haiwezi kufa inakua kila siku. Wenzako walisema wameiua miaka ile wao ndio wakafa. Hiking chama ni moango wa Mungu kije kututoa kanaani. Usiwe na shida. Ngoja tukupambanieni nyie CCM na watanzania wote
 
Heshima sana wanajamvi.

Nimekaa pale natafakari na kujiuliza mambo mengi sipati majibu.

Natazama hizi kesi za michongo na hukumu za michongo naiona chadema inapitia mkondo ule ule wa NCCR-MAGEUZI.

Ngongo kwasasa Tanga Michungwani.
CCM sasa ni ya kifamilia hata wanaCCM wanafahamu hilo kwamba sasa nchi hii rasmi uongozi wa CCM UMEOZA UNATOA FUNZA TU.kumbe ndoto zako za mchana achana Nazo,CCM wanaunga mkono CHADEMA na REFORMS ZOTE ZINAZOTAKIWA.UFAHAMU HILO.
 
Kwasababu Chadema sasa ipo busy na sheria na haki za mfungwa si siasa za ukombozi wa nchi.

Mwaka huu 2025 tunafanya uchaguzi nilitegemea chama kingekuwa katika harakati kubwa za maandalizi ya uchaguzi.

Huu ni Mwezi August bado miezi 2 tu tuingie katka uchaguzi.

Heche angetakiwa kukiongoza chama katika harakati za kuzuia uchaguzi ambao kimsingi hawana uwezo wa kuzuia uchaguzi.

Chadema hawana plan B.kazi yao sasa ni kukimbilia mahakamani na kutoa matamko yasiyo na maana.

Chadema bila wabunge,Madiwani si chama kikuu cha upinzani.

November 2025 Chadema haitakuwepo.
Decemver 2025 Lissu ataachiwa huru na atakuwa Mwenyekiti kama alivyo Lipumba au mzee Cheyo.
Inasikitisha sana lakini huo ndio ukweli
 
Heshima sana wanajamvi.

Nimekaa pale natafakari na kujiuliza mambo mengi sipati majibu.

Natazama hizi kesi za michongo na hukumu za michongo naiona chadema inapitia mkondo ule ule wa NCCR-MAGEUZI.

Ngongo kwasasa Tanga Michungwani.
Nani kaipeleka shimoni?
 
Back
Top Bottom