GE2025 CHADEMA inakwenda shimoni

GE2025 CHADEMA inakwenda shimoni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Upinzani utatokea ndani ya CCM.. hawa ambao ni wapinzani nje, wengi ni wa maslahi yao binafsi na ni mkakati maalumu.. Walio wachache wanao maanisha business kwenye upande wa upinzani wananyooshwa
Sidhani naamini wapo wapinzani wa kweli nje ya CCM.
 
Endelea kula machungwa huko michungwani ila saa na muda utafika..!!
 
Kama vile ambavyo Israel imeshindwa kuimaliza Hamas ndiyo CCM na Dola wameshindwa kuimaliza Chadema wanaitaabisha tu lakini hawawezi kuiua.
Kila anayeitakia Tanganyika mema anatamani hivyo lakini mpaka sasa naona giza mbele ya matamanio ya wengi.
 
Haki haiombwi, Usibaki nyumbani tafadhali. Jukumu la kuufurusha utawala wa IMLA/MKONO WA CHUMA liko mkononi mwako. #WananchiWenyeNchi #NguvuYaUmma #KataaWahuni
noReformsNoElection.PNG
 
Heshima sana wanajamvi.

Nimekaa pale natafakari na kujiuliza mambo mengi sipati majibu.

Natazama hizi kesi za michongo na hukumu za michongo naiona chadema inapitia mkondo ule ule wa NCCR-MAGEUZI.

Ngongo kwasasa Tanga Michungwani.
Sio Chadema tu mkuu, upinzani Tanzania ndio unaisha hivyo.
 
Sio kwa CHADEMA Hii kaka kwa tafakari hiyo tafuta CHADEMA nyingine hii CHADEMA INATISHA sana ndio maana inaogopwa kama ukoma.
Inatisha lakini kesi za michongo na hukumu za michongo zinaondoa kitisho.
 
Chadema ni Imani

Ni Kama dini

Kufa chadema labda waache kutetea mawazo ya Watanzania walio wengi

Lakini as long as wanatetea Watanzania walio wengi hiki chama kitasumbua Sana miaka mingi mpaka pale watawala watakubali ukweli na kuacha kupaka rangi nyumba ya tope
 
Heshima sana wanajamvi.

Nimekaa pale natafakari na kujiuliza mambo mengi sipati majibu.

Natazama hizi kesi za michongo na hukumu za michongo naiona chadema inapitia mkondo ule ule wa NCCR-MAGEUZI.

Ngongo kwasasa Tanga Michungwani.
I learned long ago that risking your life for Tanzanians isn’t worth it — they won’t do the same for you.
 
Heshima sana wanajamvi.

Nimekaa pale natafakari na kujiuliza mambo mengi sipati majibu.

Natazama hizi kesi za michongo na hukumu za michongo naiona chadema inapitia mkondo ule ule wa NCCR-MAGEUZI.

Ngongo kwasasa Tanga Michungwani.
Inakufaje wakati mnaiogopa?
 
Matamanio yako dhidi ya cdm baada ya Mbowe kushindwa yanafahamika, ila uzuri sisi wafuasi wa cdm wengi tunajitambua na cdm ni imani. Hizi kesi zitapita maana sio halisi bali ni hujuma za kawaida kwenye nchi zenye vyama vinavyozeekea madarakani. Lakini cdm itazidi kuwa imara. Hiki ni kizazi kingine kabisa boss.
Mwingine huyo.
 
Heshima sana wanajamvi.

Nimekaa pale natafakari na kujiuliza mambo mengi sipati majibu.

Natazama hizi kesi za michongo na hukumu za michongo naiona chadema inapitia mkondo ule ule wa NCCR-MAGEUZI.

Ngongo kwasasa Tanga Michungwani.

wewe unadhani CHADEMA ni nini. CHADEMA ni wale wote wanaotaka mabadiliko ya kweli na maendeleo ya nchi na demokrasia ya kweli katika nchi. Sasa unadhani watu wa namba wataacha kuwepo? CHADEMA ni Imani iliyo ndani ya mioyo ya watu. haiishagi hiyo!!!!!!!
 
Ikifa chadema ndiyo itakuwa furuha yenu wanccm. Sasa mbambamba za nini?
Inawezekana wewe ni mpenzi wa Chadema lakini mimi nimechangia fedha na mawazo kuanzia level ya kata hadi taifa.

Ninachokiona hasa kwa wapenzi wengi wa Chadema hawaoni kinachoendelea huku site.
 
Bahati nzuri CHADEMA ya sasa inajengwa na watu! Na siyo mtu kama ilivyokuwa hapo mwanzo. Maana yake Watu wote wenye mapenzi mema na hii nchi wataendelea kuyaunga mkono maono ya CHADEMA na viongozi wake mpaka siku ukombozi wa kweli kwenye nchii hii ya Tanganyika utakapo patikana.

Uchaguzi mkuu October 2025,labda tuendelee kusubiri lakini suala la mtu au watu si hoja kwasasa.

Ninachoangalia ni mpangilio mahsusi wa hizi kesi za kufungia chama.

Kesi ya Mwenyekiti na muda wa kampeni na hatimaye uchaguzi.

Tatizo la Watanganyika au Watanzania wengi ni kupenda kusikia kinachowapendeza.

Mfano mzuri ni ujanja unaotumika kuvuta muda kesi ya Lissu.Utabaini hakuna kesi pale wanataka kuiweka chadema busy huku wakikosa muda wa maandalizi ya uchaguzi.

Ukitazama wachangiaji wengi mpaka sasa hawana majibu ya namna chama kitakavyoweza kukabiliana na changamoto za kesi za michongo.

Chama hakina plan B iwapo Mwenyekiti ataendelea kusota rumande.

Chama hakina plan B iwapo Tume wataamua kubadili kanuni mbovu za uchaguzi.

Chama mpaka sasa nakiona kikiwa kimejikita kusikiliza na kufuatilia kesi za Lissu.

Makamu Mwenyekiti anatia huruma hajui afanye nini zaidi ya kutoa matamko ambayo hayana impact na maamuzi ya mahakama.
 
Back
Top Bottom