Wasalimie huko mkumbuluHeshima sana wanajamvi.
Nimekaa pale natafakari na kujiuliza mambo mengi sipati majibu.
Natazama hizi kesi za michongo na hukumu za michongo naiona chadema inapitia mkondo ule ule wa NCCR-MAGEUZI.
Ngongo kwasasa Tanga Michungwani.
Utuletee machungwa chief.Heshima sana wanajamvi.
Nimekaa pale natafakari na kujiuliza mambo mengi sipati majibu.
Natazama hizi kesi za michongo na hukumu za michongo naiona chadema inapitia mkondo ule ule wa NCCR-MAGEUZI.
Ngongo kwasasa Tanga Michungwani.
Dhahabu mpaka inakuwa bora ni lazima ipite kwenye moto mkali. Chadema kwa sasa wanapita kwenye moto huo, wakivuka hapo watakuwa Bora zaidi kuongoza nchi.Heshima sana wanajamvi.