CHADEMA ina mpango wa kumtelekeza John Shibuda?

nani kakwambia wabunge wote lazima wafuatane kila siku? Hebu fikilia kama chadema itakuwa na wabunge 200 katika mkutano mmoja siku moja nani ataongea na nani atakuwa msemaji mkuu? Huyu jamaa ana hakili sana kuliko hao unao waona wafatana kama kunguru,anaelewa sifa ya chama ni kutekeleza ahadi siyo kutafuta sifa majukwaani kwa kulaamikia bei ya maandazi.
Zooobaah..!!!
 
sioni tatizo la Mh shibuda kutembea kwa miguu ama ktk daladala, kwanza ndo namna ya kukaribiana zaidi na wananchi. kuhusu kutoambatana kwenye mikutano naamini cdm wana mipangilio its not a matter of kuongozana tuuuuuu, sioni mashiko ya thread hii
 
Huyo hamjui shibuda, jamaa ana pesa nyingi sana (japo si fisadi) anaweza hata kuwa na hayo magari ya wabunge kama 10 hivi. Kutemea kwa miguu si hoja!!!
 
jaman achen kabisa watu wa shy tunafaham him wa shibuda, ni mtu anae jali mambo yote yanayo hucana na jamii, msibweteke na kuto hudhulia kwake mbona wabunge wengine hawakuwepo. tanzania shibuda co wa ccm kuweni makini huyo ni jembe ulaya co la kichina
 
shibuda ana gari aina ya ford ambayo ilipata ajal pindi akiwa jimboni kwake wiki mbili zilizopita na ana defenda tatu ziko dodoma sijui sasa alikuwa anaenda wapi au alikuwa ameacha moja ya gari yake garage.
 
sioni tatizo la Mh shibuda kutembea kwa miguu ama ktk daladala, kwanza ndo namna ya kukaribiana zaidi na wananchi. kuhusu kutoambatana kwenye mikutano naamini cdm wana mipangilio its not a matter of kuongozana tuuuuuu, sioni mashiko ya thread hii

Mwaka 2010 Mwezi Juni nilitembelea nchini Marekani, na rafiki yangu Mkenya alinialika nitembelee State ya TN, na akanipeleka Mall shopping. Baada ya kupaki gani nikaona karibu na stand ya bus nikaona kuna jamaa na familia yake wanateremka toka kwenye ila commuter bus na sura yake ni kama nimeiona sehemu fulani, ikamwuliza rafiki yangu mkenya, yeye kaniambia yule ni Gavana wa TN state. Nikavuta subira na kuona ameambatana na mke na watoto wake wakiingia Hickory Hollow Mall Shopping Center. Na hakuna na ulinzi wa pekee kama tulivyozoea vigogo wetu wa kibongo. Kila mmoja alimwona tu kama mmoja wapo na waliomfahamu walimsalimia.

Nikawa navuta subira kufanya shoppingi ili nione atakapoondoka ataondoka kwa utaratibu upi. Alipokuwa anaondoka nikaona kabla hajapanda bus alikumbana na mtangazaji wa TV na katika maelezo yake alisema ni kawaida yake siku fulani fulani kupanda commuter bus aendapo shopping na familia yake ili kuwa mfano wa kutumia commuter bus ili kupunguza msongamano wa magari na gharama za gasoline.

Jambo lile lilinipa picha tofauti niliyokuwa nafikiria katika nchi za kibepari kwamba wenye nafasi hawachangamani na maskini. Na hadhi ya Gavana katika State za Marekani ni sawa na Kiongozi wa nchi kama gavana aliyekuwa anaongoza Tanganyika kabla ya uhuru. Na tunavyofahamu Kila state zina sheria zake na budget zake tofauti na state nyingine. Mfano tu hakuna hati ya uderefa ya Taifa la Marekani ila kuna ya state tu.

Walioona Mheshimiwa mbunge akipanda daladala na kushangaa ni wale wenye mawazo mgando, kwa sababu mimi pia ni mpenzi wa kupanda daladala. Nilishawahi kuulizwa swali kama hilo ni kawashangaa kwani huu usafiri ni wa kawaida kwa kila mtu. Nenda UK, Ujerumani, Sweeden, Marekani nk. Utakuta kuna kibao kilichoandikwa Park and Ride. Unapaki gari lako hapo na kupanda commuter bus ili kuokoa muda, msongamano wa magari, nafasi ya parking mjini na gharama kubwa za parking lot.
 
Zamani nilidhan yule bwana ni Jembe, nimekuja gundua ni kiazi cha udogo mfinyanzi. Hovyo kabisa! Punga kwel yule bwana!
 
juzi nilikutana naye mwenye jana nimemuona katika daladala la kariakoo alikuwa busy anajipangusa majasho.
Jana nimekutana naye mwenge kabeba brief case, hii ni haibu je zile M90 kaziweka wapi?
Waongo bana ehe tuambie leo umekutana naye wapi kwa bahati uliyonayo nafikiri hata kesho unaweza kukutana naye tena LOL!!!!.
 
Kuna mtu ana taarifa ya huyu jamaa maana siku hizi tunakutana mtaani anachapa lapa, juzi nilikutana naye mwenye jana nimemuona katika daladala la kariakoo alikuwa busy anajipangusa majasho. Mpaka sasa huyu jamaa inawezekana chadema wamemtelekeza, mkutano ya Chadema iliyofanyika iringa na kwingineko hakuudhuria

Je ni kweli CHADEMA wanataka kumtosa?
Hata mimi juzi nilikutana na Sitta anatembea kwa miguu nikajiuliza inawezekana CCM wamemtelekeza nikajiuliza tena kwanini haendi kwenye mikutano ya Mukama inayofanyika kanda ya ziwa? jeykey nisaidie ikiwezekana changanya na zako.
 
Hela alizopewa shibuda kazipeleka wapi? Je mbona cdm haimpi support?

Sasa ulipokutana naye Mwenge ukiwa na maswali yote hayo kwa nini hukumuuliza? Unless hukukutana naye ila ulimwona kwa mbali. Kana ulimwona kwa mbali haiwezekani ukaona details unazozisema kama kufuta jasho au aina ta begi alilobeba.
 
Huyo jamaa ni mwongo Mzee
 
Kama kweli!!!!:dance: cdm wakae chonjo!!!! Huyo ni mwanasiasa na si mwanaharakati kama walivyo wengi miongoni mwao ndani ya cdm wanaopenda ku-rap! ovyo ktk majukwaa unakumbuka staili ya Dr Kabourou ?? nani alitegemea yaliyojiri kipindi chake. Shibuda huenda ana- research,chunga sana huyo ni sporadic?? Take Note!!!

FISI KUTELEZA KTK TOPE TAMBUA MVUA YA MASIKA IMEANZA!!!!:mod:
 
Nyoka wote si wakuogopwa kwama wakijivua magamba wanabaki na sumu, ni baadhi ya nyoka tu ndio wenye sumu na wengine wanauma kwa kujitetea na hutadhurika na sumu yao isipokuwa kidonda.

Kujenga dhana ya woga hivyo maana hake Chadema hawajiamini? Mbona kiherehere cha Nape Mnauye kimeishia kujiaibisha mwenyewe, na sasa anaanza kufyata mkia.
 
Katika hali ya kusikitisha Mbunge wa MAswa Mh John shibuda kuwa na mtazamo tofauti wa kichama sasa ameamua kujitenga na chama na kusimama peke yake kama mbunge.

Maandamano waliyofanya cdm Shibuda hajawai kwenda juzi mbowe kakamatwa wabunge wote walienda Arusha isipokuwa yeye. Kwa wachambuzi wa mambo wanasema Shibuda ameanza kujitenga na chama.

Juzi nilikuwa naaongea na mtu wa karibu wa shibuda anasema shibuda anahesabu masaa na siku maana kanyanyaswa sana
 
Katika hali ya kusikitisha Mbunge wa MAswa Mh John shibuda kuwa na mtazamo tofauti wa kichama sasa ameamua kujitenga na chama na kusimama peke yake kama mbunge.

Maandamano waliyofanya cdm Shibuda hajawai kwenda juzi mungebowe kakamatwa wabunge wote walienda Arusha isipokuwa yeye. Kwa wachambuzi wa mambo wanasema Shibuda ameanza kujitenga na chama.

Juzi nilikuwa naaongea na mtu wa karibu wa shibuda anasema shibuda anahesabu masaa na siku maana kanyanyaswa sana

Kwa nini ahesabu masaa wakati saa anayo? Kwa nini ahesabu siku wakati kalenda anayo? Si kweli kuwa wabunge wote wa CDM walikuwa ARUSHA kasoro yeye.....
 
Bado natafakari kauli ya Mh.Rais 'MAASKOFU WANAUZA MISUBA/UNGA' sihitaji usumbufu
 
Back
Top Bottom