CHADEMA ina mpango wa kumtelekeza John Shibuda?

CHADEMA ina mpango wa kumtelekeza John Shibuda?

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2010
Posts
7,263
Reaction score
685
Kuna mtu ana taarifa ya huyu jamaa maana siku hizi tunakutana mtaani anachapa lapa, juzi nilikutana naye mwenye jana nimemuona katika daladala la kariakoo alikuwa busy anajipangusa majasho. Mpaka sasa huyu jamaa inawezekana chadema wamemtelekeza, mkutano ya Chadema iliyofanyika iringa na kwingineko hakuudhuria

Je ni kweli CHADEMA wanataka kumtosa?
 
kuna mtu ana taarifa ya huyu jamaa maana siku hizi tunakutana mtaani anachapa lapa, juzi nilikutana naye mwenye jana nimemuona katika daladala la kariakoo alikuwa busy anajipangusa majasho. Mpaka sasa huyu jamaa inawezekana chadema wamemtelekeza, mkutano ya chadema iliyofanyika iringa na kwingineko hakuudhuria

je ni kweli chadema wanataka kumtosa?

ccm damu uyooo! Apigwe chini gamba lake akalivulie hukohuko.
 
Kwani mkopo wa waheshimiwa wa mashangingi BADO?
 
nani kakwambia wabunge wote lazima wafuatane kila siku? Hebu fikilia kama chadema itakuwa na wabunge 200 katika mkutano mmoja siku moja nani ataongea na nani atakuwa msemaji mkuu? Huyu jamaa ana hakili sana kuliko hao unao waona wafatana kama kunguru,anaelewa sifa ya chama ni kutekeleza ahadi siyo kutafuta sifa majukwaani kwa kulaamikia bei ya maandazi.
 
Kuna mtu ana taarifa ya huyu jamaa maana siku hizi tunakutana mtaani anachapa lapa, juzi nilikutana naye mwenye jana nimemuona katika daladala la kariakoo alikuwa busy anajipangusa majasho. Mpaka sasa huyu jamaa inawezekana chadema wamemtelekeza, mkutano ya Chadema iliyofanyika iringa na kwingineko hakuudhuria

Je ni kweli CHADEMA wanataka kumtosa?
Kwani yeye si mbunge?? si alipata zile milioni tisini na analipwa mamilioni kila mwezi?? kama amehonga au alipeleka kwa sheikh yahya hayo ni ya kwake

political parties should not pakata wanasiasa kama wake zao, each politician should strive to survive
 
Kwani mkopo wa waheshimiwa wa mashangingi BADO?

Hata kama mkopo bado, ana lile la 2005 - 2010 hivyo kutembea kwa mguu au kupanda daladal si kweli haya ni maneno ya kizushi
 
[
Nimerudia kuisoma hii thread mara 100 lakini nimeshindwa kuielewa, msada wandugu labda hilo jina lla huyo mtu linatakiwa uwe na mitambo maalum kuliona hapa. na nyinyi mliochangia topic hii mmetumia vigenzo gani? au na nyinyi ni wanajimu kama yule mchawi wa magomeni mwembechai.

kwa kweli hata mie cjaona hilo jina la huyo mtu
 
avatar25348_8.gif
Jeykey unajua kuchamgasha jamvi.
 
Jana nimekutana naye mwenge kabeba brief case, hii ni haibu je zile M90 kaziweka wapi?
Mkuu kupanda daladala wewe kama JeyKey unatafsiri nini, au Shibuda hastahili kupanda daladala, acha hizo, kwa hiyo Besigye anavyotembea kwa miguu kule Uganda nae hana uwezo wa kupanda hata daladala??!!
 
siyo muda wote jf. kuna wakati mambo ya maana ya kujadili yakiisha watu wanakomaa na kazi zao maofisini.
 
Jana nimekutana naye mwenge kabeba brief case, hii ni haibu je zile M90 kaziweka wapi?

Hivi wazungu tunaokutana nao mitaani wanatembea kwa miguu ni wachovu? Kutembea ni sehemu ya utalii kufahamu nchi yako
 
Kuna mtu ana taarifa ya huyu jamaa maana siku hizi tunakutana mtaani anachapa lapa, juzi nilikutana naye mwenye jana nimemuona katika daladala la kariakoo alikuwa busy anajipangusa majasho. Mpaka sasa huyu jamaa inawezekana chadema wamemtelekeza, mkutano ya Chadema iliyofanyika iringa na kwingineko hakuudhuria

Je ni kweli CHADEMA wanataka kumtosa?

Hayakuhusu. Na nyie Mumemtosa Lowasa mbona hatumsikii?
 
Jana nimekutana naye mwenge kabeba brief case
juzi nilikutana naye mwenye jana nimemuona katika daladala la kariakoo .

Population of over 5mil. in Dar es Salaam.
Jeykey anakutana na Shibuda daladalani kariakoo, kesho mwenge, leo mtakutana wapi?
don't insult my intelligence.
Jipige BAN JF kama huna cha kuandika.
 
[
Nimerudia kuisoma hii thread mara 100 lakini nimeshindwa kuielewa, msada wandugu labda hilo jina lla huyo mtu linatakiwa uwe na mitambo maalum kuliona hapa. na nyinyi mliochangia topic hii mmetumia vigenzo gani? au na nyinyi ni wanajimu kama yule mchawi wa magomeni mwembechai.

kwa kweli hata mie cjaona hilo jina la huyo mtu

Kusema ukweli hata mimi sijamuelewa anamzungumzia nani..... mara chibuda mara shibuda, who the hell you are talking about??
 
Hela alizopewa shibuda kazipeleka wapi? Je mbona cdm haimpi support?
CDM impangie kila mbunge bajeti ya mapato yake. Na watakapoingia ikulu 2015 impangie kila mtanzania bajeti,
Hebu nenda chooni kwanza ndo urudi nasikia harufu hapa jamvini
 
ccm damu uyooo! Apigwe chini gamba lake akalivulie hukohuko.

Mbona context - kuonekana kwenye daladala akitoka jasho haiendani na kutoswa na Chadema. Kwani hakupata mkopo wa wabunge wa kununua gari? Au mkopo mpaka chama kiamue?
 
Back
Top Bottom