CHADEMA ina mpango wa kumtelekeza John Shibuda?

Alikuwa anawashughulikia kuwatoa mahabusi wanachama wa CDM waliokuwa mahabusi kutoka na kifo cha mwanachama wa CCM wakati wa kampeni za uchaguzi wa 2010. Kwenye TV alionyeshwa akiwa na hao wanachama baada ya kesi yao kufutwa

afadhali umeliambia ukweli hili linepi chafu, shibuda ni jembe
 
shibuda ni mtu wakawaida sana kukosa kwake sio hoja, mbona kabla ya hapo alikuwa akipinga ccm ndani ya cha cha magamba mchukulie ni mpinzani aliyepoa damu na ni mzee sana hivyo mikiki ya police haiwezi lakini tutikomboa tu nchi wanamagamba ndio kabisaa wanampa mpayukaji Mr. Nepi eti hawapiku wapinzani!!! vichekesho

kama uwezi kujibu kitu uwe mnayamaa, pumbavu
 
hili ni jukwaa kwa ijili ya great thinkers, na wewe ni stupid thinker kwahiyo ondoka tu humu jamvini, unajiaibisha!
 
ya ukweli hayo mbona ndio nasikia kwako leo au wewe ndiye ndugu yake wa karibu
kwa hiyo unamfahamu mh kiundani zaidi
 
Ndio unaamka nini? Tuna issues za msingi kujadili, JK anbapaswa kutaja Viongozi wa dini wauza Unga (masaa 48 si yameshapita??); Jana tumesomewa Bajeti ambayo CDM wameigundua ina hitilafu na ni ya ubabaishaji...ili tuende sambamba n akuelewa kilichomo na kilichoelezwa na CDM kupitia ZK na JM inatupasa kupiti abajeti ya 2010/11 na hii ya 2011/12....yote hay ayanahitaji muda wa kutosha!!

MY POINT: Huu si muda wa threads za kupoteza muda, hun ahaja ya kupost thread kama huna cha kueleza! Fanya utafiti, as long as JS hajasema kuwa anapingana na CDM wewe inakuwaje ulete hisia zako kwetu??
 
50%,50% shibuda si kivileeeeeeeee!ILA ACHA TWENDE NAE itajulikana hapo mbele,ila wewe uliyeleta thead chunga sana hapa jf uwe mwangalifu data unazo???????
 
Kiukweli mwenye thread hii anatakiwa aishie kwenye facebook tu, maana kule angeweza kuleta umbea huu vizuri navijitoto vyakule vikamsapoti uzuri, lkn this home of great thinkers asahau. Anyway inawezekana anatakakutusheki.
 
Msukuma na kiswahili cha Pwani ni wapi na wapi bwana?Acha atuongezee idadi ya wabunge lakini si riziki.Time will judge him kwani 2015 ni CDM ndo itachukua dola na aibu itakuwa juu yake.Tutapambana na wote wenye moyo...Mbona Mwenyekiti wetu tumemsimamia imara katoka. Shibuda will change with time when he gets to learn the truthNampa pole sana kwa kutaka kuishi maisha ya kubahatisha!Choose your path and let all know that this is YOU!!!
Katika hali ya kusikitisha Mbunge wa MAswa Mh John shibuda kuwa na mtazamo tofauti wa kichama sasa ameamua kujitenga na chama na kusimama peke yake kama mbunge. Maandamano waliyofanya cdm Shibuda hajawai kwenda juzi mbowe kakamatwa wabunge wote walienda Arusha isipokuwa yeye. Kwa wachambuzi wa mambo wanasema Shibuda ameanza kujitenga na chama. Juzi nilikuwa naaongea na mtu wa karibu wa shibuda anasema shibuda anahesabu masaa na siku maana kanyanyaswa sana
 
Amegundua kuwa cdm is not a serious party.Ni chama cha maandamano na vurugu sio maendeleo.Ana haki ya kuwagomea na kama akiona inafaa arudi alikotoka maana alichokuwa akililia ndani ya ccm tayari jakaya kikwete amekwisha anza kukichukulia hatua.
 
Nadhani nahitaji muda wa kutosha kufikiri na kujiuliza familia yangu itaisahije kesho maana sukari itakuwa 2000, mchele 2500 na maharage 3000 wakati unga ukiwa 1500 kilo. nadhani sitaku usumbufu wa shibuda or any hell...kajipange upya ili upate comment yangu...
Katika hali ya kusikitisha Mbunge wa MAswa Mh John shibuda kuwa na mtazamo tofauti wa kichama sasa ameamua kujitenga na chama na kusimama peke yake kama mbunge.

Maandamano waliyofanya cdm Shibuda hajawai kwenda juzi mbowe kakamatwa wabunge wote walienda Arusha isipokuwa yeye. Kwa wachambuzi wa mambo wanasema Shibuda ameanza kujitenga na chama.

Juzi nilikuwa naaongea na mtu wa karibu wa shibuda anasema shibuda anahesabu masaa na siku maana kanyanyaswa sana
 
Kwa hili la Mbowe nafikiri yeye peke yake alikuwa sahihi kwa mujibu wa Mbowe mwenyewe aliesema hakuona sababu ya kupotezwa muda na gharama kwa jambo dogo kama hilo. Sasa inapobidi wabunge wanaacha shughuli zao na pengine gharama ilitumika kuwapeleka huko huoni kuwa Shibuda alifanya kwa vitendo kile Mbowe alijidai kusema? Nasema alijidai kwa vile alilaumu mtumizi na muda wa serikali tu akisahau kuwa CHADEMA inapewa ruzuku kwa pesa za wananchi na wanazichezea kwa jambo dogo.
 
Msukuma na kiswahili cha Pwani ni wapi na wapi bwana?Acha atuongezee idadi ya wabunge lakini si riziki.Time will judge him kwani 2015 ni CDM ndo itachukua dola na aibu itakuwa juu yake.Tutapambana na wote wenye moyo...Mbona Mwenyekiti wetu tumemsimamia imara katoka. Shibuda will change with time when he gets to learn the truthNampa pole sana kwa kutaka kuishi maisha ya kubahatisha!Choose your path and let all know that this is YOU!!!

Usijali si atakuwa amekwenda Chama ch upinzani? Kachoka vyama tawala!
 
Katika hali ya kusikitisha Mbunge wa MAswa Mh John shibuda kuwa na mtazamo tofauti wa kichama sasa ameamua kujitenga na chama na kusimama peke yake kama mbunge.

Maandamano waliyofanya cdm Shibuda hajawai kwenda juzi mbowe kakamatwa wabunge wote walienda Arusha isipokuwa yeye. Kwa wachambuzi wa mambo wanasema Shibuda ameanza kujitenga na chama.

Juzi nilikuwa naaongea na mtu wa karibu wa shibuda anasema shibuda anahesabu masaa na siku maana kanyanyaswa sana

Kakojoe, ukalale!
 
Amegundua kuwa cdm is not a serious party.Ni chama cha maandamano na vurugu sio maendeleo.Ana haki ya kuwagomea na kama akiona inafaa arudi alikotoka maana alichokuwa akililia ndani ya ccm tayari jakaya kikwete amekwisha anza kukichukulia hatua.
SHIBUDA N MBUNGE WA TZ YOTE KAMA WALIOVYO WABUNGE WOTE WA CDM,MWAHAMA TU MARA ZITTO NA BADO.NJOO UWEKWE SAWA KIJANA,MSUBIRIN KWENYE MAANDAMANO MENGINE ZANZIBAR,MTWARA,PWAN,LINDI ETC HAPO NDO UTAMJUA YEYE NDO NANI.NJAA KALI ccmagamba
 
SHIBUDA NI MNAFIKI YULE. Anajitenga mwenyewe. Km bado anamagamba CDM HAITAMVUMILIA!
 
Back
Top Bottom