Katika hali ya kusikitisha Mbunge wa MAswa Mh John shibuda kuwa na mtazamo tofauti wa kichama sasa ameamua kujitenga na chama na kusimama peke yake kama mbunge.
Maandamano waliyofanya cdm Shibuda hajawai kwenda juzi mbowe kakamatwa wabunge wote walienda Arusha isipokuwa yeye. Kwa wachambuzi wa mambo wanasema Shibuda ameanza kujitenga na chama.
Juzi nilikuwa naaongea na mtu wa karibu wa shibuda anasema shibuda anahesabu masaa na siku maana kanyanyaswa sana

Wewe acha kuchambua vitu vidogo vidogo maadam hajapinga chama in public, we count him as our fellow, lengo lako la kutugeuza shingo tumwangalie Shibuda si zuri kwa cdm, unataka kutufanya tuache kuangalia mambo makubwa mbeleni tumgeukie Shibuda, ulimsikiliza mwenyekiti alichowahi kusema, I guess on his own he has been shooting the enemy, i have not seen a point where i feel he is a threat to the party but the opposite might be true don't attempt to dig out what he has not done find out what he has done.
Jamani sio lazima kupost thread. Tunaweza kuchangia za wenzetu na ikaleta maana. Kuna member wengi tu sijawahi kuona thread zao lakini wanaheshika kwa michango yao kwenye thread za wenzao. Nashauri tu!
Huhusu hii thread, kwanza inaonekana ni mtazamo binafsi wa mwandishi,. Hajafanya utafiti ili kuufahamu ukweli. Ndio maana amekurupuka akasema wabunge wote wa cdm walienda Arusha isipokuwa Mh. Shibuda jambo ambalo si kweli. Nina mashaka hata aliposema kwamba ameongea na mtu wa karibu na Shibuda. Sidhani kama ni kweli!
Kwa ufupi ni kwamba hii thread haina ukweli. Mashaka yanazidi matumaini.
CHADEMA, CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA!
kwa upande mimi sitaki kufikiria hayo ya SHIBUDA,CCM,CDM.... leo nafikiria mkakati wa kiuchumi uliozinduliwa jana na m kwere, hayo mengine tutaanza kuyazungumzia kesho
Katika hali ya kusikitisha Mbunge wa MAswa Mh John shibuda kuwa na mtazamo tofauti wa kichama sasa ameamua kujitenga na chama na kusimama peke yake kama mbunge.
Maandamano waliyofanya cdm Shibuda hajawai kwenda juzi mbowe kakamatwa wabunge wote walienda Arusha isipokuwa yeye. Kwa wachambuzi wa mambo wanasema Shibuda ameanza kujitenga na chama.
Juzi nilikuwa naaongea na mtu wa karibu wa shibuda anasema shibuda anahesabu masaa na siku maana kanyanyaswa sana
Katika hali ya kusikitisha Mbunge wa MAswa Mh John shibuda kuwa na mtazamo tofauti wa kichama sasa ameamua kujitenga na chama na kusimama peke yake kama mbunge.
Maandamano waliyofanya cdm Shibuda hajawai kwenda juzi mbowe kakamatwa wabunge wote walienda Arusha isipokuwa yeye. Kwa wachambuzi wa mambo wanasema Shibuda ameanza kujitenga na chama.
Juzi nilikuwa naaongea na mtu wa karibu wa shibuda anasema shibuda anahesabu masaa na siku maana kanyanyaswa sana
Katika hali ya kusikitisha Mbunge wa MAswa Mh John shibuda kuwa na mtazamo tofauti wa kichama sasa ameamua kujitenga na chama na kusimama peke yake kama mbunge.
Maandamano waliyofanya cdm Shibuda hajawai kwenda juzi mbowe kakamatwa wabunge wote walienda Arusha isipokuwa yeye. Kwa wachambuzi wa mambo wanasema Shibuda ameanza kujitenga na chama.
Juzi nilikuwa naaongea na mtu wa karibu wa shibuda anasema shibuda anahesabu masaa na siku maana kanyanyaswa sana
We Dogo vipi? post zako zote crap!
And if you don't have something to post for the best interest of our country you can shut the mouth!
tumechoka kusoma pumba zako!
Katika hali ya kusikitisha Mbunge wa MAswa Mh John shibuda kuwa na mtazamo tofauti wa kichama sasa ameamua kujitenga na chama na kusimama peke yake kama mbunge.
Maandamano waliyofanya cdm Shibuda hajawai kwenda juzi mbowe kakamatwa wabunge wote walienda Arusha isipokuwa yeye. Kwa wachambuzi wa mambo wanasema Shibuda ameanza kujitenga na chama.
Juzi nilikuwa naaongea na mtu wa karibu wa shibuda anasema shibuda anahesabu masaa na siku maana kanyanyaswa sana
Katika hali ya kusikitisha Mbunge wa MAswa Mh John shibuda kuwa na mtazamo tofauti wa kichama sasa ameamua kujitenga na chama na kusimama peke yake kama mbunge.
Maandamano waliyofanya cdm Shibuda hajawai kwenda juzi mbowe kakamatwa wabunge wote walienda Arusha isipokuwa yeye. Kwa wachambuzi wa mambo wanasema Shibuda ameanza kujitenga na chama.
Juzi nilikuwa naaongea na mtu wa karibu wa shibuda anasema shibuda anahesabu masaa na siku maana kanyanyaswa sana
Alikuwa anawashughulikia kuwatoa mahabusi wanachama wa CDM waliokuwa mahabusi kutoka na kifo cha mwanachama wa CCM wakati wa kampeni za uchaguzi wa 2010. Kwenye TV alionyeshwa akiwa na hao wanachama baada ya kesi yao kufutwa
shibuda ni mtu wakawaida sana kukosa kwake sio hoja, mbona kabla ya hapo alikuwa akipinga ccm ndani ya cha cha magamba mchukulie ni mpinzani aliyepoa damu na ni mzee sana hivyo mikiki ya police haiwezi lakini tutikomboa tu nchi wanamagamba ndio kabisaa wanampa mpayukaji Mr. Nepi eti hawapiku wapinzani!!! vichekesho
NA Bwana Shibuda amesema yafuatayo leo akiwa Dodoma Bungeni Mbunge Shibuda akizungumza bungeni.
Kwamba viongozi hao wamesahau na kuzitupa siasa za Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kwa kuwa na sera ya kutesa kwa zamu hali inayowanyima haki wananchi ya kufaidi matunda na rasilimali za nchi yao.
Shibuda alitoa kauli hiyo Wilayani Maswa wakati akizungumza na wananchi na wazee wa Jimbo la Maswa Magharibi kuhusiana na changamoto zinazoikabili jamii ya Watanzania.
Alisema viongozi wa CCM wameshindwa kuzibua masikio na kutambua hisia za Watanzania wanahitaji nini ili kuwaletea maendeleo badala yake wanajinadi kujivua gamba kumbe ni funika kombe mwanaharamu apite.
"CCM inauchakavu wa fikra, ndiyo sababu CHADEMA tunawambia maovu yao ili watambue hisia za wananchi lakini hawataki kuzibua masikio na badala kupongeza wao wanakasirika.Siku zote ukweli unatabia ya kuudhi masikio" alisema Shibuda
Mbunge wa Jimbo la Mawa Magharibi alibainisha kuwa Watanzania masikini wanateswa na viongozi waliopo madarakani kutokana na sera yao ya kutesa kwa zamu, huku uovu ukifanywa funika kombe mwana haramu apite wao wakidai wanajivua gamba.
Alisema viongozi wa CCM na serikali yake ni wavivu na wana hila mbay na desturi mbovu na tabia ya ubinafsi na visasi hali ambayo ni hatari kwa mustakabali wa nchi ndiyo maana upizani umekuwa ukisema yaliyo katika ukweli na uwazi na kisasi cha CCM ndiyo kimeifikisha nchi mahali pabaya kuzaa matabaka.
Alidai kuwa kwa miaka 20 sasa CCM imeshindwa kuandaa viongozi bora baada ya Mwalimu Nyererena katu haiezi kusimama kwa vile imekosa mbegu bora ya uongozi wa kuwatumikia wananchi.
"Naomba niseme, CCM na dola ni wavivu wanatabia mbovu na chafu zisizojenga. Sheikh akiwa mwovu usikasirikie Msahafu na usichome Biblia kwa sababu ya padri mwovu. Hivyo CCM haiwei kusisima, watu wazima hovyo," alisema Shibuda na kuhoji tangu lini kanzu jeupe likafuliwa kwa sabuni ya mkaa?
Kuhuisu vyama vya upinzani alisema CCM ina deni ya kuvipenda kwa sababu vyote vina muenzi Baba wa Taifa na kueleza mzazi hawezi kumkataa mwanaye na masikini anapaswa kupendwa na tajiri.
Alisema CCM inapaswa kutambua kuwa vyama vidogo vya upinzani vina faida ya maslahi ya Taifa sawa na mgongo wa tembo kumfukuza inzi hivyo vinapaswa kupewa ruzuku.
"Nina mavuno ya utajiri wa kumbaua tulikotoka. Je, tutajikwaa na kuangukia wapi, nitatoa urithi gani kusaidia Watanzania. Siasa si kugombana wala hila na visa.Bima ya haki itapatikana penye haki sawa katika nchi," alisema Shibuda.
Mbunge huyo pia aliwaasa wazee wa jimbo hilo kutambua thamani yao ya kuitwa wazee bila kuona haya kwani baadhi yao wana matende ya kuwaharibia vijana kwa madai kuwa wamelelewa na CCM.
Katika hali ya kusikitisha Mbunge wa MAswa Mh John shibuda kuwa na mtazamo tofauti wa kichama sasa ameamua kujitenga na chama na kusimama peke yake kama mbunge.
Maandamano waliyofanya cdm Shibuda hajawai kwenda juzi mbowe kakamatwa wabunge wote walienda Arusha isipokuwa yeye. Kwa wachambuzi wa mambo wanasema Shibuda ameanza kujitenga na chama.
Juzi nilikuwa naaongea na mtu wa karibu wa shibuda anasema shibuda anahesabu masaa na siku maana kanyanyaswa sana
Na Mwandishi Wetu, Thehabari, Maswa MBUNGE wa Jimbo la Maswa Magharibi (CHADEMA), John Shibuda amesema CCM ina uchakavu wa fikra na anguko la vitendo linalowatafuna viongozi wake hivyo kushindwa kutambua hisia za wananchi.
Mbunge Shibuda akizungumza bungeni.
Kwamba viongozi hao wamesahau na kuzitupa siasa za Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kwa kuwa na sera ya kutesa kwa zamu hali inayowanyima haki wananchi ya kufaidi matunda na rasilimali za nchi yao.
Shibuda alitoa kauli hiyo Wilayani Maswa wakati akizungumza na wananchi na wazee wa Jimbo la Maswa Magharibi kuhusiana na changamoto zinazoikabili jamii ya Watanzania.
Alisema viongozi wa CCM wameshindwa kuzibua masikio na kutambua hisia za Watanzania wanahitaji nini ili kuwaletea maendeleo badala yake wanajinadi kujivua gamba kumbe ni funika kombe mwanaharamu apite.
CCM inauchakavu wa fikra, ndiyo sababu CHADEMA tunawambia maovu yao ili watambue hisia za wananchi lakini hawataki kuzibua masikio na badala kupongeza wao wanakasirika.Siku zote ukweli unatabia ya kuudhi masikio alisema Shibuda
Mbunge wa Jimbo la Mawa Magharibi alibainisha kuwa Watanzania masikini wanateswa na viongozi waliopo madarakani kutokana na sera yao ya kutesa kwa zamu, huku uovu ukifanywa funika kombe mwana haramu apite wao wakidai wanajivua gamba.
Alisema viongozi wa CCM na serikali yake ni wavivu na wana hila mbay na desturi mbovu na tabia ya ubinafsi na visasi hali ambayo ni hatari kwa mustakabali wa nchi ndiyo maana upizani umekuwa ukisema yaliyo katika ukweli na uwazi na kisasi cha CCM ndiyo kimeifikisha nchi mahali pabaya kuzaa matabaka.
Alidai kuwa kwa miaka 20 sasa CCM imeshindwa kuandaa viongozi bora baada ya Mwalimu Nyererena katu haiezi kusimama kwa vile imekosa mbegu bora ya uongozi wa kuwatumikia wananchi.
Naomba niseme, CCM na dola ni wavivu wanatabia mbovu na chafu zisizojenga. Sheikh akiwa mwovu usikasirikie Msahafu na usichome Biblia kwa sababu ya padri mwovu. Hivyo CCM haiwei kusisima, watu wazima hovyo, alisema Shibuda na kuhoji tangu lini kanzu jeupe likafuliwa kwa sabuni ya mkaa?
Kuhuisu vyama vya upinzani alisema CCM ina deni ya kuvipenda kwa sababu vyote vina muenzi Baba wa Taifa na kueleza mzazi hawezi kumkataa mwanaye na masikini anapaswa kupendwa na tajiri.
Alisema CCM inapaswa kutambua kuwa vyama vidogo vya upinzani vina faida ya maslahi ya Taifa sawa na mgongo wa tembo kumfukuza inzi hivyo vinapaswa kupewa ruzuku.
Nina mavuno ya utajiri wa kumbaua tulikotoka. Je, tutajikwaa na kuangukia wapi, nitatoa urithi gani kusaidia Watanzania. Siasa si kugombana wala hila na visa.Bima ya haki itapatikana penye haki sawa katika nchi, alisema Shibuda.
Mbunge huyo pia aliwaasa wazee wa jimbo hilo kutambua thamani yao ya kuitwa wazee bila kuona haya kwani baadhi yao wana matende ya kuwaharibia vijana kwa madai kuwa wamelelewa na CCM.
Katika hali ya kusikitisha Mbunge wa MAswa Mh John shibuda kuwa na mtazamo tofauti wa kichama sasa ameamua kujitenga na chama na kusimama peke yake kama mbunge.
Maandamano waliyofanya cdm Shibuda hajawai kwenda juzi mbowe kakamatwa wabunge wote walienda Arusha isipokuwa yeye. Kwa wachambuzi wa mambo wanasema Shibuda ameanza kujitenga na chama.
Juzi nilikuwa naaongea na mtu wa karibu wa shibuda anasema shibuda anahesabu masaa na siku maana kanyanyaswa sana
Safari hii kazi mnayo, mtatunga uongo wa kila namna ila jua kizazi hiki siyo cha S L P bali ni .COM watu wanaofuatilia mambo " MAMBO YA NGOSWE MUACHIE NGOSWE MWENYEWE "
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.