CHADEMA ina mpango wa kumtelekeza John Shibuda?

CHADEMA ina mpango wa kumtelekeza John Shibuda?

Sasa huyu jamaa anajitosa yeye mwenyewe tu CDM ipo makini hakukatazwa kuhudhuria kwenye mikutano yetu inayoendeshwa nchini,kujitenga kwake na ukweli kutamuumbua kwa wananchi.
 
akipigwa chini maneno ya kikomedi tutapata wapi?
 
Back
Top Bottom