dlamini
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 368
- 119
Tatizo ni ushahidi wa mazingira,pale haonekani Lwakatare peke yake,mbona humsemi yule binti aliyekwenda dirishani na kurudi kusikojulikana,mbona husemi kuhusu black wall kulia pichani? Mbona hutuambii kuhusu kelele za chupa na honi za magari? Mimi simtetei Lwakatare lakini pia simtuhumu kwani ukisikiliza kwa umakini sauti ya mtu asiyeonekana utagundua he never resemble to be an assassin.Lakini pia,ukiangalia waving colour around his physical body,you will discover that the video placed in the designed frame.
Assassin anakuwa na sifa gani? Tuelimishe manake unaonekana unajua sana.