scramble
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 1,593
- 257
mambo yalianza kwa kumvamia , kumtesa na kumteka DC wa Igunga. hadi wabunge akina susan kiwangwa walishirika katika utekaji
mara tukasikia na mpiga kampeni maarufu wa ccm amemwagiwa tindikali na kikosi cha chdm chini ya chacha marwa kulekule igunga
hamad, kabla hatujatulia tukasikia dkt ulimboka naye amenyofolewa kucha
Mungu wangu!!!!!! likaja la kibanda kutobolewa jicho na kunyofolewa kucha
TUKAWA TUNAJIULIZA NANI YUKO NYUMA YA MAMBO HAYA!!!!???
MUNGU SI ATHUMANI WALA JOZEFU,
UKWELI UMEJULIKANA NA NI HUU HAPA CHINI. HUYU BWANA KATUONESHA CHAMA KINACHO RATIBU HAYA YOTE
anaitwa wilfred lwakatare
mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa chdm