CHADEMA in war against the truth

Wewe Amanibaraka sijui akili zako ziko sehemu gani ya mwili wako.

*Watanzania wengi hawajui tofauti ya TISS na Sheikh Yahaya (wote wanatumia nguvu za kishenzi kutisha/kuiba/kuharibu)
*Wote ni marehemu (TISS is dead morally and Yahaya is dead physically/spiritually)
 
yoyote anayemjua lwakatare na kama ameitazama video yake iliyorushwa mtandaoni atajua kwamba yule ni yeye kwa umbo, kwa sauti na hata matambo yake.
Nashangaa sana watu wanaotumia nguvu zao zote kupinga ukweli huu kuwa lwakatare amerekodiwa akipanga hujuma mbaya na za aibu za kudhuru binadamu na watanzania wenzake.
Baada ya kuona ushahidi huu najiuliza chadema wameua wangapi? Mpaka sasa?
Mimi naamini kuwa chadema wanaweza kuukandamiza ukweli ule kwa mafanikio makubwa hasa mtandaoni kwani propaganda machinery yao iko sophisticated sana, lakini chadema will not be able to fool all the people all the time.
Shame to all chadema supporters who know the truth but you are determined to fool tanzanians. M
ni kweli the end justifies the means lakini sio kwa namna hii. You have crossed the line. Period.

wanapoteza muda mitandaoni acha uchaguzi uje ndio watazijua hasira za wananchi,kilichowapata kwenye chaguzi za serikali za wananchi walipowakataa kwa sababu ya vurugu kitajirudia tena mara mbili yake
 
tatizo ni ushahidi wa mazingira,pale haonekani lwakatare peke yake,mbona humsemi yule binti aliyekwenda dirishani na kurudi kusikojulikana,mbona husemi kuhusu black wall kulia pichani? Mbona hutuambii kuhusu kelele za chupa na honi za magari? Mimi simtetei lwakatare lakini pia simtuhumu kwani ukisikiliza kwa umakini sauti ya mtu asiyeonekana utagundua he never resemble to be an assassin.lakini pia,ukiangalia waving colour around his physical body,you will discover that the video placed in the designed frame.

KUFIKIRI KAMA WEWE ni kujidanganya
 
chadema ni chama cha wahuni sema ndio hivyo kipenda roho, washabiki wake hawataki kuona ukweli yaleyale ya chacha wangwe , chama kimejaa wahuni

Kama hawa.....
ImageUploadedByJamiiForums1363473843.526549.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1363473882.924320.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1363473910.410750.jpg
 
Yoyote anayemjua Lwakatare na kama ameitazama video yake iliyorushwa mtandaoni atajua kwamba yule ni yeye kwa umbo, kwa sauti na hata matambo yake.
Nashangaa sana watu wanaotumia nguvu zao zote kupinga ukweli huu kuwa Lwakatare amerekodiwa akipanga hujuma mbaya na za aibu za kudhuru binadamu na watanzania wenzake.
Baada ya kuona ushahidi huu najiuliza CHADEMA wameua wangapi? mpaka sasa?
Mimi naamini kuwa Chadema wanaweza kuukandamiza ukweli ule kwa mafanikio makubwa hasa mtandaoni kwani propaganda machinery yao iko sophisticated sana, Lakini CHADEMA will not be able to fool all the people all the time.
Shame to all Chadema supporters who know the truth but you are determined to fool Tanzanians. M
Ni kweli the end justifies the means lakini sio kwa namna hii. You have crossed the line. Period.
mimi naamini Rwakatare amehongwa/amenunuliwa kusema vile maana video inaonyesha alikuwa aware kwamba anarekodiwa (stage managed) kwahiyo inapoteza credibility ya kama anachosema kina ukweli maana kama alirekodiwa under cover basi ningeamini CHADEMA wanafanya uharamia ule kwa waandishi wa habari! Kwa bahati mbaya UWT wamechemka hapo katika ku-prove the authenticity of that footage na the earlier CHADEMA wanagundua hilo the earlier wanajing'atua katika kashfa ile! they need to denounce him asap!
 
Kwa nini clip hiyo ya video haikupelekwa kwenye vyombo vya usalama kwa ajili ya uchunguzi na hatimaye wahusika kuchukuliwa hatua, ndiyo prime question. Clip hiyo kuanzia JF ni mpango maalum wenye malengo ya propaganda za kisiasa. Mwananchi yeyote mwenye uchungu na Nchi yake angeanzia kwenye vyombo vya usalama. Sasa tunaambiwa bado kuna ushahidi mwingine tutaletewa hapa JF. Kwa nini asiupeleke Polisi?
 
two wrong doesnt make right. Hoja unazoleta ni kama ku- divert from the topic, from the issue under discussion. The point in the video is lwakatare speaking. Full stop.

Hatuwezi kujadili video bila ku-question credibility yake

Kama wewe ni blind follower,then i'm not one of them
 
Kuna Magaidi Tanzania zaidi ya Magaidi wa CCM

Katibu wao tu anatisha Dr Bimgwa wa vinywa na shingo za Tembo Dr Kinana
Msaidizi wake ni Mhanga mkubwa wa Ndito na wake za watu.
Mdomono ana Amblifire ya Matusi.
 
-Aanze kuleta video Mwigulu Nchemba aliyesema anayo ili kunusuru maisha ya watu

-Aliyepost kwenye mitandao akamatwe

-Jifunze na jielimishe kuhusu teknolojia ya kuchezesha na kupachika maneno kwenye video

-Mauaji ya Imran Kombe,Karume na kifo tata cha Prof.Malima vinajadilika

-Toa rai kwa Polisi iache kutumika kisiasa,TISS ambayo imekua mstari wa mbele kuiwinda CHADEMA kutumia watu wale wale na wasaliti wale wale wamejaribu kweli safari hii but wamekosea

NB:Wasipompandisha mahakamani jumatatu ili ukweli ujulikane basi itabidi watanzania wa-play part yao ili kukomesha tabia hii na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu

RIP Chacha Wangwe
 
Kimantiki nilivoitazama ile clip nikajua hapa kapo kamchezo kamechezwa na hakuna kitu kibaya kama kumdhulumu mtu akinyanyua mikono akiomba kwa Allah bass hairudi nyuma jeshi la polisi kama kweli wanamdhulumu wakatare basi hawatokua na amani maishani mwao
 
Yoyote anayemjua Lwakatare na kama ameitazama video yake iliyorushwa mtandaoni atajua kwamba yule ni yeye kwa umbo, kwa sauti na hata matambo yake.
Nashangaa sana watu wanaotumia nguvu zao zote kupinga ukweli huu kuwa Lwakatare amerekodiwa akipanga hujuma mbaya na za aibu za kudhuru binadamu na watanzania wenzake.
Baada ya kuona ushahidi huu najiuliza CHADEMA wameua wangapi? mpaka sasa?
Mimi naamini kuwa Chadema wanaweza kuukandamiza ukweli ule kwa mafanikio makubwa hasa mtandaoni kwani propaganda machinery yao iko sophisticated sana, Lakini CHADEMA will not be able to fool all the people all the time.
Shame to all Chadema supporters who know the truth but you are determined to fool Tanzanians. M
Ni kweli the end justifies the means lakini sio kwa namna hii. You have crossed the line. Period.

Unawazungumzia Watanzania wapi wewe jinzungumzie wewe uliye rubunika k na hiyo video kwa upumbafu wako mwenyewe huna namna ya kutudanganya watu na akili zetu kwa huo mchezo wenu wa kitoto.
 
Kumbe 'ukweli' upo wazi kiasi hiko! Sasa inashindikana nini kumpeleka mahakamani?
 
chadema ni chama cha wahuni sema ndio hivyo kipenda roho, washabiki wake hawataki kuona ukweli yaleyale ya chacha wangwe , chama kimejaa wahuni

Bora wahuni kuliko wauaji na waporaji wa kodi na rasirimali za watanzania mafisadi nyie Magamba ccm.
 
Ndugu zangu wa JF,hapo kilichotumika kurekodi ni spy gadgets ambazo zinakuwa na hidden camera,na Mtu asiyeijuwa yyt anaweza ku rekodiwa ni Rahisa saaaaana,ila ningeomba wanasisa basi waombe hiyo footage ipelekwe nje au waandoshi wa habari makini waunde tume Yao ya uchunguzi kuangalia km kna mchezo wa DIGITAL EDITING hapo,lakini Mimi binafsi nimeshafuatailia kwa wataalam wangu wa VIDEO DIGITAL EDITING wamesema ni ORIGINAL sasa tusaidiane Au itumwe nje ilibidi Tuombage Msaada kwa FBI,labda tutapata ukweli na kukubaliana nao
 
-Aanze kuleta video Mwigulu Nchemba aliyesema anayo ili kunusuru maisha ya watu

-Aliyepost kwenye mitandao akamatwe

-Jifunze na jielimishe kuhusu teknolojia ya kuchezesha na kupachika maneno kwenye video

-Mauaji ya Imran Kombe,Karume na kifo tata cha Prof.Malima vinajadilika

-Toa rai kwa Polisi iache kutumika kisiasa,TISS ambayo imekua mstari wa mbele kuiwinda CHADEMA kutumia watu wale wale na wasaliti wale wale wamejaribu kweli safari hii but wamekosea

NB:Wasipompandisha mahakamani jumatatu ili ukweli ujulikane basi itabidi watanzania wa-play part yao ili kukomesha tabia hii na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu

Na kifo tata cha Chacha Wangwe.
 
I like your argument. Kitu sahihi cha kufanya ni kumsubiri atoke kisha mumuulize ilikuwaje akasema yote yale hali dalili zinaonyesha alikuwa akijua kuwa anarekodiwa? By the way, yeye kujua kuwa anarekodiwa hakufanyi video isiwe real, ila inaleta mashaka kuwa huenda Lwakatare ali-stage video ile makusudi ili aki- discredi chama chake. Kwa wanasiasa wa aina yake wanaohamahama ikithibitika hivyo halitokuwa jambo la kushangaza.

Mngemtoa ila kwa sababu mmempakazia ndiyo sababu mnamtesa ili akubali masharti yenu.
 
Yoyote anayemjua Lwakatare na kama ameitazama video yake iliyorushwa mtandaoni atajua kwamba yule ni yeye kwa umbo, kwa sauti na hata matambo yake.
Nashangaa sana watu wanaotumia nguvu zao zote kupinga ukweli huu kuwa Lwakatare amerekodiwa akipanga hujuma mbaya na za aibu za kudhuru binadamu na watanzania wenzake.
Baada ya kuona ushahidi huu najiuliza CHADEMA wameua wangapi? mpaka sasa?
Mimi naamini kuwa Chadema wanaweza kuukandamiza ukweli ule kwa mafanikio makubwa hasa mtandaoni kwani propaganda machinery yao iko sophisticated sana, Lakini CHADEMA will not be able to fool all the people all the time.
Shame to all Chadema supporters who know the truth but you are determined to fool Tanzanians. M
Ni kweli the end justifies the means lakini sio kwa namna hii. You have crossed the line. Period.
inawezekana ukawa sahihi,je unajua ccm wameua wangapi?
 
Back
Top Bottom