mangikule
JF-Expert Member
- Jun 11, 2012
- 6,052
- 5,425
Wewe IGHONDU toa uchafu wako hapa!!!Yoyote anayemjua Lwakatare na kama ameitazama video yake iliyorushwa mtandaoni atajua kwamba yule ni yeye kwa umbo, kwa sauti na hata matambo yake.
Nashangaa sana watu wanaotumia nguvu zao zote kupinga ukweli huu kuwa Lwakatare amerekodiwa akipanga hujuma mbaya na za aibu za kudhuru binadamu na watanzania wenzake.
Baada ya kuona ushahidi huu najiuliza CHADEMA wameua wangapi? mpaka sasa?
Mimi naamini kuwa CHADEMA wanaweza kuukandamiza ukweli ule kwa mafanikio makubwa hasa mtandaoni kwani propaganda machinery yao iko sophisticated sana, Lakini CHADEMA will not be able to fool all the people all the time.
Shame to all CHADEMA supporters who know the truth but you are determined to fool Tanzanians.
Ni kweli the end justifies the means lakini sio kwa namna hii. You have crossed the line. Period.