CHADEMA in war against the truth

Imrani Kombe, Horace Kolimba, Kighoma Malima, Karume Senior, Kuteswa kwa Ulimboka, Sumu ya Mwakyembe,Mwangosi
 
Yoyote anayemjua Lwakatare na kama ameitazama video yake iliyorushwa mtandaoni atajua kwamba yule ni yeye kwa umbo, kwa sauti na hata matambo yake.
Nashangaa sana watu wanaotumia nguvu zao zote kupinga ukweli huu kuwa Lwakatare amerekodiwa akipanga hujuma mbaya na za aibu za kudhuru binadamu na watanzania wenzake.
Baada ya kuona ushahidi huu najiuliza CHADEMA wameua wangapi? mpaka sasa?
Mimi naamini kuwa Chadema wanaweza kuukandamiza ukweli ule kwa mafanikio makubwa hasa mtandaoni kwani propaganda machinery yao iko sophisticated sana, Lakini CHADEMA will not be able to fool all the people all the time.
Shame to all Chadema supporters who know the truth but you are determined to fool Tanzanians. M
Ni kweli the end justifies the means lakini sio kwa namna hii. You have crossed the line. Period.

CHADEMA wameua watu wengi sana akiwepo HORACE KOLIMBA walipo kuwa kwenye chumba cha kupanga mauaji na utekaji.
 
Yoyote anayemjua Lwakatare na kama ameitazama video yake iliyorushwa mtandaoni atajua kwamba yule ni yeye kwa umbo, kwa sauti na hata matambo yake.
Nashangaa sana watu wanaotumia nguvu zao zote kupinga ukweli huu kuwa Lwakatare amerekodiwa akipanga hujuma mbaya na za aibu za kudhuru binadamu na watanzania wenzake.
Baada ya kuona ushahidi huu najiuliza CHADEMA wameua wangapi? mpaka sasa?
Mimi naamini kuwa Chadema wanaweza kuukandamiza ukweli ule kwa mafanikio makubwa hasa mtandaoni kwani propaganda machinery yao iko sophisticated sana, Lakini CHADEMA will not be able to fool all the people all the time.
Shame to all Chadema supporters who know the truth but you are determined to fool Tanzanians. M
Ni kweli the end justifies the means lakini sio kwa namna hii. You have crossed the line. Period.
tukumbushane historia ya matukio yanayofanana na haya kwa ujachache tu,mauaji ya imran kombe,kifo tata cha kolimba,mwasisi wa zanzibar karume,prof.malima,kumwagiwa tindikali kubenea,vitisho vya kuuwawa kwa wanasiasa kama mwakyembe,kilango slaa na regnand mengi.na mpaka mwakyembe akamwandikia barua ya malalamiko IGP,ili kulinda haki yake ya kuishi akaenda mbali zaidi na kusema police na usalama wa taifa wanataka kukatisha maisha yangu,kupigwa na kuteswa kwa ulimboka hii ni mifano michache kwa kutaja.je matukio yote haya ni chadema au lwakatale ni muhusika?najua wewe ni mwana ccm kama mimi lakini lazima tuwe na hofu ya mungu kabla ya kujilekeza katika ushabiki ya vyama vyetu ambao kimsingi hauna maana yoyote kama maisha ya watu yanaangamia kisa tu eti tuendelee kubaki madarakani
 
Yoyote anayemjua Lwakatare na kama ameitazama video yake iliyorushwa mtandaoni atajua kwamba yule ni yeye kwa umbo, kwa sauti na hata matambo yake.
Nashangaa sana watu wanaotumia nguvu zao zote kupinga ukweli huu kuwa Lwakatare amerekodiwa akipanga hujuma mbaya na za aibu za kudhuru binadamu na watanzania wenzake.
Baada ya kuona ushahidi huu najiuliza CHADEMA wameua wangapi? mpaka sasa?
Mimi naamini kuwa Chadema wanaweza kuukandamiza ukweli ule kwa mafanikio makubwa hasa mtandaoni kwani propaganda machinery yao iko sophisticated sana, Lakini CHADEMA will not be able to fool all the people all the time.
Shame to all Chadema supporters who know the truth but you are determined to fool Tanzanians. M
Ni kweli the end justifies the means lakini sio kwa namna hii. You have crossed the line. Period.

mnafiki/mwongo mpe muda............
 
chadema ni chama cha wahuni sema ndio hivyo kipenda roho, washabiki wake hawataki kuona ukweli yaleyale ya chacha wangwe , chama kimejaa wahuni

ccm kimejaa mafisadi,wauaji,washirikina,wazandiki na wachumia tumbo.
 
Kwa mara nyingine tena propaganda ya kijinga kabisa imegonga mwamba. Ukimuangalia Mwigulu Nchemba tabia yake na hulka yake kwa hakika ni mtu mwenye uwezo mdogo sana wa kuongoza. Sikutegemea afanye lolote la maana kwa chama chake zaidi ya matope kama haya ya Lwakatare clip. Pole sana JK kama watu aina ya Mwigulu ndio wasaidizi wako.
 
chadema ni chama cha
wahuni sema ndio hivyo kipenda roho, washabiki wake hawataki kuona
ukweli yaleyale ya chacha wangwe , chama kimejaa wahuni

Incharge: Tuambie ni chama gani cha upinzani hapa nchini abacho kilisha wahi kuonekana ni chama safi/madhubuti/imara mbele ya ccm.
 
Wameshazoea KULAGHAI watu...

Chedama Forums ukiwazidi akili wanakuogopa na kukupiga ban katika forum yao. Na hii ni ishara kwamba kukupiga ban kwenye forums ni kwa sababu hawawezi kukupata "physically". Lakini kama wangeweza kukupata, basi wangetuteka nyara na kukutoa macho.
Kwa ufupi, Vichanzi ameshapigwa ban la kudumu. Nashangaa sana wewe ZeMarcopolo bado hujapigwa ban.
Hii ni ishara ya utawala wa chadema utakavyokuwa. Mawazo makubwa kuliko chadema hayataruhusiwa, na hasa kama yakitoka kwa wale wasiokuwa wanachadema.
 
Demokrasia ina changamoto zake. Kuihubiri si kuitenda...
 
chadema ni chama cha wahuni sema ndio hivyo kipenda roho, washabiki wake hawataki kuona ukweli yaleyale ya chacha wangwe , chama kimejaa wahuni

Hicho chenu kimejaa nini vile? Wizi, ufisadi, uzinzi , ushirikina, umbulula to mention but few.
 
two wrong doesnt make right. Hoja unazoleta ni kama ku- divert from the topic, from the issue under discussion. The point in the video is lwakatare speaking. Full stop.
Akili za watu wenye uwezo mdogo wa kufanya mijadala na kufikiri kwa mapana wanataka ujadili hoja kwa kutumia hoja ndogo kama wafanyavyo wasabato kuchukua mstari mmoja wa biblia. Endeleeni kutengeneza clips zinazoipa ushindi chadema
 
Yoyote anayemjua Lwakatare na kama ameitazama video yake iliyorushwa mtandaoni atajua kwamba yule ni yeye kwa umbo, kwa sauti na hata matambo yake.
Nashangaa sana watu wanaotumia nguvu zao zote kupinga ukweli huu kuwa Lwakatare amerekodiwa akipanga hujuma mbaya na za aibu za kudhuru binadamu na watanzania wenzake.
Baada ya kuona ushahidi huu najiuliza CHADEMA wameua wangapi? mpaka sasa?
Mimi naamini kuwa Chadema wanaweza kuukandamiza ukweli ule kwa mafanikio makubwa hasa mtandaoni kwani propaganda machinery yao iko sophisticated sana, Lakini CHADEMA will not be able to fool all the people all the time.
Shame to all Chadema supporters who know the truth but you are determined to fool Tanzanians. M
Ni kweli the end justifies the means lakini sio kwa namna hii. You have crossed the line. Period.

Mkuu, kuna chadema wengi sana wanaoamini ile video ni ya Lwakatare na pia wanaamini haihusiani na issue ya kibanda na wanaamini pia kwamba alichofanya Lwakatare hakina baraka za chadema
 
Yoyote anayemjua Lwakatare na kama ameitazama video yake iliyorushwa mtandaoni atajua kwamba yule ni yeye kwa umbo, kwa sauti na hata matambo yake.
Nashangaa sana watu wanaotumia nguvu zao zote kupinga ukweli huu kuwa Lwakatare amerekodiwa akipanga hujuma mbaya na za aibu za kudhuru binadamu na watanzania wenzake.
Baada ya kuona ushahidi huu najiuliza CHADEMA wameua wangapi? mpaka sasa?
Mimi naamini kuwa Chadema wanaweza kuukandamiza ukweli ule kwa mafanikio makubwa hasa mtandaoni kwani propaganda machinery yao iko sophisticated sana, Lakini CHADEMA will not be able to fool all the people all the time.
Shame to all Chadema supporters who know the truth but you are determined to fool Tanzanians. M
Ni kweli the end justifies the means lakini sio kwa namna hii. You have crossed the line. Period.
hata mimi namjua sana rwakatare video ile ni yake na maneno ni yake anayepinga.ni wale watu wanaosemwa akipenda chongo huita kengeza na ndio wenye kelele.na ndio wachaguaji viongozi wabovu.
 
Mbona taarifa za kiintelijensia kutoka vyanzo vya kuaminika zinasema Wewe ndo walewale style za Lwakatare na Mabere Marando,tofauti yenu ni Aina Ya biti mnazokuja nazo!

acha ushabiki kwa maisha ya watu. hapa ni kupambanua vitu 2. kama wewe ni mtanzania na unaipenda nchi yako,sisitiza nchemba atoe hzo cd ambazo anasema ni za chadema ili kupunguza harm. ila kiuhalisia,nauhakika nchemba na video hii kuna link. ebu tafakari video ilikuwa rekodi late december na nchemba ameongea early januari. viongozi wangapi kwenye serikali ya ccm wana simamia mauaji?? 2meisha msahau mwangosi?? kwani rpc anaajiliwa na chadema?? 2ache ushabiki 2pambanue mambo,hata mtoto wa form four anaweza kuchanganua hili vizuri. 2siwe maskini wa vichwa 2kashindwa kufikiri kwa mambo yanayo 2husu sote watanzania. hakuna intellegence ya maana hapa tz,ni intellegence ya wa2 wachache kwa maslahi yao binafsi. wa2 walio kwenye system wana wa2 wao sasa nani atawachunguza??
 
hata leo angeletwa mtume wa mungu kuongoza ccm sitakaa niwe mwanachama wake. Sisiem ni sawa na chakula cha juzi, hakina ladha wala hakijengi mwili. Kwa hizo propaganda watanzania tunaosubiri ukombozi hatutahama cdm. Saa ya ukombozi yaja. Wezi na wahuni wote mnaotumia propaganda kudanganya watanzania utakuwa uchi.
 
Back
Top Bottom