CHADEMA imeng'ara kwenye Uchaguzi na Itashinda 2015

Hivi sasa kuna ccm tatu, ipo ya kikwete, ya lowasa na ipo ya wajiitao wapinga ufisadi,

Na bado CDM moja tu ile ya akina Mtei, Mbowe , Slaa na wapambe zao imeshindwa kuitikisa. Vipi siku ikiungana na kiwa CCM moja tu?
 
Chopa 3 kata 3 ni hatari sana! Mimi naamini hata 2015 chadema mtakuja na siasa zenu hizi za kukokotoa ushindi! Wakati CCM imeshachukua Ikulu! Kosa la msingi ambalo lina wagharimu mna lipuizia itaendelea kula kwenu! Chadema haina katibu wa wilaya,katibu kata wala katibu tawi ina taka kushinda kupitia chopa na ITV pekee!
 
Maelezo yako ya mwisho hapa yanamsingi, lakini hayo ya mwanzo hayana mashiko
 
Inawezekana kauli yangu isiwaingie watu masikioni mwao kabisa, lakini nitawaeleza japo kwa kifupi.

Katika siasa kuna kitu kinaitwa siasa za jumla (general politics) na siasa za kijiografia (geography politics)

General politics inahusu mambo yanayohusu siasa za kitaifa bila kuchagua chama au itikadi na hizi mara nyingi husimamiwa kwa katiba, kanuni na sheria za nchi, hapa inahusiana pia na daftari la wapiga kura na tume ya uchaguzi,

Geography politics inahusu siasa za eneo husuka, kuna international gp, na domestic gp,

Katika hayo Chadema ime win kwenye Gp-D kwa asilimia zaidi ya 90%, hili linatokana na chama kushiriki uchaguzi kwa miaka yote huku mambo muhimu yanayopaswa kufanywa kwenye General Politics yakiwa doro kabisa, mambo hayo ni kama tume kuwa huru, daftari la wapigakura kuboreshwa, na dola kuvuruga chagizi nyingi kwa maslahi ya ccm.

Takwimu za chaguzi hizi zinatoa sura stahiki ya ubora wa domestic political ya Chadema,

Mathalani uchaguzi huu Chadema ilikuwa ikitetea kata 3, za Nyaisura, Kiborloni na Mikol.. Kigoma.

Tumepoteza Nyaisura, na Kigoma, na Tumeipoka ccm kata za Sombetini na Njombe.

Thamani ya kata ilizoshinda chadema nikubwa kuliko ccm, kubeba kata ya njombe ni turufu kubwa, vivyo hivyo kata ya sombetini Arusha ambapo sasa rasmi ccm inakuwa chama cha upinzani Arusha, CCM hawajaongeza thamani yoyote ya kata,

Kwa lugha nyingine nikuwa CHADEMA 0-0 CCM, lakini CHADEMA wananafasi ya golden goal kwakubeba kata ya Njombe ambayo kwanza inafuta propaganda za ccm yakuwa chadema ni chama cha ukanda, sasa tunashuhudia Chadema sio chama cha ukanda tena bali chama cha kitaifa na kila pembe ya jamhuri hii kipo.

Izingatiwe kuwa oparesheni M4C Pamoja Daima haikuwa maalumu kwaajili ya uchaguzi huu bali sehemu ya ratiba ya chama katika kutoa elimu ya umma kudai/kuhimiza uboreshaji wa daftari la wapiga kura.

Kuna wanaoamini kuwa Chadema kuwaadhibu wanachama wake waliovunja katiba ya Chama akina Zitto, Killa, Mwigamba eti ni "Mgogoro" uliochangia kwa 100% kutopata kata nyingi zaidi katika uchaguzi huu.

Nikubaliane nao wale wafikirio hivyo lakini tupeane shule ya falsa ya siasa kidemorasia kwa ufupi ambayo ndio hutawala siasa za uwanda wa chama kinachojiandaa kushika dola.

Niseme kuwa Chama cha siasa kilichokomaa na chenye wanachama wenye nguvu ya kitaifa kinapoamua kumuwajibisha mwanachama yeyote mwenye nguvu ya kitaifa aliyevunja katiba,itikadi,itifaki na falsafa ya chama hicho, kovu lake huwa halizibwi kwa miezi mitatu au sita tu, kisayansi itachukua hata mwaka kuirejesha nguvu ya chama katika mizani stahiki ya kisiasa.

Hivyo Mwanachadema yeyote na mwanamageuzi ni lazima atambue kuwa uchaguzi wa Udiwani huu kwa kata 27 nchini, sio kipimo stahiki cha kufuta pengo la akina Zitto. Labda kwa mchambuzi wa siasa asiejua sayansi ya siasa tu na mwenye agenda ya kipropaganda ndie ataamini kufukuzwa akina Zitto ni chanzo cha kupata kushindwa kupata kura nyingi zaidi katika uchaguzi huu.

Athari za kufukuzwa kwa Zitto na wenzie ndani ya chama zitapimwa baada ya miezi sita hadi mwaka mmoja kutoka sasa hii ikiwa na maana uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ujao ndivyo vitakuwa vipimo vyake, kwa sasa yanayotokea yalitarajiwa kwa 100% na yalipita kwenye chekecho la kimkakati la chama na kisha yakaamuliwa iwe hivyo.

Kosa kubwa kwa Chadema ni kosa la kimkakati na hili ni lazima lifanyiwe kazi haraka iwezekanavyo,

Kwanza ieleweke kuwa daftari la wapiga kura ndio rungu lililoibeba ccm, ni lazima liboreshwe ikiwa ni pamoja na uingizaji wawapiga kura wapya ambao utafiti unaonyesha ni kundi kubwa la vijana wenye umri kati ya miaka 18-26 ambao hawakuwa na sifa ya kupiga kura 2010. Lakini hata hawa waliojiandikisha yaani wenye kupiga kura sasa, idadi kubwa ya wapiga kura hao hawakupiga kura kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kuuza shahada zao.

Pili Tume ya Uchaguzi, hii ni lazima juhudi za msksudi zitumike kuitoa mikononi mwa chama tawala, ni hatari kuiacha iendelee kuwa wakala wa ccm badala yakuwa tume huru.

Tatu Vyombo vya dola, hapa ndipo panahitaji mkakati mkuu wa kisiasa, jeshi la polisi ni lazima tukabiliane nalo na ieleweke vema kuwa ccm haitakoma kulitumia jeshi la polisi ama vyombo vya dola kwa ujumla mpaka siku inakata roho kabisa, hivyo njia mbadala ni muhimu sana tunapoelekea kushika dola hili la Tanzania mnamo octobar 25, 2015.

Kwanza uundwe mkakati wa uhusiano mwema na vyombo vyote vya dola nchini, hili linaweza kuwa gumu kidogo na linaweza kuifanya serikali ianze kupata mafua ya msimu na kujikuta tunaingia kwenye mgogoro unaoweza kutumiwa na wakware wa akili wa ccm kama akina Mwigulu na kufikiria uhaini, jambo la muhimu ni kuziangalia sheria za nchi hasa zinazoratibu vyama vya siasa na mienendo yake,

Mathalani kiongozi wa kisiasa kuzuru makao makuu ya Jeshi la Polisi Tanzania na kusikiliza changamoto zinazowakabilli, hili halina zuio kisheria, ilimradi haendi kugawa kadi za chama hapo,

Ni lazima tuitazame upya sheria inayosema mtumishi wa umma asijihusihe na siasa, hii ni nzuru lakini iboreshwe ili iwe na tafsiri ya maslahi kwa nchi na hatimae taifa kuzaa siasa za kisasa na za kimaendeleo.

Wanamikakati warejee chini wawafanyie utafiti wa kisayansi viongozi wa majimbo, mikoa na kanda, nilazima tuwapime kwa nyuzi 360 kiutendaji kwakuwa hizi chaguzi ndogo za kata na serikali za mitaa zinatakiwa wao wasimamie na kuonyesha uwezo wao na sio hivyo tu bali lipo ndani ya uwezo wao kikatiba, Chama lazima sasa kijikite kwa nguvu zote kwenye msingi (chadema ni msingi).

Ni lazima tufanye utafiti wa kimkakati usio na unafiki wala haya,

Tukiyatekeleza haya yote, uchaguzi wa serikali za mitaa utaanza kutupa majibu ya mkakati huu na uchaguzi mkuu ujao tutashinda!

Yote kwa yote Chadema haijapoteza uchaguzi huu bali imeng'ara, kimkakati ni ccm ndio imepoteza.

Tatizo lipo na bado hamtaki kuelewa kuwa tatizo lipo,2015 utakuwa ni uchaguzi mkuu na huu uchaguzi mtatakiwa mjiandae kisaikolojia pia kwani kwa lugha nyepesi ni kwamba MTAENDELEA KUTETEA VITI na wakati huo CCM NAYO ITAENDELEA KUTETEA VITI VYAKE na mwisho wa siku mnatabaki na viti vyenu na ccm nao watabaki na viti vyao na hitimisho lake ni kwamba ccm itatetea viti vingi na kubaki IKULU ,huu ni uchambuzi usio hitaji utafiti wa kina ni swala la kuangalia mambo kwa leya ya juu na kuya dadabua kwa mapana yake.
CDM ni wakati wa kubadilika na kukubali kuwa kuna tatizo na mnatakiwa kubadilika,la sivyo mtaendelea kubaki na slogan yenu ya TULIZANZA NA MUNGU NA TUNAMALIZA NA MUNGU huku CCM ikiendelea kushika DOLA na nyie mkibaki na kila aina ya SLOGAN.
 
Politics is a game of numbers.

Miaka minne iliyopita kulikuwa na wagombea tofauti, marehemu mzee Sumari alimshinda Nasari. Hii haimaanishi mtu yeyote kutoka CCM angemshinda Nasari.

Tatizo siyo daftari la wapiga kura, tatizo ni kumsimamisha mgombea anaependwa na wengi. Ile process ya primary voting ikiingiliwa, basi kuna uwezekano wa kupoteza kiti. Na primaries za CDM zipo too centralized.

Kilichofanya CCM ni decentralization of primary voting .... matokeo ni wagombea wanaokubalika.

Hayo mambo ya madaftari is nonsense, acheni.

maoni yako ni mazuri ila hayapo kisayansi zaidi kaka
 
"Chadema ime win Gp-D kwa 90%" mkuu takwim hii umetoa wap? tupe source
 
Tatizo lipo na bado hamtaki kuelewa kuwa tatizo lipo,2015 utakuwa ni uchaguzi mkuu na huu uchaguzi mtatakiwa mjiandae kisaikolojia pia kwani kwa lugha nyepesi ni kwamba MTAENDELEA KUTETEA VITI na wakati huo CCM NAYO ITAENDELEA KUTETEA VITI VYAKE na mwisho wa siku mnatabaki na viti vyenu na ccm nao watabaki na viti vyao na hitimisho lake ni kwamba ccm itatetea viti vingi na kubaki IKULU ,huu ni uchambuzi usio hitaji utafiti wa kina ni swala la kuangalia mambo kwa leya ya juu na kuya dadabua kwa mapana yake.
CDM ni wakati wa kubadilika na kukubali kuwa kuna tatizo na mnatakiwa kubadilika,la sivyo mtaendelea kubaki na slogan yenu ya TULIZANZA NA MUNGU NA TUNAMALIZA NA MUNGU huku CCM ikiendelea kushika DOLA na nyie mkibaki na kila aina ya SLOGAN.

Matatizo yapo kweli, ndiomaana tunajiandaa sasa ili kukabiliana na uchaguzi mkuu
 
"Chadema ime win Gp-D kwa 90%" mkuu takwim hii umetoa wap? tupe source

Hiyo ni ya kisayansi, hautaiona kienyeji tu, ni lazima uvilete vyama vyote kisha utafute uwiano wa ushindi wa ngazi za ubunge, udiwai, serikali za mitaa nk
 
Inawezekana kauli yangu isiwaingie watu masikioni mwao kabisa, lakini nitawaeleza japo kwa kifupi.

Katika siasa kuna kitu kinaitwa siasa za jumla (general politics) na siasa za kijiografia (geography politics)

General politics inahusu mambo yanayohusu siasa za kitaifa bila kuchagua chama au itikadi na hizi mara nyingi husimamiwa kwa katiba, kanuni na sheria za nchi, hapa inahusiana pia na daftari la wapiga kura na tume ya uchaguzi,

Geography politics inahusu siasa za eneo husuka, kuna international gp, na domestic gp,

Katika hayo Chadema ime win kwenye Gp-D kwa asilimia zaidi ya 90%, hili linatokana na chama kushiriki uchaguzi kwa miaka yote huku mambo muhimu yanayopaswa kufanywa kwenye General Politics yakiwa doro kabisa, mambo hayo ni kama tume kuwa huru, daftari la wapigakura kuboreshwa, na dola kuvuruga chagizi nyingi kwa maslahi ya ccm.

Takwimu za chaguzi hizi zinatoa sura stahiki ya ubora wa domestic political ya Chadema,

Mathalani uchaguzi huu Chadema ilikuwa ikitetea kata 3, za Nyaisura, Kiborloni na Mikol.. Kigoma.

Tumepoteza Nyaisura, na Kigoma, na Tumeipoka ccm kata za Sombetini na Njombe.

Thamani ya kata ilizoshinda chadema nikubwa kuliko ccm, kubeba kata ya njombe ni turufu kubwa, vivyo hivyo kata ya sombetini Arusha ambapo sasa rasmi ccm inakuwa chama cha upinzani Arusha, CCM hawajaongeza thamani yoyote ya kata,

Kwa lugha nyingine nikuwa CHADEMA 0-0 CCM, lakini CHADEMA wananafasi ya golden goal kwakubeba kata ya Njombe ambayo kwanza inafuta propaganda za ccm yakuwa chadema ni chama cha ukanda, sasa tunashuhudia Chadema sio chama cha ukanda tena bali chama cha kitaifa na kila pembe ya jamhuri hii kipo.

Izingatiwe kuwa oparesheni M4C Pamoja Daima haikuwa maalumu kwaajili ya uchaguzi huu bali sehemu ya ratiba ya chama katika kutoa elimu ya umma kudai/kuhimiza uboreshaji wa daftari la wapiga kura.

Kuna wanaoamini kuwa Chadema kuwaadhibu wanachama wake waliovunja katiba ya Chama akina Zitto, Killa, Mwigamba eti ni "Mgogoro" uliochangia kwa 100% kutopata kata nyingi zaidi katika uchaguzi huu.

Nikubaliane nao wale wafikirio hivyo lakini tupeane shule ya falsa ya siasa kidemorasia kwa ufupi ambayo ndio hutawala siasa za uwanda wa chama kinachojiandaa kushika dola.

Niseme kuwa Chama cha siasa kilichokomaa na chenye wanachama wenye nguvu ya kitaifa kinapoamua kumuwajibisha mwanachama yeyote mwenye nguvu ya kitaifa aliyevunja katiba,itikadi,itifaki na falsafa ya chama hicho, kovu lake huwa halizibwi kwa miezi mitatu au sita tu, kisayansi itachukua hata mwaka kuirejesha nguvu ya chama katika mizani stahiki ya kisiasa.

Hivyo Mwanachadema yeyote na mwanamageuzi ni lazima atambue kuwa uchaguzi wa Udiwani huu kwa kata 27 nchini, sio kipimo stahiki cha kufuta pengo la akina Zitto. Labda kwa mchambuzi wa siasa asiejua sayansi ya siasa tu na mwenye agenda ya kipropaganda ndie ataamini kufukuzwa akina Zitto ni chanzo cha kupata kushindwa kupata kura nyingi zaidi katika uchaguzi huu.

Athari za kufukuzwa kwa Zitto na wenzie ndani ya chama zitapimwa baada ya miezi sita hadi mwaka mmoja kutoka sasa hii ikiwa na maana uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ujao ndivyo vitakuwa vipimo vyake, kwa sasa yanayotokea yalitarajiwa kwa 100% na yalipita kwenye chekecho la kimkakati la chama na kisha yakaamuliwa iwe hivyo.

Kosa kubwa kwa Chadema ni kosa la kimkakati na hili ni lazima lifanyiwe kazi haraka iwezekanavyo,

Kwanza ieleweke kuwa daftari la wapiga kura ndio rungu lililoibeba ccm, ni lazima liboreshwe ikiwa ni pamoja na uingizaji wawapiga kura wapya ambao utafiti unaonyesha ni kundi kubwa la vijana wenye umri kati ya miaka 18-26 ambao hawakuwa na sifa ya kupiga kura 2010. Lakini hata hawa waliojiandikisha yaani wenye kupiga kura sasa, idadi kubwa ya wapiga kura hao hawakupiga kura kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kuuza shahada zao.

Pili Tume ya Uchaguzi, hii ni lazima juhudi za msksudi zitumike kuitoa mikononi mwa chama tawala, ni hatari kuiacha iendelee kuwa wakala wa ccm badala yakuwa tume huru.

Tatu Vyombo vya dola, hapa ndipo panahitaji mkakati mkuu wa kisiasa, jeshi la polisi ni lazima tukabiliane nalo na ieleweke vema kuwa ccm haitakoma kulitumia jeshi la polisi ama vyombo vya dola kwa ujumla mpaka siku inakata roho kabisa, hivyo njia mbadala ni muhimu sana tunapoelekea kushika dola hili la Tanzania mnamo octobar 25, 2015.

Kwanza uundwe mkakati wa uhusiano mwema na vyombo vyote vya dola nchini, hili linaweza kuwa gumu kidogo na linaweza kuifanya serikali ianze kupata mafua ya msimu na kujikuta tunaingia kwenye mgogoro unaoweza kutumiwa na wakware wa akili wa ccm kama akina Mwigulu na kufikiria uhaini, jambo la muhimu ni kuziangalia sheria za nchi hasa zinazoratibu vyama vya siasa na mienendo yake,

Mathalani kiongozi wa kisiasa kuzuru makao makuu ya Jeshi la Polisi Tanzania na kusikiliza changamoto zinazowakabilli, hili halina zuio kisheria, ilimradi haendi kugawa kadi za chama hapo,

Ni lazima tuitazame upya sheria inayosema mtumishi wa umma asijihusihe na siasa, hii ni nzuru lakini iboreshwe ili iwe na tafsiri ya maslahi kwa nchi na hatimae taifa kuzaa siasa za kisasa na za kimaendeleo.

Wanamikakati warejee chini wawafanyie utafiti wa kisayansi viongozi wa majimbo, mikoa na kanda, nilazima tuwapime kwa nyuzi 360 kiutendaji kwakuwa hizi chaguzi ndogo za kata na serikali za mitaa zinatakiwa wao wasimamie na kuonyesha uwezo wao na sio hivyo tu bali lipo ndani ya uwezo wao kikatiba, Chama lazima sasa kijikite kwa nguvu zote kwenye msingi (chadema ni msingi).

Ni lazima tufanye utafiti wa kimkakati usio na unafiki wala haya,

Tukiyatekeleza haya yote, uchaguzi wa serikali za mitaa utaanza kutupa majibu ya mkakati huu na uchaguzi mkuu ujao tutashinda!

Yote kwa yote Chadema haijapoteza uchaguzi huu bali imeng'ara, kimkakati ni ccm ndio imepoteza.

Ndugu naona umefanya editing tena leo asubuhi kung'ang'aniza hoja. Kazi kweli kweli!
 
jiulize hizo kata na majimbo yanayoongozwa na cdm yamefanya nini cha maana hadi leo wapewe kata zingine?
 
ngoshani hakuna la maana ulilosema, kuboresha daftari la wapiga kura ni muhimu!!
Hata wanafunzi wa miaka 18+ watajiandikisha!!
Mbona unapanick mara machinga kwani wao hawana haki ya kupiga kura???
 
Last edited by a moderator:
Kwa mtazamo wangu, wengi wanaohudhuria mikutano ya CHADEMA, ni wapenzi haswa wa CHADEMA. Lakini kutokana na kuhamahama kutafuta maisha, wengi wa hao wapenzi wa CHADEMA utagundua walijiandikisha katika kata, jimbo au mkoa mwingine, na hawana sifa ya kupiga kura pamoja na kwamba wangependa wapige. CCM ina advantage kwamba wanachama wake ni walewale wasiohangaika huku na kule kutafuta maisha bora, ni wakazi wa hapo hapo wanaoletewa mahitaji yao na watoto wao waliopo mikoani, kwa hiyo ukifika wakati wa uchaguzi wapiga kura halisi wa CCM wanakuwapo tayari, huku vijana wahangaikaji wa CHADEMA wanakuwa wamefuata biashara mbalimbali huku na huku, na hata waliopo eneo hilo wanakuwa walijiandikisha sehemu nyingine. Tatizo hili lingekwisha kwa kuboresha daftari la wapiga kura, lakini CCM wanajua kuwa daftari likiboreshwa tu watashindwa. Ndio maana usishangae kauli za serikali kwamba hakuna fedha za kuboresha daftari la wapiga kura! Uongo mtupu, wanajua likiboreshwa wananchi walliopo kata husika wakati huo watapata fursa ya kuwa na sifa za kuwa wapiga kura halali. Jaribu kufanya tathmini ndogo tu, hivi katika eneo lako, ni watu wangapi na wa aina gani waliokuwapo mwaka 2010 ambao sasa either hawapo au wanakuja na kuondoka? Jiulize kuna wakazi wangapi ambao hawakuwepo eneo lako lakini sasa wapo? Solution ni kuboresha daftari, jambo ambalo serikali ya CCM inaliogopa!

CCM ina advantage kwamba wanachama wake ni walewale wasiohangaika huku na kule kutafuta maisha bora, ni wakazi wa hapo hapo wanaoletewa mahitaji yao na watoto wao waliopo mikoani, kwa hiyo ukifika wakati wa uchaguzi wapiga kura halisi wa CCM wanakuwapo tayari, huku vijana wahangaikaji wa CHADEMA wanakuwa wamefuata biashara mbalimbali huku na huku, na hata waliopo eneo hilo wanakuwa walijiandikisha sehemu nyingine.

Hii ndio Hoja ya kipuuzi kwa wiki nzima.
 
Pamoja na machungu niliyonayo,
Hoja yako ipo sahihi nadhani umedadafua kila kitu kinachotakiwa. nimependa sana statement hii;

Wanamikakati warejee chini wawafanyie utafiti wa kisayansi viongozi wa majimbo, mikoa na kanda, nilazima tuwapime kwa nyuzi 360 kiutendaji kwakuwa hizi chaguzi ndogo za kata na serikali za mitaa zinatakiwa wao wasimamie na kuonyesha uwezo wao na sio hivyo tu bali lipo ndani ya uwezo wao kikatiba, Chama lazima sasa kijikite kwa nguvu zote kwenye msingi (chadema ni msingi).

Kwangu pamoja na mambo mengine naona Chama kinatakiwa kujikita katika Eneo hilo la Uongozi wa Majimbo, Mikoa na Kanda; kuna dalili ya Udhaifu na makosa katika maeneo hayo; Hakuna mikakati na Utekelezaji wenye Tija: katika nafasi hizo. hilo lizingatiwe. uwezeshaji maeneo hayo pia ni muhimu ili kuongeza morali na msukumo unaoweza kuathiri mitazamo ya watu. anyway Big up brother. noamba kama una idadi ya jumla ya kura zilizopigwa uniwekee hapa.
 
Unajua naanza kupata picha kuwa huyu anayejiita Yericko nyerere anatumiwa na wapinzani wa Chadema ili kuihalilisha chadema!
Haiwezekani Chadema wakatoa ufafanuzi dhaifu kama huu.
Nafahamu kuwa Chadema wapo watu makini wasinge endelea kumruhusu huyu mdau aivue nguo chadema namna hii.
 
1. Huu sio ufafanuzi wa Chadema, bali maoni na ushauri binafsi wa mwanachadema,

2. Kwamba natumiwa na wapinzani wa chadema, hilo nitahitaji uthibitishe hapa mkuu,

3. Chadema haina uimla na ukiritimba kwa wanachama na mashabiki kutoa maoni yao kwa chama,

Nb

Mkuu Ndibalema, ninakuheshimu na ninaheshimu michango yako.
 
Back
Top Bottom