Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,026
- 20,511
- Thread starter
- #201
Pamoja na machungu niliyonayo,
Hoja yako ipo sahihi nadhani umedadafua kila kitu kinachotakiwa. nimependa sana statement hii;
Wanamikakati warejee chini wawafanyie utafiti wa kisayansi viongozi wa majimbo, mikoa na kanda, nilazima tuwapime kwa nyuzi 360 kiutendaji kwakuwa hizi chaguzi ndogo za kata na serikali za mitaa zinatakiwa wao wasimamie na kuonyesha uwezo wao na sio hivyo tu bali lipo ndani ya uwezo wao kikatiba, Chama lazima sasa kijikite kwa nguvu zote kwenye msingi (chadema ni msingi).
Kwangu pamoja na mambo mengine naona Chama kinatakiwa kujikita katika Eneo hilo la Uongozi wa Majimbo, Mikoa na Kanda; kuna dalili ya Udhaifu na makosa katika maeneo hayo; Hakuna mikakati na Utekelezaji wenye Tija: katika nafasi hizo. hilo lizingatiwe. uwezeshaji maeneo hayo pia ni muhimu ili kuongeza morali na msukumo unaoweza kuathiri mitazamo ya watu. anyway Big up brother. noamba kama una idadi ya jumla ya kura zilizopigwa uniwekee hapa.
One love kamanda, nitalifanyia kazi ombi lako