CHADEMA imeitekeleza nyumba ya Alphonce Mawazo?

CHADEMA imeitekeleza nyumba ya Alphonce Mawazo?

Kwa mada iliyopo mezani bila mbinu za kukwepesha ni FAMILIA YA MAWAZO KUTELEKEZWA

Mleta mada anakumbusha kukumbukwa upya, kusomeshwa mtoto wake mpaka chuo kikuu na ahadi nyingine kemkem.....

Familia ya Mawazo wakati wa msiba ilipata ushirikiano Mkubwa wa kisiasa.... mleta mada anakumbusha....
 
Mwenyezi Mungu Akubariki Kwa Kuwaelewesha Naona Wenye Mtandao Wao Wamebadili Kichwa Cha Habari Ili Kuuficha Uozo
 
Acha unafiki, yule mtoto anaekaa na lema ni wa nani na zile m100 zilizochangwa je! Unazikumbuka? Au ndio umetumwa kuleta unafiki hapa
hadi sasa hakuna ahadi yoyote iliyotekelezwa kwa nini mtoe ahadi za uongo
 
bwana ww au na ww ulikua mke mwenza nini mbna unakomaa sana kwa vitu visivokuhusu? familia ya mawazo ishawawi kuja kwakoo kuomba msaada wowote we unajua familia inaishijee au nyie ndo akina anko uchwara?
hakuna tusi jipya duniani ongezea tena jingine nyie nendeni mkatimize ahadi mlizotoa
 
Mods rekebisheni heading.
Kuna tofauti kubwa kati ya kutekeleza na kutelekeza.
Mtoa mada bila shaka alimaanisha "CHADEMA imeitelekeza familia ya Mawazo" na sio kutekeleza kama ilivyo hivi sasa.
Asante Kwa Kuwaelewesha Naona Wamebadili Ili Kuficha Uozo
 
Kuelekea September mosi wafuasi wa CHADEMA wanajinadi kuingia kwenye maandamano na migomo kusapoti tamko ya Mwenyekiti wao Mh Freeman Mbowe Mjumbe wa kamati kuu wa chama mzee Edward Lowassa hakubaliani na mpango huo.

Taarifa kutoka kwa wanachadema watiifu kwa Lowassa zinasema Waziri mkuu huyo zamani haungi mkono operation hiyo lkn ktk kura ndani kamati kuu alishindwa basi yeye ameamua kukaa.

Ninachopenda kuwakumbusha wafuasi wa CHADEMA ni kuwa makini na maandamano hayo polisi wamejipanga kuuzima kwa mguvu kubwa kuliko mnavyofikiri lakini pia mkumbuke kuna wafuasi wangapi wa chama hicho waliyohamia kwa kupigania harakati za kisiasa za upinzani na wengine kupoteza maisha,je familia zao zinatunzwa na chama?

Marehemu Mwangosi mwandishi wa habari mkoani Iringa alikuwa mfuasi kindakindaki wa CHADEMA na mgawa fedha kwa wanahabari ktk mikoa ya nyanda za juu aliuwawa ktk harakati za CHADEMA wkt wa mazishi yake tuliona kila aina ya mbwembwe na ahadi ya kusomesha watoto je hizo ahadi zimetekelezwa je mjane wa mwangosi na watoto wanaishi maisha sawia kama ambavyo mwangosi angekuwepo?

Kule Geita kuna tetesi kuwa pesa ya rambirambi tsh 100milioni iliyotolewa na chama kwa familia ya Alphonse Mawazo zimeliwa na kigogo wa chama mpk leo mjsna hajapewa pesa hizo mbaya zaidi hayupo wa kuuliza watu wananung'unika pembeni tu.

Wafuasi wa CHADEMA mnapokwenda kushiriki operation UKUTA ukumbuke Mke wako , watoto wako, babako na mamako uwaachie kabisa pesa za kutosha kuwalea maisha yao.

Niwape ushauri wazazi waonyeni watoto wenu lkn wakikataa waachani make wahenga walisema asiyesikia la Mkuu uvunjika guu.
 
Kuelekea September mosi wafuasi wa Chadema wanajinadi kuingia kwenye maandamano na migomo kusapoti tamko ya Mwenyekiti wao Mh Freeman Mbowe japo Mmliki wa chama mzee Edward Lowassa hakubaliani na mpango ambao anauona km mkakati wa kishamba. Taarifa kutoka kwa wanachadema watiifu kwa Lowassa zinasema Waziri mkuu huyo zamani haungi mkono operation hiyo lkn ktk kura ndani kamati kuu alishindwa basi yeye ameamua kukaa, ninachopenda kuwakumbusha wafuasi wa chadema ni kuwa makini na maandamano hayo polisi wamejipanga kuuzima kwa mguvu kubwa kuliko mnavyofikiri lakini pia mkumbuke kuna wafuasi wangapi wa chama icho waliyohumia kwa kupigania harakati za kisiasa za upinzani na wengine kupoteza maisha je familia zao zinatunzwa na chama? Marehemu Mwangosi mwandishi wa habari mkoani iringa alikuwa mfuasi kindakindaki wa chadema na mgawa fedha kwa wanahabari ktk mikoa ya nyanda za juu aliuwawa ktk harakati za chadema wkt wa mazishi yake tuliona kila aina ya mbwembwe na ahadi ya kusomesha watoto je hizo ahadi zimetekelezwa je mjane wa mwangosi na watoto wanaishi maisha sawia kama ambavyo mwangosi angekuwepo? Kule Geita kuna tetesi kuwa pesa ya rambirambi tsh 100milioni iliyotolewa na chama kwa familia ya Alphonse Mawazo zimeliwa na kigogo wa chama mpk leo mjsna hajapewa pesa hizo mbaya zaidi hayupo wa kuuliza watu wananung'unika pembeni tu. Wafuasi wa cdm mnapokwenda kushiriki operation Ukuta ukumbuke Mke wako , watoto wako, babako na mamako uwaachie kabisa pesa za kutosha kuwalea maisha yao. Niwape ushauri wazazi waonyeni watoto wenu lkn wakikataa waachani make wahenga walisema asiyesikia la Mkuu uvunjika guu.
Mmh sio mnaiogopa operesheni UKUTA. Dawa kujirudi na kuacha kuchezea KATIBA ya nchi. Porojo nyingine ziishie huko huko zizini.
 
Nawaunga mkono polisi kwa hatua zozote watakazochukua kuvunja ukuta wa barafu!
 
Maccm mmejaa uoga na hiyo operesheni ukuta, kumbe nyie ni waoga hivyo.
 
Kuelekea September mosi wafuasi wa Chadema wanajinadi kuingia kwenye maandamano na migomo kusapoti tamko ya Mwenyekiti wao Mh Freeman Mbowe japo Mmliki wa chama mzee Edward Lowassa hakubaliani na mpango ambao anauona km mkakati wa kishamba. Taarifa kutoka kwa wanachadema watiifu kwa Lowassa zinasema Waziri mkuu huyo zamani haungi mkono operation hiyo lkn ktk kura ndani kamati kuu alishindwa basi yeye ameamua kukaa, ninachopenda kuwakumbusha wafuasi wa chadema ni kuwa makini na maandamano hayo polisi wamejipanga kuuzima kwa mguvu kubwa kuliko mnavyofikiri lakini pia mkumbuke kuna wafuasi wangapi wa chama icho waliyohumia kwa kupigania harakati za kisiasa za upinzani na wengine kupoteza maisha je familia zao zinatunzwa na chama? Marehemu Mwangosi mwandishi wa habari mkoani iringa alikuwa mfuasi kindakindaki wa chadema na mgawa fedha kwa wanahabari ktk mikoa ya nyanda za juu aliuwawa ktk harakati za chadema wkt wa mazishi yake tuliona kila aina ya mbwembwe na ahadi ya kusomesha watoto je hizo ahadi zimetekelezwa je mjane wa mwangosi na watoto wanaishi maisha sawia kama ambavyo mwangosi angekuwepo? Kule Geita kuna tetesi kuwa pesa ya rambirambi tsh 100milioni iliyotolewa na chama kwa familia ya Alphonse Mawazo zimeliwa na kigogo wa chama mpk leo mjsna hajapewa pesa hizo mbaya zaidi hayupo wa kuuliza watu wananung'unika pembeni tu. Wafuasi wa cdm mnapokwenda kushiriki operation Ukuta ukumbuke Mke wako , watoto wako, babako na mamako uwaachie kabisa pesa za kutosha kuwalea maisha yao. Niwape ushauri wazazi waonyeni watoto wenu lkn wakikataa waachani make wahenga walisema asiyesikia la Mkuu uvunjika guu.

Chadema gani unayoizungumzia?, ile uliyoiandika asubuhi yenye tetesi ya mpasuko?
 
Ushapost....tayari.......kesho kachukue buku7 yako

Ova
 
Mawazo aliuliwa na Chadema? CCM iwajibike kwa matunzo ya familia ya Mawazo
Soma vizuri thread usikurupuke amesema CHADEMA watekeleza ahadi ( walitumia kujiiinua kisisa kumbe ufyoro mtupu) hivyo watekeleze. Hakusema CHADEMA itekeleze ahadi kwa kuwa ndio iliyomuua Mawazo.
 
Back
Top Bottom